Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

ulishawahi kumuuliza baba yako wakati anakulisha pesa unatoa wapi baba???!!!
naona kila kukicha zinazidi????!!!
achezi roho za kwa nini,mtalia lia kama walibya gaddafi wamuue tubaki wananchi tunatwangana na suluhu haijulikani lini.
 
Sio lazima awe anatoa yeye..ana watu wake wengi tu wana support ingawa naye ana pesa sana ana mifugo mingi sana zaidi ng'ombe 6000 na kampuni kibao za tours, hisa viwanda kibao hasa bomba na miradi yake mingine!ana pesa mingi sana uliza JK atakuambia
 
Aisee rafiki acha tania mwenzetu c tunausa ng'ombe tunapata pesa mingi sana,pesa ingine c hatupeleki bank tunaweka kwenye mapipa nyumbani!
 
He is a very clever Man, anasuport nying sana ndani na nje ya nchi. Anafanya mambo mazuri sana kwa jamii. Kama mtu mwingine yeyote kwenye chama tawala angekua na uwezo alionao EL ninauakika angeichafua sana hii nchi. Tummpe haki yake, tusitafute chuki zisizo na maendeleo. Akichukua nchi tutapiga hatua kubwa sana, Mimi namkubali hata kama akiwa mgombea binafsi.
Nawakilisha.
 
ulishawahi kumuuliza baba yako wakati anakulisha pesa unatoa wapi baba???!!!
naona kila kukicha zinazidi????!!!
achezi roho za kwa nini,mtalia lia kama walibya gaddafi wamuue tubaki wananchi tunatwangana na suluhu haijulikani lini.
sikuwahi kumuuliza bse mzee wangu kama walivyo wazee wengine hawana pesa as huyu mmasai
 
Sio lazima awe anatoa yeye..ana watu wake wengi tu wana support ingawa naye ana pesa sana ana mifugo mingi sana zaidi ng'ombe 6000 na kampuni kibao za tours, hisa viwanda kibao hasa bomba na miradi yake mingine!ana pesa mingi sana uliza JK atakuambia
nadhani kwa pesa mzee SSB anaongoza hapa TZ sasa huyu mzee wa kimasai yeye mmmh
 
He is a very clever Man, anasuport nying sana ndani na nje ya nchi. Anafanya mambo mazuri sana kwa jamii. Kama mtu mwingine yeyote kwenye chama tawala angekua na uwezo alionao EL ninauakika angeichafua sana hii nchi. Tummpe haki yake, tusitafute chuki zisizo na maendeleo. Akichukua nchi tutapiga hatua kubwa sana, Mimi namkubali hata kama akiwa mgombea binafsi.
Nawakilisha.

Rafiki yangu Lowassa ni mwizi tangu enzi za baba wa taifa ndo maana baba wa taifa alikuwa hataki hata kumsikia. Lowassa anamiliki makampuni ya Alpha dry and cleaners nchi nzima, ana miliki kampuni ya AlphaTel ambayo ni mojawapo ya super dealers wa VodaCom. Pia ana miliki kampuni inaitwa Babare ambayo inaonekana anashirikiana na Wasomali sijuwi wanafanya biashara gani nao. Pia ana makampuni ya Tours. Jamaa huyu pia inaaminika kuwa ana Hotel huko Afrika ya Kusini na kwingineko kusikojulikana na ana miliki nyumba kadhaa DAR na kwingineko n.k n.k. Nahisi pia ana migao kwenye makampuni ya uzalishaji ya umeme yanayoizua TANESCO umeme kwa bei kubwa kuliko bei ambayo TANESCO inatuuzia wananchi (hii ni kwa TZ tu, shamba la bibi).
 
heshima kwa wanajukwaa.Nimekuwa napata taarifa kumuhusu Lowasa, leo kasaidia mil 70 Mbeya,kesho Mil 100 KKKT Mwanza nk.
Mh Lowasa ni mbunge kama wabunge wengine na hata kama atasema anatumia pension ya uwaziri mkuu haitatosha nishawishi kuamini anapotoa pesa hizo..kwa mahesabu ya harakaharaka huyu mzee anafikisha mil 500 na zaidi kwa mwaka huu pekee kwa misaada tu. kwa mimi mTanganyika wa kawaida hizi pesa ni nyingi sana..
Mheshimiwa ninaomba unijuze wapata wapi hizo senti na mimi nkajichotee.

anapata pesa BANK
 
Watu mna penda kuchonga sana mwizi mwizi ,si muweke ushiadi,Kam lowassa ana hisa sehemu tofauti basi hisa tu zinaweza mfanya atumie hata 700 million.Mfano wakati Hisa za Crdb zina uzwa kipindi cha nyuma Bwana Mengi alinunua za 1B kipindi faida inatoka alipata faida ya 500m nusu ya hela aliyo invest. So lowassa nae kama ana hisa zake ambazo haijulikani ka invest how much lazima zinamlipa just like Mr Mengi.hii ni Hisa tu bado Biashara zake zingine anzo fanya .msimsingizie Mzee wa watu Mambo mengine ambayo hayapo.
 
Rafiki yangu Lowassa ni mwizi tangu enzi za baba wa taifa ndo maana baba wa taifa alikuwa hataki hata kumsikia. Lowassa anamiliki makampuni ya Alpha dry and cleaners nchi nzima, ana miliki kampuni ya AlphaTel ambayo ni mojawapo ya super dealers wa VodaCom. Pia ana miliki kampuni inaitwa Babare ambayo inaonekana anashirikiana na Wasomali sijuwi wanafanya biashara gani nao. Pia ana makampuni ya Tours. Jamaa huyu pia inaaminika kuwa ana Hotel huko Afrika ya Kusini na kwingineko kusikojulikana na ana miliki nyumba kadhaa DAR na kwingineko n.k n.k. Nahisi pia ana migao kwenye makampuni ya uzalishaji ya umeme yanayoizua TANESCO umeme kwa bei kubwa kuliko bei ambayo TANESCO inatuuzia wananchi (hii ni kwa TZ tu, shamba la bibi).

Usiongee kama uko kijiweni. Tupe ushahidi hapo kwenye nyekundu kwanza. Kama uwezi nenda kalale na chuki zako!
 
Najiuliza na kukosa majibu Mh.Lowasa si mfanyabiashara,zaidi ya kuwa mbunge,nimejionea siku za hivi karibuni katika vyombo vya habari akichangia mambo mengi hasa katika miradi ya maendeleo na katika taasisi binafsi na zamakanisa.Huyu mweshimiwa pesa anazitoa wapi?

Je alikwisha tangaza mali zake hadharani? na kipato chake kiko vipi?Alipokuwa waziri katika awamu ya tatu kwa nini akufanya hivyo?na alipokuwa waziri mkuu kwa nini alishidwa kufanya hivyo? Na kwa nini safari zake na hotuba zake zinapewa umuhimu mkubwa katika vyombo vyetu vya habari?

"Hawaniwezi na wala Hawaninyimi usingizi" Edward Ngoyai Lowassa
 
No free lunch in this world, [Wazungu]. Ukitaka kula sharti uliwe kidogo, [JK]. Sasa kaa ukijua, ipo siku moja zitarudi tena nyingi zaidi.

....inategemea...Zambia walikula na kura walimpa SATTA...so usikariri mkuu!
 
Hujui kuwa hizo anazotowa ni rushwa? kama si rushwa si angetowa kimya kimya, matajiri kibao wanatoa sadaka na misaada zaidi yake lakini huwasikii kutangaza wala kusema.
 
Richmond ilikusanya moa than 100m kwa siku kwa moa than 3years. Kuna nini tena hapo.
 
....inategemea...Zambia walikula na kura walimpa SATTA...so usikariri mkuu!
Yeah, you are right Christine!! Wakati nachangia hii maada ilikuwa kama January 2012, leo hii ni June 2012! kati January hadi June kuna vitu vingi sana vimetokea kiasi cha huo mchango wangu hauna ukweli kwa 100%!! Its like answering a question this year about the economy of a certain country, when the same question is asked say the next year! definitely the answer will be different! unless someone is not doing his homework!
 
Najiuliza na kukosa majibu Mh.Lowasa si mfanyabiashara,zaidi ya kuwa mbunge,nimejionea siku za hivi karibuni katika vyombo vya habari akichangia mambo mengi hasa katika miradi ya maendeleo na katika taasisi binafsi na zamakanisa.Huyu mweshimiwa pesa anazitoa wapi?

Je alikwisha tangaza mali zake hadharani? na kipato chake kiko vipi?Alipokuwa waziri katika awamu ya tatu kwa nini akufanya hivyo?na alipokuwa waziri mkuu kwa nini alishidwa kufanya hivyo? Na kwa nini safari zake na hotuba zake zinapewa umuhimu mkubwa katika vyombo vyetu vya habari?
Katika watu wenye biashara kubwa huyo ni mmojawapo rafiki,hawezi kufilisika leo wala kesho,aliposema Pinda kuwa kuwakamata mafisadi uchumi wa nchi utayumba hakukosea
 
kundi genge nyuma yake linajiita "friends of lowassa" ndio linalowezesha hayo mamilioni ya lowassa makanisani,cha kujiuliza kama kweli Lowassa ana nia ya kugombea urais then (mungu apishie mbali)akaupata,hawa jamaa atawalipa vipi?atafanya biashara gani pale ikulu itakayomuwezesha kuwalipa hawa marafiki zake????

Sio lazima awalipe fadhila akipata urais anaweza kuwatosa kama alivyofanya Kikwete
 
Maswali magumu yasiyo na majibu ya haraka haraka! Lowasa ni mwanasiasa aliyeanza siasa miaka ya 1978/1979 baada ya kumaliza Masters yakie. Hajawai kufanya kazi nyingize zaidi ya siasa. Mtu tajiri namna hii, ambae ni mwanasiasa, ni wa kuogopwa sana! Nchi za wenzetu watu matajiri hawatokani na siasa. Kwa ujumla wake, HUYU NI MWIZI TU! Hakuna jibu lingine!
 
Back
Top Bottom