Mgonjwa kulipia 'Kumuona Daktari' Hospitali si sahihi

Mtoa mada hongera hivi umewahi fanya kazi hospitalini unajua shida zakupokea kila mgonjwa na ugonjwa wake??
Basi nyamaza usione kazi za wenzako sio kazi ni yako tu ndio kazi.
Jingine jaribu kuheshimu kazi za watu nakama huna hela yeyote omba msaada usaidiwe sio ikatwe kifuta jashi cha wengine.
Umewahi tumbua usaha wa mgonjwa na kuja kula chakula kwa wakati mmoja .

Maisha sio rahisi udhaniavyoo.
Tena kuna kama kaloleni kumuona daktari ni bure na vipimo vinalipiwa na dawa zinalipiwa .
Mf. Wewe unafanya kazi hupewi marupurupu unatumiwa tu.

Sema basi utafurahi usione kazi za watu ni zakipuuzi.

Omba doctor samahani unaendeleaje mimi doctor na shida sina hela ya kumuona daktari naomba msaada wako .
Utatibiwa . Ila kuwa kata wenzako mishahara yao sio powa
 
Reactions: apk
Kwa hyo mkuu ukishalipia kumuona daktari unalazimisha uwe unaumwa au ugonjwa wako uonekane unahisi ni rahisi tu kwamba ukilipia ndio majibu hayatakuja negative kwamba hayaoneshi una changamoto ya kiafya?
Ulipie usilipie bado haibadilishi matokeo yako unaweza ukalipia na bado ukarudi nyumbani hujui unaumwa nini kwa sababu nyingi tu za kitaalamu ambazo zingine zipo nje ya uwezo wa vipimo husika kugundua.
Nyie ndio wale mnaenda hospitali mkishapimwa mnaambiwa vipimo havioneshi una changamoto yoyote na sababu kwa nini unaambiwa lakini mnalazimisha kwamba oooh mimi nnaijua malari yangu huwa nikiumwa nakuwa hivi,sasa ungejua unaumwa malaria si ungeenda kunywa dawa ya nini kujizungusha kwa madaktari ulipe consultation fee?
 
Sawa dokta
 
Reactions: apk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…