Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa Chemistry.Mchikichini[emoji23][emoji23][emoji23] alikuwepo jamaa anaitwa issue boy
Issue boy mtu sana. Katufundisha tanga alikua mitaa ya 4ways arround 2009-2010Mchikichini[emoji23][emoji23][emoji23] alikuwepo jamaa anaitwa issue boy
Macho huona kwa umbali unao lingana na uwezo wakePhysics mwamba alikuwa Elias kihombo
Anaelewa madude ya physics nje ndani.. na anameza nje ndanii..
Kwenye kuelewa anashinda na kwenye kumeza anashinda
Nina uhakika Elias pepa ya Advance physics ya popote duniani anapata A
Hapana. Macho huona umbali unaowiana na uwezo wa ubongo wa mtu husika.Macho huona kwa umbali unao lingana na uwezo wake
Hmmm. Nafikiri mgote bado yupoMgote na muddy c nilisikia wote wamefariki hawa