rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ndio,ikiwezekana zaidi!Yaani apewe Fursa zote kama wanavyopewa makocha wa kigeni.
At least tungefanya kitu kizuriNinachoamini ni kwamba, .kama MGUNDA angekuwa full COACH tangu awali , mwaka. Huu STARS tuketoboa robo fainali kama si nusu...
No but to give him more time ....for creating a well trained teamKudumu umekua uchifu huo
Etoo ana makando makando mengi tu mengne yanafichwa na ubovu wa timu yake ya taifa pia Kuwa mtu wa soka au mwanasoka sio mwarobaini wa kutatua changamoto ya sokaLakini mkuu,
Kwa upande mwingine hizi wizara ilipaswa apewe mtu mwenye uzoefu ambaye anafahamu michezo au alishawahi kuwa mchezaji au kocha Hawa ndio wanaelewa kwa undani .
Lakini huwa najiulizaga Etoo amekuwa mchezaji mkubwa sana duniani, Kwanini kama raisi wa mpira nchini kwake hatuoni ile transformation inayoendana na hadhi yake wakati anafahamu kwa kinagaubaga hii sekta?
Unataka kusema wizara na viongozi wa juu watakuwa wana hujumu hivyo hafanyi kazi yake kwa ufanisi?
Mpira unaisha tanzania hawakupiga hata shots on target
Nashangaa hyu mleta uzi anaisifiaKwa uwezo gani hasa ulioonyeshwa? Yaani mchezo mzima hakuna Mpira uliopigwa GOLINI halafu eti apewe timu? Ebu tuwe "serious" kidogo yaani mechi unayotakiwa kushinda usonge mbele unacheza OVYO hivyo halafu watu wanasema kwamba upewe timu moja kwa moja. Mmelogwa AMA?
Ebu angalia hapa
View attachment 2884647
Kwahiyo mganga akisema huyu ana nyota tunampa timu! Mbona simba wamemtoa kama kweli ana nyota.
Nyota ya robertinho ilikuwa kaliiiKwahiyo mganga akisema huyu ana nyota tunampa timu! Mbona simba wamemtoa kama kweli ana nyota.
Ila we dada ni kiaz kweli,nimeona comments zako apo juu zinahuzunisha sana,napata wasiwasi na elimu yakoEtoo ana makando makando mengi tu mengne yanafichwa na ubovu wa timu yake ya taifa pia Kuwa mtu wa soka au mwanasoka sio mwarobaini wa kutatua changamoto ya soka
Unakumbuka afcon ya 2022 iliofanyika cameroon chini ya FA ya kule ikiongozwa Etoo kulipotea mabus 89 yaliotumika kubeba timu shiriki kwa mtu kama etoo hayakupaswa kutokea kwenye uongozi wake yeye ameachieve mengi makubwa
Mi naona kwa mwafrika swala la uadilifu na uwajibikaji ni changamoto sana tumetawaliwa na ubinafsi sana
Asante sana mama angu mimi Elimu yangu ni ya darasa la 7bIla we dada ni kiaz kweli,nimeona comments zako apo juu zinahuzunisha sana,napata wasiwasi na elimu yako
Ndumbaro ana timu Gani ya kumpa huyo Mgunda? Hata Saa100 hana hiyo timu.Namuagiza Ndumbaro Ampe Team Mgunda
Boll Itembee
We kila ulichofanikiwa kukifanya ulisha kifanya kabla?Hiv Mgunda ana mafanikio gani kwenye hii nch hadi achukue team ya taifa, au ndio kumjaribu?
Mpeni either simba au Yanga tuone kama atabeba ubingwa japo misimu miwili consecutive kisha tumpe team ya taifa,
Stars bora tumpe Nabi au Gamond
Yaani apewe Fursa zote kama wanavyopewa makocha wa kigeni.