Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Suala la mgonjwa husika ni mlinganyo ambao hauhitaji haraka na kujikita kwenye namba moja ya kipimo cha sukari tu.
Kiasi cha sukari mwilini kiliathiri kiasi cha: madini, kemikali, hali ya asidi & bezi na physiologia ya mwili pia stresi homoni mwilini. Usipozingatia haya yote unaweza kushangaa lengo ukalifikia ghafla ila matokeo ya mwisho yakawa usio uliyotarajia.
Kuna mambo mengi kwa ujumla yanaendelea kuangaliwa. Ukitaka kufuata kiasi cha sukali peke yake unaweza kujikuta unatenda ndivyo sivyo.
Wahudumu wanajaribu kubalansi kupata kiasi toshelevu cha insulin, madini na kemikali nyingine mwilini pia mapokeo ya mwili kwa ujumla.
Uking'ang'ana na namba, ukaachana na physiologia ya mwili kwa ujumla mambo yatakuwa tofauti hivyo wape muda ila pata mrejesho halisi wa jumla wa mgonjwa na si namba tu.