Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

mie nawafananisha Madaktari wetu na Mafundi Magari wetu wa chini ya Mwembe

anaweza akakusababishia ukashusha engine kabisa ya gari kumbe tatizo lipo kwny shockup au ukanunulishwa spare kadhaa na bado tatizo likabaki pale pale kwa kuwa bado hajajua tatizo la gari

kuna watu wanatumia dawa za miguu kwa miaka kadhaa kumbe tatizo ni UTI wa mgongo

inakuaje tuna Regulatory Authorities kwny mambo mengi kama Mabasi, simu, insurance n.k lakini kwny huduma za Afya hakuna regulatory Authority inayojitegemea na ku deal na ubora tu wa hospital kuanzia Wafanyakazi wenye sifa na vifaa tiba ?

kuna Hospital ni haramu kupima Malaria na UTI au typhoid na kuambiwa majibu ni negative
Dah! Sasa nikuulize, hivi ushaelewa uti wa mgongo unahusiana vipi na miguu au ushajaribu hata kugoogle[emoji23][emoji23][emoji23]. Usiongee kitu bila kujua. Nahizo dawa anazopewa am sure ni supplements. Unajua zinakazi gani[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ndo
Uzembe kama mahospitalini hauna tofauti na ule wa Polisi na mahakama. Unamfunga mtu 10 yrs then unamwachia unasema hakutenda kosa. Unajua umesababisha madhara kiasi gani kwenye maisha yake yoote?

Hii nchi bila katiba Mpya katiba Bora tutaendelea kuumizana sana

So ndo hapo ujakamilisha ushahidi kwann ummkamate mtu si umpe Dhamana aendelee na maisha yake huku akiendeleea na kesi nje, mfano check wazee wa escrow, wazee wa uhamsho bila makosa wamewaweka ndani miaka, then wanakuja sema hawana nia ya kuendelea na kesi. Kama hawana nia kwann wanawakamata watu mtu kukaa ndani familia yake nani anaitunza, mke wake je si vishawishi kuolewa na mtu mwingine, miaka 10 angekuwa na watoto wangapi amezaa, pangekuwapo na uwajibishwaji wa kulipa fidia kwa kukatwa mishahara yao na pensheni zao hakika Hakuna hakimu, waendesha mashtaka wangechezea maisha ya watu, check mfano mama wa watu zumarid mwaka unaenda sasa bila ushahidi kesi za kutunga tu kisha kawagomea police kwa kutofata utaratibu, then utasikia wamemuachia, mda wake nani ataulipa?
 
Ipo haja ya kuwafungulia mashtaka mahakimu pia kwa kuchezea watu mda wao kwa kuweka watu mahabusi bila ushahidi kisha baada ya miaka wanawaachia.
 
Sio ndo

So ndo hapo ujakamilisha ushahidi kwann ummkamate mtu si umpe Dhamana aendelee na maisha yake huku akiendeleea na kesi nje, mfano check wazee wa escrow, wazee wa uhamsho bila makosa wamewaweka ndani miaka, then wanakuja sema hawana nia ya kuendelea na kesi. Kama hawana nia kwann wanawakamata watu mtu kukaa ndani familia yake nani anaitunza, mke wake je si vishawishi kuolewa na mtu mwingine, miaka 10 angekuwa na watoto wangapi amezaa, pangekuwapo na uwajibishwaji wa kulipa fidia kwa kukatwa mishahara yao na pensheni zao hakika Hakuna hakimu, waendesha mashtaka wangechezea maisha ya watu, check mfano mama wa watu zumarid mwaka unaenda sasa bila ushahidi kesi za kutunga tu kisha kawagomea police kwa kutofata utaratibu, then utasikia wamemuachia, mda wake nani ataulipa?
Mimi napata faraja kesi kama hizi zinavyo ibuliwa. Kama mtu kakosea( sio kila kosa lina adhabu) bali kwa uzembe.

Ndio maana inaitwa uzembe. Ikigundulika ni kosa kwa uzembe basi watu wawajibishwe.
 
Mimi nilikuwa najua nimefanyiwa upasuaji wa goita na sikuwahi kuambiwa na hospitali ya Hindu Mandal kama wamenitoa tezi, nimekuja kujua baada ya kuelezwa na hospitali ya Apollo ya nchini India kuwa kinachonisumbua ni upungufu wa homoni na siyo kansa.[emoji15][emoji3064]
OMG!. Mwenye goti kafanyiwa operesheni ya ubongo. Mwenye tatizo la ubongo yeye kakatwa mguu kisa mkanganyiko katika majina. Matokeo yake ni athari kwa wahusika wote. Mambo kama haya hutisha na kuongofya na kufanya baadhi yetu kuziogopa huduma zetu hapa nyumbani.
 
Marekani ili uwe physician/surgeon miaka 14 huko inakuhusu hapa kwetu 9 nafikiri kunatofauti kubwa hahah
Mzee, nchi yako inaweza kusupport postgraduate medical studies au umesahau hii ni 3rd world country. America kuwa full registered doctor ni mpaka utoke na specialization hivyo ni kama unabobea kabisa lasivyo bado sio daktari. Mngeweza kukizi kutoa idadi ngapi ya madaktari maana kuwalipia sio mchezo. Mfumo unaotumika huku ni wa Germany sio kila kitu America. Nastill bado America medical education yao sio the best hivi unajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaktari wa Tanzania walichobakiza Siku hizi ni neno cancer.Kila wakishindwa kutibu wanasingizia cancer.
Nakubaliana nawe ndugu yangu, kuna dada yangu alikua akitokwa na damu mfululizo kwa wiki kadhaa alipoenda kupima hawakuona ugonjwa mwishowe wakamwambia ana saratani.
 
unakuta hospital zote hizo staff ni yule yule anahama Hama

hapo si umeona huyo Dr Mavura ndio kamuona Muhimbili akapiga rufaa aende Hindumandal huko Hindumandal akakutana na Dr huyo huyo

unapiga kona halafu unawahi kupiga kichwa
Hivi ni kweli kwamba Muhimbili heana vifaa vya kufanya hiyo operation? Madaktari wanaina wagonjwa hospitali za serikali kutengeneza dili zao private. Hivi hilo tu sio kosa?
 
Yaani ni shida.

Ukiwa mjanja na unataka kumsaidia basi unampa dawa zote mfano;

Unampa ya malaria [unampa kama kinga-tiba haikatai kiprofesheni] unampa na ya ugonjwa husika ya muda mfupi mfano ya UTI ya siku tatu. Ni kusaidiana tu tutafanyeje na media zinaposambaza taarifa nusunusu kama hizi ndio uaminifu unazidi kushuka yaani [emoji25]
Kumbe ndo michezo hiyo. Me kabla sijameza dawa naigoogle naisoma weee, source tofauti tofauti na compare details. Nikiona haiendani na ugonjwa wangu simezi.
 
Mimi napata faraja kesi kama hizi zinavyo ibuliwa. Kama mtu kakosea( sio kila kosa lina adhabu) bali kwa uzembe.

Ndio maana inaitwa uzembe. Ikigundulika ni kosa kwa uzembe basi watu wawajibishwe.
Hata hio 500 ni ndogo aongeze bilioni 7
 
Hamna kesi hapo.. Huyo mgonjwa ajiandae kulipa fidia y kuchafua watu
 
Ila jamani naomba tukubaliane jambo moja. Tanzania kila sekta imeoza. Yaani uozo unaokutana nao kwa ma-dr hospital ndiyo huo huo utakaokutana nao kwa wanasiasa, mapolisi, mainjinia, walimu nk. Ni kwa sababu imekuwa tu kwamba makosa au ukilaza wa ma-dr una impact inayoonekana mara nyingi kuliko sehemu nyingine. Hata hili tatizo la dr tunalolalamikia hapa ni matokeo ya uongozi mbovu wa wanasiasa.
Private sector kwenyewe kuna matatizo kibao. Tena usiombe uende kutafuta huduma kwenye hosp au kampuni ambayo wamiliki wana marejesho.
 
Ndio kilichobaki, tukianza kushitakiana kidoogo umakini utakuwepo, hatukatai kukosea ndio uwanadamu lakini ni too much.

Wale kenge wa dar group sijui, walifanya uzembe kiasi dada yangu akatolewa kizazi kabisa, ndugu zangu nawaambIa tuwashughulikie, wanasema mradi katoka salama, tuache tu., mtu kakosa mtoto na kizazi wametoa[emoji34]
Mh! Ndugu hiyo kesi hatauipeleke mahakamani bado hautashinda. Kunasababu nyingi zinazopelekea mama kutolewa kizazi kipindi afanyiwapo operesheni ya kujifungua na maranyingi ni kusaidia uhai wa mama. Ubaya madaktari wengi hawawezi kutoka taarifa inayoeleweka kwa wagonjwa au ndugu zao. Kifo cha mama katika hospitali yenyewe ni kesi tosha bila hata wewe kushtaki ila zipo sababu ambazo ninaweza kukuelezea usiwaze kuelewa. Lasivyo mama angepoteza uhai, na ubaya hiyo ni emergency action hivyo hata daktari mwenyewe huogopa maana mgonjwa hajasaini consent form ila uhai wa mama kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Private sector kwenyewe kuna matatizo kibao. Tena usiombe uende hosp ambayo wamiliki wana marejesho.
Tena huku unapewa huduma hata usiyohitaji maadamu pesa iingie.Bora za serikali tafuta pesa yako mshike daktari au nesi mkono atakupa tiba sahahi, private ukienda ukosi ugonjwa utoki bure ni lazima ununue dawa
 
Back
Top Bottom