Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kuna gap kubwa Sana Kati ya watawala na watawaliwaUzembe wa kutojali ustawi wa watu wengine uko kila mahali kila angle kwenye nchi za afrika. Tazama tu hata vjongozi na watawala wanavyo tu treat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna gap kubwa Sana Kati ya watawala na watawaliwaUzembe wa kutojali ustawi wa watu wengine uko kila mahali kila angle kwenye nchi za afrika. Tazama tu hata vjongozi na watawala wanavyo tu treat
Nina mashaka na madaktar wa darDaktari ana 'gugo' symptoms [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kwa nini hivi jamani.?mbona sielewagi maelekezo hata ninapokwenda kwenye vipimo vya hiv,uti,malaria.nk huwa sielew hadi naamua kutumia dawa za asilia....Na hivi vihopsitali vilivyo mtaani wanajiita ma specialist ni vyakuogopa...Kuna hospital moja nzuri tu iko mbezi beach walimpima mtu na mashine ya ECG wakasema anatatizo la moyo anatakiwa aanze clinic muhimbili ..kufika muhimbili kwa daktari bingwa akapimwa Hana tatizo lolote la moyo...kurudia Tena sehemu nyingine hana...
Mimi kuna Daktari wa kike pale Hurbert Kairuki nilimshinda kwa kutumia google tu kudadadeki, yaani alikuwa ana-force kumpa mwanangu dawa za kifafa wakati kwa ku-google kwa nusu saa tu nikagundua alichonacho mwanangu ni degedege, ila yeye anakomaan kwamba vipimo vya EEGg kitu gani sijui vinaonuesha sijui Hertz ngapi huko kwahiyo anakifafa..., tukapelekeshana hadi kwa madaktari wenzake ikabidi aanze kunikimbia..., na dawa walizompa zilikuwa za mwaka mzima.., sema niliwahi wakati ameshazitumia wiki tu, baada ya kukaa kikao na madaktari wengine wa hospitali hiyo hiyi ikabainika ni ‘febrile seizure’ kama ‘google’ ilivyosema.., na inprinciple huwa hawatoi dawa. Yule Dokta alikimbia hata hakuinekana kwenye kikao.., hakyanani.., kuja kucheki bili ya NHIF wamelamba 2 million!! Sema tu naogopa kuishtaki hospitali, maana nado nawahitaji sana.., huwezi jua lini utawarudia hapo.Hawa M-MD wa Bongo,baadhi yao wako shallow sana,wanaheshimika kwasababu ya hofu na ujinga wetu sisi ambao hatuna uelewa wa mambo ya medical.Kuna incompetent mediacl personnels wengi,hadi unajiuliza,huko walikosoma hakunaga kudisco hadi huyu wakamuacha?
Hawa madaktari wa kike wenye makalio makubwa,ndiyo kabisa... hasa ukute ana hulka ya umalaya ndiyo kabisa... baadhi yao wanagawa uroda,wanapewa marks tu.
Hao madr walimpa mama yangu dawa ya pressure wakati ndio mara ya kwanza amepata pressure kiasi kwamba hawezi acha dawa. Yani madr wa Tanzania sijui wamelewa muda woteNdio kilichobaki, tukianza kushitakiana kidoogo umakini utakuwepo, hatukatai kukosea ndio uwanadamu lakini ni too much.
Wale kenge wa dar group sijui, walifanya uzembe kiasi dada yangu akatolewa kizazi kabisa, ndugu zangu nawaambIa tuwashughulikie, wanasema mradi katoka salama, tuache tu., mtu kakosa mtoto na kizazi wametoa[emoji34]
Madaktari wetu ni kizunguzunguMimi nilikuwa najua nimefanyiwa upasuaji wa goita na sikuwahi kuambiwa na hospitali ya Hindu Mandal kama wamenitoa tezi, nimekuja kujua baada ya kuelezwa na hospitali ya Apollo ya nchini India kuwa kinachonisumbua ni upungufu wa homoni na siyo kansa.[emoji15][emoji3064]
Wangesema umerogwa au laana au ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!! So sad!! Na hapo ni kwa kuwa alikuwa na kauwezo kifedha kidogo, je angekuwa kama mimi hapa kajambanani sijui kama angekuwa hai!!
Nchi zilizoendelea ni panel ya madr wanafanya maamuziPoleni sana. Wana JF. Kuna kitu kinachoitwa kupata ushauri mbadala kutoka kwa daktari mwingine. Msikipuuze hata kama aliyefanya dignosis ya kwanza ni dr bingwa. Kuna watu wengi sana, hata nchi zilizoendelea wamekuta ugonjwa walioambiwa na dr wa kwanza siyo wa kweli baada ya kwenda hospital nyingine na kumwona dr mwingine. Tukirudi upande wa Bongo, baadhi ya madaktari walivyo na tamaa na vilaza, wanaweza kukufanyia upasuaji ili tu wapate fedha.
Mpiga ramliMkuu umeongea kweli nakumbuka gego langu la kushoto la chini mwisho , lilipata carriers sasa wakala kidogo ikafika hatua likawa sensitive na maji baridi nikaenda kwa hao so called specialists wa meno jamaa akakazia niling'oe na wakati nilienda kwa nia ya kuziba pekee jamaa akakaza na mimi nikamkazia kwamba sing'oi jino abadani .
Alipoona nimekaza akaamua tu kufanya ninachotaka na mpaka leo namshukuru mungu nipo sawa kabisa na ile sensitivity wala haipo .
Sasa mtu kama huyo unamweka kundi gani?
Mkuu endelea kumtazama Mama yako usije ukawa kama mimi nilisema hivyo hivyo baadae akaja kupata stroke kwa ubishi wangu. Dr alinambia japo ni mara ya kwanza lakini presha yake ni kubwa mno na inaonekana ilikuwepo muda mrefu. Nikasema aah wapi. Leo mama hatembei hawezi chochote. Be careful acha kiburi cha uzima.Hao madr walimpa mama yangu dawa ya pressure wakati ndio mara ya kwanza amepata pressure kiasi kwamba hawezi acha dawa. Yani madr wa Tanzania sijui wamelewa muda wote
😂😂😂 huko sipo mkuuNina mashaka na madaktar wa dar
Km vp tuchunguze rekod ya matibab ya yule ambaye na Bi Mdash kitu kimoja[emoji41][emoji41][emoji41]
Ebu acheni Roho za chuki na makasiriko hakuna Daktari anayetoka nyumbani anasema anaenda kuua au kumdhuru mteja wake hii ni bahati mbaya na inatokea hata huko ulaya mnapo pasifia Kuna mistakes nyingi kama hizi pamoja na wao kuwa na technology ya juu sana, just Google medical legal cases uone,huyo Dr Mavura ametoa sampuli ya ugonjwa amepeleka kupimwa majibu yamerudi ni Capillary Carcinoma ambayo tiba yake ni kuwahi kutoa uvimbe wote sasa yeye kosa lake lipo wapi?Ndio kilichobaki, tukianza kushitakiana kidoogo umakini utakuwepo, hatukatai kukosea ndio uwanadamu lakini ni too much.
Wale kenge wa dar group sijui, walifanya uzembe kiasi dada yangu akatolewa kizazi kabisa, ndugu zangu nawaambIa tuwashughulikie, wanasema mradi katoka salama, tuache tu., mtu kakosa mtoto na kizazi wametoa[emoji34]
Hata hapa kwetu iko. Ila wakati mwingine inakuwa sivyo.Nchi zilizoendelea ni panel ya madr wanafanya maamuzi
Uingereza ime piga marufuku mwaka huu 2022 kuajiriwa kwa mu Africa yoyote alie soma Africa chuo asi ajiliwe UK.Niliwahi kusikia kwa mwalimu wetu aliyesoma Ulaya ukiwa na Bachela huruhusiwi kushika mgonjwa hadi uwe na Masta.