Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Tatizo ni la Pathologist wa kwanza -TMJ..
Endapo Operation isingekuwa succeful ndipo angelaumiwa Daktari..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni la Pathologist wa kwanza -TMJ..
Bongo ngumu mno katika mambo ya kitaalamu ni shida. Kama kila mtu angekuwa anafauatilia majibu ya vipimo ni aibu kubwa mno.Hii inawakuta wengi tu,, mdogo wangu poly clinic moja walimwambia mishipa ya moyo imetanuka..
Mtoto alilia hii siku,, mtu mmoja akanambia tafuteni vipimo vya hosp kama 3.
Nikaenda nae NSK Arusha, wakampima majibu ni hamna shida yoyote kwenye moyo… likizo akaenda Dar akapima tena Rabininsia, hamna kitu.
Sasa sijui wanakwama wapi
Na wengi wanakufa kwa kukosa huduma stahiki, all in all Mungu atawahukumu kwa kutumia vibaya talanta alizowapaBongo kugumu sana huwa nikienda muhimbili kuona wagonjwa yaani ni hovyo hovyo tuu. Mtu unaomba maisha yako ya ugonjwa usifike pale
Na hiyo pasianapasiana wagonjwa ni janjajanja ya kuchuma pasaSijui ni haraka au kukosa umakini au ni maslahi duni lakini madaktari wetu ni changamoto haswa.
Hio hela ni ndogo mno kulingana na adha anayo pata na alio pata na atayo pata.
Mimi nilikuwa najua nimefanyiwa upasuaji wa goita na sikuwahi kuambiwa na hospitali ya Hindu Mandal kama wamenitoa tezi, nimekuja kujua baada ya kuelezwa na hospitali ya Apollo ya nchini India kuwa kinachonisumbua ni upungufu wa homoni na siyo kansa.[emoji15][emoji3064]
Mimi nilikuwa najua nimefanyiwa upasuaji wa goita na sikuwahi kuambiwa na hospitali ya Hindu Mandal kama wamenitoa tezi, nimekuja kujua baada ya kuelezwa na hospitali ya Apollo ya nchini India kuwa kinachonisumbua ni upungufu wa homoni na siyo kansa.[emoji15][emoji3064]
Napingana na wewe, margin for an error ikiwa kubwa kiasi hicho ina maana kipimo chako hakina calibration sahihi au msomaji/interpreter ni incompetent. Kutoka 2.8kg hadi over 5kg kwa kipimo cha ultrasound sio sawa, basi waking ultrasound imesoma havirleweki wangefanya sophisticated doppler effect. There's always a margin for an error, ikizidi sio error tena, ni mistake.Duh!
Inabidi pia jamii itambue kuwa vipimo vina uhisiji na uhakika tofautitofauti [sensitivity and specificity]
Ni kama ambavyo dokta Magu alipotuonyesha mfano kwa kupima mapapai.
Huwezi kuwalaumu wataalamu mojakwa moja peke yao mfano labda kipimo fulani kinahitaji urilaksi na uwe haujala wewe ukadandia daladala na ukala viazi ukifika ukapimwa ukaambiwa una tatizo tumlaumu nanii.
Kuna vipande viiiingi mno katika mnyororo wa afya ili kuleta uhakika wa majibu mazee
DuuhWanajiona final say
Dr Shafiq alimuambia mtu hatazaa maisha yote pale Agha Khan kwa Sasa Ana watoto wawili Yule dada
Jibu la swali lako ni hiliIt is confusing
It looks like this patient is on thyroxine replacement therapy following total thyroidectomy.It is not possible to have hypothyroidism following partial tryroidectomy.
It looks like the initial surgery was lobectomy (partial thyroiedectomy) where all the malignant tumor was removed and the second surgery was total thyroidectomy. It is unlikely to find malignant cells in the sample after second surgery if the initial surgery removed all the malignant tumor.
Question : Did the take samples from first and secondary surgrery to India?
Madokta wanaangalia tutorial yutubuDuuh hawa ndio wale ukienda kupata huduma anagoogle kwanza.
Mungu atunusuru tu.
Hivi ww mtu upo serious au na ww ni dokta wa mchongo???Ni sawa, lakini kwa umasikini, ufukara, utahira wa linchi kapuku kama Tanzania sio sawa kuwashitaki.
Kaka kuna madaktari wengi sana nawafahamu wamesoma kwa shida mno wametoka familia za tabu sanaa hadi leo wako hapo ni neema tu siamini sana kama ni uzembe tusiwashitaki