Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa anavyopandikiza watu wake ndani ya chaguzi za ccm inaoneka ana siri kubwa zaidi hata ya huo uraisi. Inaoneka hayuko mwenyewe kwenye hilo genge la kununua kura huenda kuna watu walio hata njee ya nchi wanaompaa pesa za kuhonga.haingii akilini akawa na hela ya kuwahonga wajumbe wa wilaya zaidi 80.tukumbuke maneno ya mwalimu huyo hafai kuwa raisi,muda mfupi tu kapewa uongozi kawa tajiri wa kutisha je akiwa raisi itakuwaje?watanzania tusikubali tutakuja juta kuliko tunavyoweza fikiria.
Leteni hoja acheni majungu na hadidhi za abunuwasi. Ni nani aliye msafi?
Lowassa anavyopandikiza watu wake ndani ya chaguzi za ccm inaoneka ana siri kubwa zaidi hata ya huo uraisi. Inaoneka hayuko mwenyewe kwenye hilo genge la kununua kura huenda kuna watu walio hata njee ya nchi wanaompaa pesa za kuhonga.haingii akilini akawa na hela ya kuwahonga wajumbe wa wilaya zaidi 80.tukumbuke maneno ya mwalimu huyo hafai kuwa raisi,muda mfupi tu kapewa uongozi kawa tajiri wa kutisha je akiwa raisi itakuwaje?watanzania tusikubali tutakuja juta kuliko tunavyoweza fikiria.
Mie sio shabiki wa El ila napenda ukweli mbona watu huwa wanasema tu Nyerere alimwambia hizo mali ulizipata wapi hawamalizii yote mengine,labda niwakumbushe swali hilo aliulizwa baada ya kukodi ndege wakati wa uchaguzi 1995 na mtu wa kwanza kuulizwa mmekodi ndege mmepata wapi hela alikuwa Jk akasema sio mimi mwl ni El ndio akamwambia El hivi utajiri wako hauendani na umri ulionao na kazi ufanyazo japo kweli baba yako alikuwa tajiri sana wa ng'ombe yawezekana ni urithi lakin haiwezi kukufikisha kwenye utajiri huu kiongozi anaetumia mali kuingia ikulu hatufai, tofauti ya El na mwalimu haikuanzia hapo bali tangia huko nyuma kuna wakati mwalimu alimuomba awe katibu wa Ccm akakataa. El ni tajiri sana na utajiri wake haukuanza juzi tangia kwa baba yake amekuwa akiuendeleza tu japo inaweza ikawa kachanganya na za ufisadi kwani Ccm hakuna ambaye sio fisadi,El ni bora mara 300 ya JK