Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
ndivyo wanavyofanya hapo TMJ tunapoamrishwa tufuate vipimo,Duuh hawa ndio wale ukienda kupata huduma anagoogle kwanza.
Mungu atunusuru tu.
Tena ukiwa mbishi wanakuchukua mpaka kwenye Computer yao, wanagoogle mbele yako ili kukuthibitishia usasahihi wa majibu yao!