Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Kaka tuache kushitaki madaktari sio sawa wale ni Miungu wa maisha yetu hapa duniani
Anhaa miungu yako ? Maana mimi Mungu wangu mmoja tu hana sifa yeyote ya kiumbe chochote halali, hali, hajazaa wala hakuzaliwa , hamtegemei yeyote katika alivyoviumba bali sisi viumbe ndiyo tunamtegemea yeye, alikuwepo na atakuwepo daima.
 
Unaleta huruma kwenye roho ya mtu? Alisoma kwa shida so what? Amemaliza masomo salama why asiwe makini na kazi zake?
 
Hawa M-MD wa Bongo,baadhi yao wako shallow sana,wanaheshimika kwasababu ya hofu na ujinga wetu sisi ambao hatuna uelewa wa mambo ya medical.Kuna incompetent medical personnels wengi,hadi unajiuliza,huko walikosoma hakunaga kudisco hadi huyu wakamuacha?
Hawa madaktari wa kike wenye makalio makubwa,ndiyo kabisa... hasa ukute ana hulka ya umalaya ndiyo kabisa... baadhi yao wanagawa uroda,wanapewa marks tu.
 
Kushitakiwa ni lazima maana kampa mtu ukilema kwa uzembe wake sasa alisomea nini ? Kama hata kumpima mtu tu ni shida? Alipe pesa na hospitali iliyomwajiri ilipishwe full stop maana hana sifa ya udaktari kama anampa mtu ukilema wa bure tu.

Kila kiungo cha binadamu kina kazi maalum sasa kwenda kuondoa kitu kizima aisee .
 
Dokta kapelekwa na mjomba kufanya kazi. Chuoni alikuwa mtu wa fomesheni na Bata tu. Uhakika wa ajira alikuwa nao 😊
 
Hapa mkuu mi sijaelewa hitimisho la huyu bwana. Sababu nimesoma maelezo yake yote hajaandika kua anaumwa goita sasa mwisho kahitimisha alikua anaumwa goita na upusuaji alijua anafanyiwa goita.

Wajuzi mnisaidie pengine mm ndio cjaelewa
 
Poleni sana. Wana JF. Kuna kitu kinachoitwa kupata ushauri mbadala kutoka kwa daktari mwingine. Msikipuuze hata kama aliyefanya dignosis ya kwanza ni dr bingwa. Kuna watu wengi sana, hata nchi zilizoendelea wamekuta ugonjwa walioambiwa na dr wa kwanza siyo wa kweli baada ya kwenda hospital nyingine na kumwona dr mwingine. Tukirudi upande wa Bongo, baadhi ya madaktari walivyo na tamaa na vilaza, wanaweza kukufanyia upasuaji ili tu wapate fedha.
 
Mkuu umeongea kweli nakumbuka gego langu la kushoto la chini mwisho , lilipata carriers sasa wakala kidogo ikafika hatua likawa sensitive na maji baridi nikaenda kwa hao so called specialists wa meno jamaa akakazia niling'oe na wakati nilienda kwa nia ya kuziba pekee jamaa akakaza na mimi nikamkazia kwamba sing'oi jino abadani .

Alipoona nimekaza akaamua tu kufanya ninachotaka na mpaka leo namshukuru mungu nipo sawa kabisa na ile sensitivity wala haipo .

Sasa mtu kama huyo unamweka kundi gani?
 
Kupima ECG uchochoroni huko ni bure. Kwanza mashine zao ni mbovu na wataalam wa kupima na kusoma ni vilaza. Hili limewakuta wengi.
 
Halafu sasa wanajifanya ni wajanja na wataalam kupita maelezo. Ulaya ukienda hospital manafanya discussion na dr na anakuuliza mapendekezo yako lakini Bongo dr wana viburi na wanajiona ni wataalam mno.
 
Asingekuwa na uwezo (pesa) na upeo wa kutaka kufuatilia zaidi akakomaa na mionzi angesha-RIP.

Hii nchi ukiugua ugonjwa unaoanza na jina la mtu mf Guillain-Barrè syndrome utakufa pasi kujua unaumwa ugonjwa gani.

Madaktari wamekariri magonjwa wanayokutana nayo kila siku yaani hawaendi mbali zaidi ya UTI,Malaria, Typhoid,TB.
 
Kwanza hatuna medical scientist
Pili, daktari wetu hawasomi.
Hii field inataka sana kusoma.
Mi mwenyewe kuna dokta niliwahi kumuona tena wa Muhimbili, akawa ana google khs tatizo langu ndio ananipa maelezo
Nilimuambia excuse me, nikatoka mazima.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniii
 

Huyo daktari pengine ameshawasaidia wengi kabla ya hili kutokea, na pengine wengi tayari wanamheshimu..

Kuna vitu tunasahau, daktari huyu aliletewa majibu na pathologist na pengine alipohusianisha na dalili za mgonjwa akaona ndio tatizo alilonalo.

Kesho keshokutwa hatuombei, ukiumwa utatibiwa na daktari hapa hapa tanzania. Ukipona husemi hata shukurani ila usipopona basi daktari kilaza.

Take note: usihukumu kabla hujajua ukweli wa jambo

Kuna mamlaka zinazotoa leseni na bodi za kisimamia madaktari, wao ndio watatoa tamko sahihi juu ya hili. Mitandao inakuza sana mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…