Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Kuna kipindi mlimpigia debe Mkwasa Ila kilichotokea Algeria Kila mtu anajua.
Vikozi vyenu vya wiki mbili, mtu hajawahi kuchukua hata ubingwa mnataka kufanya majaribio.
Msione Morocco, Senegal Wana makocha wazawa, wale cv zao zimeshina na sio nyienaotaka kufanya Tanzania kichwa cha mwendawazimu.
 
Lakini mkuu,
Kwa upande mwingine hizi wizara ilipaswa apewe mtu mwenye uzoefu ambaye anafahamu michezo au alishawahi kuwa mchezaji au kocha Hawa ndio wanaelewa kwa undani .

Lakini huwa najiulizaga Etoo amekuwa mchezaji mkubwa sana duniani, Kwanini kama raisi wa mpira nchini kwake hatuoni ile transformation inayoendana na hadhi yake wakati anafahamu kwa kinagaubaga hii sekta?
Unataka kusema wizara na viongozi wa juu watakuwa wana hujumu hivyo hafanyi kazi yake kwa ufanisi?
Etoo ana makando makando mengi tu mengne yanafichwa na ubovu wa timu yake ya taifa pia Kuwa mtu wa soka au mwanasoka sio mwarobaini wa kutatua changamoto ya soka
Unakumbuka afcon ya 2022 iliofanyika cameroon chini ya FA ya kule ikiongozwa Etoo kulipotea mabus 89 yaliotumika kubeba timu shiriki kwa mtu kama etoo hayakupaswa kutokea kwenye uongozi wake yeye ameachieve mengi makubwa
Mi naona kwa mwafrika swala la uadilifu na uwajibikaji ni changamoto sana tumetawaliwa na ubinafsi sana
 
Kwa uwezo gani hasa ulioonyeshwa? Yaani mchezo mzima hakuna Mpira uliopigwa GOLINI halafu eti apewe timu? Ebu tuwe "serious" kidogo yaani mechi unayotakiwa kushinda usonge mbele unacheza OVYO hivyo halafu watu wanasema kwamba upewe timu moja kwa moja. Mmelogwa AMA?
Ebu angalia hapa

View attachment 2884647
Nashangaa hyu mleta uzi anaisifia
Team wkt haiku perform

Ova
 
Wachezaji sahv angalau wanapata pesa,wanawezeshwa lkn hawajitumi
Pmb£f kabisa
Mechi ya zambia ndy ilikuwa inaweka sehemu nzr wamecheza na team wako pungufu na wamech3mka

Ova
 
Etoo ana makando makando mengi tu mengne yanafichwa na ubovu wa timu yake ya taifa pia Kuwa mtu wa soka au mwanasoka sio mwarobaini wa kutatua changamoto ya soka
Unakumbuka afcon ya 2022 iliofanyika cameroon chini ya FA ya kule ikiongozwa Etoo kulipotea mabus 89 yaliotumika kubeba timu shiriki kwa mtu kama etoo hayakupaswa kutokea kwenye uongozi wake yeye ameachieve mengi makubwa
Mi naona kwa mwafrika swala la uadilifu na uwajibikaji ni changamoto sana tumetawaliwa na ubinafsi sana
Ila we dada ni kiaz kweli,nimeona comments zako apo juu zinahuzunisha sana,napata wasiwasi na elimu yako
 
Hiv Mgunda ana mafanikio gani kwenye hii nch hadi achukue team ya taifa, au ndio kumjaribu?
Mpeni either simba au Yanga tuone kama atabeba ubingwa japo misimu miwili consecutive kisha tumpe team ya taifa,

Stars bora tumpe Nabi au Gamond
We kila ulichofanikiwa kukifanya ulisha kifanya kabla?
 
Back
Top Bottom