Mgote physics anakariri vitu, haelewi

Mgote physics anakariri vitu, haelewi

Nimesoma huu uzi kwa makini nimeona mwandishi umeandika ukiwa na hisia kali. Nini kimetokea hadi kumkasirikia Mgote?
 
Physics mwamba alikuwa Elias kihombo

Anaelewa madude ya physics nje ndani.. na anameza nje ndanii..

Kwenye kuelewa anashinda na kwenye kumeza anashinda

Nina uhakika Elias pepa ya Advance physics ya popote duniani anapata A
Macho huona kwa umbali unao lingana na uwezo wake
 
Macho huona kwa umbali unao lingana na uwezo wake
Hapana. Macho huona umbali unaowiana na uwezo wa ubongo wa mtu husika.

Macho yanaweza kuwa na 576 megapixels, ila uduchu wa RAM na ROM za ubongo ukayafelisha.

Jesca: Umeona! Umeona kweli kilichotokea hapo?

Bosco: Hapana. Nimesikia kisauti tu kwa mbali.
 
Back
Top Bottom