Ila manesi sijui kwanini wanakuwa na kauli chafu,hasa akishakuwa senior...Q az
Mkuu najua ila sio kwahuduma naziziona hapa ...hivi mkuu ww unataka kupata taarifa za maendeleo ya mgonjwa wako unamuuliza NES anakufokea anakufukuza anakujibu njoo bas umuhudumie ww hapo utasema kunahuduma
Nichek pm, I'm seriousHabari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Mgonjwa anaendeleaje?? Endelea kutumia dawa na nakupa dawa hii kaifanye majibu utaleta,,,, unajua mdudu anaitwa dondola huwa anajenga nyumba yupo kama nyuki?? Sasa chukua ile nyumba maanisha ule udongo loweka masaa kadhaa kwenye maji safi na salama na hayo maji kila akisikia kiu mpe ukianza baada ya siku mbili nipe majibu .Q az
Mkuu najua ila sio kwahuduma naziziona hapa ...hivi mkuu ww unataka kupata taarifa za maendeleo ya mgonjwa wako unamuuliza NES anakufokea anakufukuza anakujibu njoo bas umuhudumie ww hapo utasema kunahuduma
Hali ya mgonjwa Bado kwakweli..maana sukari akichomwa insulin inashika Hadi 8 akikaa masaa sita akija pimwa Tena imepanda Hadi 18Mgonjwa anaendeleaje?? Endelea kutumia dawa na nakupa dawa hii kaifanye majibu utaleta,,,, unajua mdudu anaitwa dondola huwa anajenga nyumba yupo kama nyuki?? Sasa chukua ile nyumba maanisha ule udongo loweka masaa kadhaa kwenye maji safi na salama na hayo maji kila akisikia kiu mpe ukianza baada ya siku mbili nipe majibu .
Dalili zote alizoonesha hapo awali ni za kisukari. Inashangaza katika kipindi kifupi mmemuanzishia sindano za insulin. Mlipaswa kuanzia na dawa za vidonge na kufanya mabadiliko katika mlo wake wa kila siku ili kudhibiti kupanda kwa sukari. Sindano za insulin zingetumika baada ya kubaini kuwa Kwa kipindi kirefu hizo dawa hazisaidii katika kupinguza kiwango cha sukari. Kwa sasa hapo maandidhi mengi Sana kuhusu ugonjwa huu. Piteni huko ili muone jinsi ya kuudhibiti ugonjwa huu. Hilo la kutumia manyingu ni porojo Tu za kufurahisha jamvi. Hebu tujaribu kuwa serious katika kuwasaidia wenzetu na wala si wa kuwaletea mizaha.Hali ya mgonjwa Bado kwakweli..maana sukari akichomwa insulin inashika Hadi 8 akikaa masaa sita akija pimwa Tena imepanda Hadi 18
Hali ya mgonjwa Bado kwakweli..maana sukari akichomwa insulin inashika Hadi 8 akikaa masaa sita akija pimwa Tena imepanda Hadi 18
Pole sana,,, msikilize docta anachokwambia na ufate pia soma nilichoandika pale juu ujaribuHali ya mgonjwa Bado kwakweli..maana sukari akichomwa insulin inashika Hadi 8 akikaa masaa sita akija pimwa Tena imepanda Hadi 18
Ulienda hospital gani ya privateKisukari ni ugonjwa hatari usipothibiti mapema,na huambatana na presha ya juu na ukuchelewa huathiri figo nenda hosiptali kubwa akafanyiwe vipimo vya moyo, figo mimi nilikuwa imepata tatizo hilo nikaenda kituo cha afya ya serikali,nikapewa dawa ya kisukari yenye asili ya metformin haikushusa sukari nikaenda hospital nyingine private walichukua vipimo vya moyo,figo,wakanibadilishia dawa sasa niko ok sukari inacheza kati ya 6 na7 mara moja inafika 8 presha ilikuwa 185/109 lakini sasa 120/68.
Mwanzo unaanza kuugua ulikua nasukari ngapiKisukari ni ugonjwa hatari usipothibiti mapema,na huambatana na presha ya juu na ukuchelewa huathiri figo nenda hosiptali kubwa akafanyiwe vipimo vya moyo, figo mimi nilikuwa imepata tatizo hilo nikaenda kituo cha afya ya serikali,nikapewa dawa ya kisukari yenye asili ya metformin haikushusa sukari nikaenda hospital nyingine private walichukua vipimo vya moyo,figo,wakanibadilishia dawa sasa niko ok sukari inacheza kati ya 6 na7 mara moja inafika 8 presha ilikuwa 185/109 lakini sasa 120/68.
Hivi unaamini huyo ana hela ya kumpeleka mtu Aga Khan Kweli? Ni mfadhaiko wa maudhi ya manesi wa Amana unaomfanya aandike vilePoleni. Kama pesa sio ya kujadili, mpeleke Aga Khan (main) ya mjini. Huduma utapata bora kabisa, japo mfuko utatoboka kweli kweli
Mkuu pole sana nitafute kwa wakati wako il nipate kumtibia maradhi mdogo wako ili apate kupona maradhi yake auguwe pole mdogo wako.Habari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Mkuu we Kila mtu humu mtandaoni unafahamu Hali ya uchumi wake mpaka uwe namashaka mtu kumpeleka mgonjwa wake aga Khan haweziHivi unaamini huyo ana hela ya kumpeleka mtu Aga Khan Kweli? Ni mfadhaiko wa maudhi ya manesi wa Amana unaomfanya aandike vile
Mpeleke huyo mgonjwa Aghakhan , kama mgonjwa hajapata nafuu badoMkuu we Kila mtu humu mtandaoni unafahamu Hali ya uchumi wake mpaka uwe namashaka mtu kumpeleka mgonjwa wake aga Khan hawezi
Mkuu unaonekana unawivu sana. We kama huna ela si ni wewe? Mwenzio pesa si tatizo,hutaki au?Unafahamu gharama za Agha Khan wewe au unatania. Mpeleke Mhimbili acha mchezo