Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa ni Tajiri sana hata kabla hajawa waziri mkubwa. Nitashangaa kama tajiri anaulizwa kuwa pesa anatoa wapi. Tatizo la Lowassa na baadhi ya viongozi wengine matajiri ni pale wanaposhindwa ku declare interests zao in time. EL anamiliki ma estate nyingi hapa Arusha, ana Shares kubwa kwenye makampuni ya utalii kama vile Leopard nk.
Ni malipo aliyoyapata na anayoendelae kuyapata toka shamba la marehemu TANZANIA km mmoja aliwahi kusema humu shamba la marehem halinya mwenyewe ni tofauti na shamba la bibiIle njemba hatari bana mie nafikiri baadhi ya pesa ilizaliwa nazo
Ni malipo aliyoyapata na anayoendelae kuyapata toka shamba la marehemu TANZANIA km mmoja aliwahi kusema humu shamba la marehem halinya mwenyewe ni tofauti na shamba la bibi
Jamii01, fuatilia thread za Lowassa humu utaziona mpaka mali zake zimeorodheshwa!. Lowassa ni tajiri wa ukweli aliyepata mali zake zote kihalali na ndio maana amezisajili zote kwa jina lake na la mkewe Rejina!.
Ila hakuna ubishi CCM imegubikwa na ufisadi hali inayopelekea kila yeyete mwenye chochote kitu kuonekana fisadi.
Lowassa ni miongoni mwa wanaitwa mafisadi wakuu kufuatia kukubali kulibeba lile zigo kubwa la Richmond ili kumnusuru best wake na chama chake na aibu ya mwaka, hivyo yeye kuchafuka kwa kukubali kujitwisha msalaba wa ukombozi na salama ya CCM!.
Anachokifanya huko makanisani na kwenye michango mbalimbali ni kuonyesha uwezo wake kwenye kitu kinachoitwa mass mobilization kwa ajili ya kujiletea maendeleo, kitu ambacho JK ameshindwa kabisa!.
Hilo la kuandikwa magazetini, na kwenye vyombo vya habari, ni kufuatia EL kuwa na mvuto wa ajabu uliotoka kwa Mungu. Kila asemalo linamantik kwa hali ilivyo sasa!. Lowassa ni photo genic!, akipigwa picha anapendezea!, akiongea anavutia kumsikiliza!, na kikubwa zaidi yeye sio mtu wa maneno maneno na vitendo sifuri kama JK, yeye ni mtu wa maneno mafupi na vitendo virefu.
Wakuu wengi waliopo wakisikia JK atatembelea mahali, huandaa taarifa safi, mkuu akifika, akishasomewa taarifa, hupiga makofi na kuendelea na ziara!. Enzi za Lowassa akishasomewa taarifa huipokea na kuelekea physically kuyaangalia hayo yaliyozungumziwa!. Hivyo watu wakisikia JK anakuja, hukaa miguu juu, ila wakisikia ni Lowassa!, kijasho huwa kinawatoka maana jamaa hakubali kabisa longo longo yoyote!.
Ni kufuatia utendaji huu ndio maana mimi na wenzangu wachache humu jukwaani, tumeamua kujitolea kumsafisha Lowassa na ule uchafu wa Richmond, tunamtaka alitue hilo zigo amkabidhi mwenyewe, na yeye ndie ateuliwe kuwa mgombea wa CCM tumpigie debe, aingie Ikulu!.
Swala ni kwamba utajiri wake unasababishwa na nn, Nafikiri kujua mtu tajiri anafanyaje mapaka anafanikiwa ni njia sahihi pia ya wewe pia kuanza kuwa tajiri,, changia mda mkuuAnafanya kazi kwa bidii tofauti na waswahili wengi ambao kazi yao ni kupiga umbeya na majungu tu na mwisho wanakufa wakiwa maskini...inaonekana na wewe ni mmoja wao!
Anamiliki Kampuni ya Event planning and management ya ENDEPA, Kupitia mwanae Pamela inalipa si kitoto.Anamiliki maduka ya kuosha nguo (dry cleaner), ana kampuni ambayo ni moja ya mawakala wakubwa wa Voidacom, ni mfugaji, anamiliki majumba kadhaa makubwa Dar es Salaam na pesa nyinmgine anaipata kwa kuwachangisha marafiki zake
Most of the Tanzanians can not wait to see this happen.
By the way, why EL Ikulu? Kwani hakuna watu wengine? kwani asipopata huo urais itakuwaje?
Kama ni mtu safi hakuna haja ya kumsafisha, hana haja ya kutafuta symphy ya makanisa. Akae Kimya then CCM will pick him.
Kama ni mtu safi kama unavyosema, kwa nini hakuwa na guts za kumjibu Nyerere?
Mind you, EL alirudi kwenye cabinet badala ya kumpeka JKM kwenye safari yake ya Mwisho kule Butiama.