Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Kipimo Gani kinapima kujua sukari hii nitype 1 au sukar hii ni type 2...je kwamtu wamiaka32 sukar kapatia Umri huu mkubwa wa miaka 32 anaweza kuugua type 1 ?
Watampima kiwango cha insulin mwilini..

Yes, hata watu wazima wanapata type 1 pia...
 
Wala usijali kaka, kote tu ni pazuri, cha msingi mgonjwa apate huduma inayopaswa..
 
Mkuu ndugu yetu yuko ICU au wodi ya kawaida?

Hizi sukari wewe umeona wapi kwamba zinakuwa hivi?
 
Mkuu ndugu yetu yuko ICU au wodi ya kawaida?

Hizi sukari wewe umeona wapi kwamba zinakuwa hivi?
Mkuu kakaa ICU siku mbili wakimtoa sumu mpaka ilipoisha..
Mkuu hii sukar naijua kwa namna hii Kila akija kuchomwa insulin nipo nalala nae namuuguza kwaiyo sukar wanampima nakuepo wanarecord na mim narecord nna daftar..ndo muda wote sukari yake Iko hivo kama nlivoelezea..Leo wamembadilishia dozi dawa aina mbili watamix atachomwa mara nne asubuh,mchana,jioni saa kumi na mbili na saa nne usiku
 
Ewaa, hivyo ndivyo inavyoenda mkuu, dozi wataenda wanaifanyia "Tapering" mpaka pale itakapokaa sawa..
 
Mkuu ndugu yetu yuko ICU au wodi ya kawaida?

Hizi sukari wewe umeona wapi kwamba zinakuwa hivi?
ICU amekaa siku mbili wakimtoa sumu iliyotokana nasukar kuwa kubwa. Sasa hivi Yuko wodi yakawaida anasiku ya tatu Leo Yuko wodi ya kawaida
 
Ewaa, hivyo ndivyo inavyoenda mkuu, dozi wataenda wanaifanyia "Tapering" mpaka pale itakapokaa sawa..
Ila wamesema mkojo wake unakitu kinaitwa sjui KETON.wakasema kuwa keton mara nyingi mtu akiwa nayo kwenye mkojo basi Kuna uwezekanao akawa na type1 kwaiyo wakatoa sample ya damu tuipeleke lab ambayo hiyo sample watatuma India kujua sukar yake hasa inachangamoto Gani wakaandika vinavoenda kupimwa SERUM INSULIN na C-PEPTIDE sa sjui vinahusika na nin
 
Daaah umenitoa chozi

Hadi nimetetemeka.

Mungu akulinde mkuu, All shall be well. [emoji1488][emoji1488]🥹🥹

Kwa kweli tusijisahau sana wandugu. [emoji1488][emoji1488]
 
KWanza Poleni pia Mungu ni mwema.
Pia tuendelee kujifunza kitu juu ya haya! Hio tabia serikalini wanayo sana hata ukiumwa wakikupima vitu wanavyotaka ukiwa huna wanakupa tu antibiotic hawasumbuki kujua kama kuna shida ingine walaa! Ukiwaambia unaambiwa usiwafunze kazi!
Anyway; madaktari watuambie sumu inapaliliwa na nini tuchukue tahadhari
 
Hizo Serum Insulin na C-Peptide ndivyo vipimo vitakavyosaidia kujua ana kisukari type ipi mkuu..
 
Kuna hospital siwezi enda au peleka ndugu yangu..
1-Amana
2-Muhimbili
3-Mloganzila (Kwa Mkapa hatoki mtu)

Kwanza wafanyabiashara wa Majeneza wamewekeza sana ktk hayo maeneo hasa hapo Amana.. unakuta Majeneza yapo Standby. (Majeneza Festival)
Mbaya zaidi wasipouza wanalalamika eti biashara ngumu hahah
 
Ewaa, hivyo ndivyo inavyoenda mkuu, dozi wataenda wanaifanyia "Tapering" mpaka pale itakapokaa sawa..
Ila wamesema mkojo wake unakitu kinaitwa sjui KETON.wakasema kuwa keton mara nyingi mtu akiwa nayo kwenye mkojo basi Kuna uwezekanao akawa na type1 kwaiyo wakatoa sample ya damu tuipeleke lab ambayo hiyo sample watatuma India kujua sukar yake hasa inachangamoto Gani wakaandika vinavoenda kupimwa SERUM INSULIN na C-PEPTIDE sa sjui vinahusika
Hizo Serum Insulin na C-Peptide ndivyo vipimo vitakavyosaidia kujua ana kisukari type ipi mkuu..
Mtihani nikuwa mgonjwa huwa maisha yake yote jicho moja ndo Zima alipata ajali ya jicho kwaiyo anatumia jicho moja ty
 
Hizo Serum Insulin na C-Peptide ndivyo vipimo vitakavyosaidia kujua ana kisukari type ipi mkuu..
Sasa hivi mapigo ya moyo yake yanakua 127 Hadi 135 anachemka na kuwa nabarid anaskia hii inaweza kua nin..pia prehaa mda wote inakua 154/95 pr104 au 163/98 pr 98 au 158/100 pr 107 ...ila usiku huu mapigo ya moyo Yako 127 Hadi 135...wanampa dripu ya Panadol na dripu ya maji
 
Aisee pole sana mkuu naelewa unavyofeel
 
Mkuu, hebu wape muda hao wataalamu wamtibu nduguyo, hizi issues zingine ukiingia deep sana utapoteana...

Kuwa na imani kaka.
 
Mkuu, hebu wape muda hao wataalamu wamtibu nduguyo, hizi issues zingine ukiingia deep sana utapoteana...

Kuwa na imani kaka.
Asante sana mkuu acha nisubirie...namjibu ya sample tuliopeleka India majibu yamerudi nnya mkononi sabiria daktar nimpe majibu ya SERUM INSULIN and C-PEPTIDE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…