Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Zali la kufungia mwaka mkuu.Uwiiii nimechelewa kuiona hii thread.Mtoa mada huo mguu sio wangu ni wa Elizabeth Michael mie niliipenda tu nikasema niitumie kama avator yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zali la kufungia mwaka mkuu.Uwiiii nimechelewa kuiona hii thread.Mtoa mada huo mguu sio wangu ni wa Elizabeth Michael mie niliipenda tu nikasema niitumie kama avator yangu.
Mwenzangu ni zali la mentali naona hadi pete anataka kunivisha....Zali la kufungia mwaka mkuu.
Kama uliomba mvua ya Baraka ndiyo imeanza kunyesha.Mwenzangu ni zali la mentali naona hadi pete anataka kunivisha....
Awamu sio hawamuHawamu ya 5 ni viwanda.
AMEIZINGUnawezakuta mguu uko vizuri lakini sura kama anajiandaa kupiga chafya.
Sky EclatKama uliomba mvua ya Baraka ndiyo imeanza kunyesha.
Hahaha kwa nini usiseme nini kina nibana umekimbilia kusema nani!?Hiv nani anakubana unapotea ujue
Hicho hicho kinaweza kua ni niniHahaha kwa nini usiseme nini kina nibana umekimbilia kusema nani!?
hapana ni wakoUwiiii nimechelewa kuiona hii thread.Mtoa mada huo mguu sio wangu ni wa Elizabeth Michael mie niliipenda tu nikasema niitumie kama avator yangu.
Teh teh!Hicho hicho kinaweza kua ni nini
Ngoja niangalie isije kuwa ni manyunyu tu[emoji1]Kama uliomba mvua ya Baraka ndiyo imeanza kunyesha.
Acha uongo!Uwiiii nimechelewa kuiona hii thread.Mtoa mada huo mguu sio wangu ni wa Elizabeth Michael mie niliipenda tu nikasema niitumie kama avator yangu.
Mwenzangu na nakumbuka kweli uliniambia ila sikutegemea hayahahahahahaha Honey Faith nilikwambia umeona cha cha....
Asante ndugu yangu kwa kuniitaHoney Faith unaitwa huku na Mende msafi.
wachanganye zaidi tupia mgua wako originalUwiiii nimechelewa kuiona hii thread.Mtoa mada huo mguu sio wangu ni wa Elizabeth Michael mie niliipenda tu nikasema niitumie kama avator yangu.
Manyau nyau karudi kazini.Ngoja niangalie isije kuwa ni manyunyu tu[emoji1]
Kuna sehem nimekuita kuna mama ana miaka 52 anahitaji faraja toka kwa vijana kama nyinyi angalia notificationTeh teh!
Mambo meng tuu, lakin huwa nakuwa nawe kiroho/ki mawazo
Ok sawahapana ni wako
Serious nimeiona mda huu siku hizi ninawahi sana kulalaAcha uongo!