Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

maneno ya mwl.nyerere yasije fanya waTZ wakakosa raisi bora ni wazi mh.edward lowasa alitilewa kafara na serikali makusudi na kuahidiwa kusafishwa kiasi kwamba amekua akitumia nguvu za ziada kwake binafsi ili kwenda kuqeka mambo sawa,na hili la kuji udhuru ili kutii dhana ya uwajibikaji limeshaonekana sasa ni jambo bovu kabisa na ndo mana kina muhongo ilikua ngumu kutokana na kutupiwa kila hila mbovu,na ndo mana democrasia ya tz bado ipo chini sanaaa.ila mwisho qa yote kila kitu kitawekwa wazi mwaka huuu na nikimuangalia bwana EL ana mengi kayafumba ni jambo la kungoja muda tu
 
Tuwekee ushahidi nani kamnunua acha kuropoka mtoto wa kiume

Pole sana kama hujapata kula from NGOYAI, a man is investing a lot in presidential race enterprises, payback period in only 10years, which enterprise has a short payback period like this? makanisa wamekula, mashekh wala sasa sijui weye uko nchi gani yakhe.
 
maneno ya mwl.nyerere yasije fanya waTZ wakakosa raisi bora ni wazi mh.edward lowasa alitilewa kafara na serikali makusudi na kuahidiwa kusafishwa kiasi kwamba amekua akitumia nguvu za ziada kwake binafsi ili kwenda kuqeka mambo sawa,na hili la kuji udhuru ili kutii dhana ya uwajibikaji limeshaonekana sasa ni jambo bovu kabisa na ndo mana kina muhongo ilikua ngumu kutokana na kutupiwa kila hila mbovu,na ndo mana democrasia ya tz bado ipo chini sanaaa.ila mwisho qa yote kila kitu kitawekwa wazi mwaka huuu na nikimuangalia bwana EL ana mengi kayafumba ni jambo la kungoja muda tu

Swali kwa nini anataka sana kwenda ikulu? na vipesa anatumia atarudishaje mipesa yake? nanukuu " pesa napewa na rafiki zangu" hao rafiki zake ni akina nani wanaomchangia ili aingia ikulu, atawalipa fadhira gani, kwaani wamemwaga mipesa mingi sana.
 
Mbona Kikwete aliwekeza zile kidogo za EPA na amejilipa kikubwa za Escrow. Mipango tu ya namna ya kuiba kwa wana ukoo wa panya...
 
kwani uwaziri ni cheo cha maisha?

Ndiyo maana tulimfukuza, hata urais si cheo cha maisha aachane nacho pia kwaani tutamfukuza pia, kwa sababu ni jizi liilokubuhu.
 
Haiwezekani kwa nchi maskini kamaTanzania mtu amwage pesa naman anavyofanya Lowasa ili aingie Ikulu lazima atauza nchi.Kwakua amejipambanua kwa pesa nadhani watanzania hiyo iwe sababu tosha kumnyima urais.
 
Jamii01, fuatilia thread za Lowassa humu utaziona mpaka mali zake zimeorodheshwa!. Lowassa ni tajiri wa ukweli aliyepata mali zake zote kihalali na ndio maana amezisajili zote kwa jina lake na la mkewe Rejina!.

Ila hakuna ubishi CCM imegubikwa na ufisadi hali inayopelekea kila yeyete mwenye chochote kitu kuonekana fisadi.

Lowassa ni miongoni mwa wanaitwa mafisadi wakuu kufuatia kukubali kulibeba lile zigo kubwa la Richmond ili kumnusuru best wake na chama chake na aibu ya mwaka, hivyo yeye kuchafuka kwa kukubali kujitwisha msalaba wa ukombozi na salama ya CCM!.

Anachokifanya huko makanisani na kwenye michango mbalimbali ni kuonyesha uwezo wake kwenye kitu kinachoitwa mass mobilization kwa ajili ya kujiletea maendeleo, kitu ambacho JK ameshindwa kabisa!.

Hilo la kuandikwa magazetini, na kwenye vyombo vya habari, ni kufuatia EL kuwa na mvuto wa ajabu uliotoka kwa Mungu. Kila asemalo linamantik kwa hali ilivyo sasa!. Lowassa ni photo genic!, akipigwa picha anapendezea!, akiongea anavutia kumsikiliza!, na kikubwa zaidi yeye sio mtu wa maneno maneno na vitendo sifuri kama JK, yeye ni mtu wa maneno mafupi na vitendo virefu.

Wakuu wengi waliopo wakisikia JK atatembelea mahali, huandaa taarifa safi, mkuu akifika, akishasomewa taarifa, hupiga makofi na kuendelea na ziara!. Enzi za Lowassa akishasomewa taarifa huipokea na kuelekea physically kuyaangalia hayo yaliyozungumziwa!. Hivyo watu wakisikia JK anakuja, hukaa miguu juu, ila wakisikia ni Lowassa!, kijasho huwa kinawatoka maana jamaa hakubali kabisa longo longo yoyote!.

Ni kufuatia utendaji huu ndio maana mimi na wenzangu wachache humu jukwaani, tumeamua kujitolea kumsafisha Lowassa na ule uchafu wa Richmond, tunamtaka alitue hilo zigo amkabidhi mwenyewe, na yeye ndie ateuliwe kuwa mgombea wa CCM tumpigie debe, aingie Ikulu!.

Tunamuomba achangie pesa kwenye ununuzi wa madawati,vitabu na ujenzi wa maabara mashuleni hapo tunaweza kumuelewa vinginevyo anapoteza muda
 
Swali kwa nini anataka sana kwenda ikulu? na vipesa anatumia atarudishaje mipesa yake? nanukuu " pesa napewa na rafiki zangu" hao rafiki zake ni akina nani wanaomchangia ili aingia ikulu, atawalipa fadhira gani, kwaani wamemwaga mipesa mingi sana.

kila mtanzania anayo haki ya kuutamani uongozi wa nchi kuanzia chini mpaka juu kabisa, na kila chama kina utaratibu wa namna ya kumpata mtu atakayepeperusha bendera yake. Sioni hatia hata kidogo kwa EL kutamani nafasi hiyo ya juu kabisa nchini. Sioni sababu ya EL pekee kuwa the subject of discussion while thy are many in the race. Sumaye, Membe, Nyalandu, Makamba, sita etc wote wanataka urais iweje wasishambuliwe? Lowassa hajaanza leo kusaidia watu kwenye makundi kama shule, nyumba za ibada, vicoba etc ila ni hulka yake.
 
Mkuu kuutaka Urais siyo tatizo hata me nautamani, lkn pesa anazotumia kuutafuta amezitoa wapi? na atazirudishaje? kwa sababu kila atoae hutegemea fidia, au faida? huyu ataenda kuuza nchi.
 
Mkuu kuutaka Urais siyo tatizo hata me nautamani, lkn pesa anazotumia kuutafuta amezitoa wapi? na atazirudishaje? kwa sababu kila atoae hutegemea fidia, au faida? huyu ataenda kuuza nchi.

jama iko pesa, anakodi washangiliaji kama tunavyokodi wailiaji msibani hahahaha
 
jama iko pesa, anakodi washangiliaji kama tunavyokodi wailiaji msibani hahahaha

Akiweza kutuambia/kutushawishi kitu gani hasa kinamsukuma kugombea urais tutamfikiria, atujibu pia kwa nini yuko tayari kutumia pesa kwenda ikulu?
 
Akiweza kutuambia/kutushawishi kitu gani hasa kinamsukuma kugombea urais tutamfikiria, atujibu pia kwa nini yuko tayari kutumia pesa kwenda ikulu?

anataka kuonesha kuwa yeye ni kiongozi bora na si bora kiongozi
 
Bora EL ambae utajiri wake kidogo anawapa maskin kuliko akina chenge ambao kila deal wamo lakn kuchangia maabara,kanisa,saccos ni shidaaaaa
 
Bora EL ambae utajiri wake kidogo anawapa maskin kuliko akina chenge ambao kila deal wamo lakn kuchangia maabara,kanisa,saccos ni shidaaaaa

kasome kitabu cha makruku wa silaha duniani ndio utajua makina El na chenge ni kina nani na pesa wanapata wapi?

Reference: Book Review: The Shadow World by Andrew Feinstein ...

http://www.bloomberg.com/bw/magazine/book-review-the-shadow-world-by-andrew-feinstein-11172011.html
 
Baada ya CCM kushuhudia nguvu ya EL, Pinda ameombwa tuu ili kumtumia kuhala,lisha kulikata jina la EL katika hatua za awali kabisa, ndani ya CC ili lisiingie NEC!.

Baada ya kumchinjia baharini EL, kuna watu wengine wawili watalazimishwa kuingia kwenye race, ambao ni "The choosen one", na "the Zanzibar pace maker!", yaani yule ambaye wamemdhamiria ndio awe rais wa 2015, na mgombea mmoja weak kutoka Zanzibar prefarably Amina Salum Ally, ila majina hayo matatu, yaani 'boya' la bara, The Choosen One and boya la Zanzibar, ndio yatatinga Mkutano Mkuu wa CCM. Huko amini usiamini hao maboya wanaweza kujitoa. Pia wanaweza kubaki, ili tuu kuithibitishia jumuiya ya kimataifa kuwa CCM ni chama cha kidemokrasia!, hivyo watapata kura chache, lakini kura za ushindi ni kwa the choosen one!.

EL akishakatwa, atakuwa under survailance 24/7 asije ku defect na kuimiza CCM!, na wakiona kuna dalili yoyote ya defection, "watamaliza kazi!", kwani Dr. Omar Ali Juma, ilikuwaje?!, tena Jumbe ana bahati sana, alifanya upuuzi ule chini ya Nyerere, mcha Mungu na mtu wa Imani, EL asipojiangalia kwa makini, kufika kwake October 2015 ni majaaliwa sana!.

Haya ni maoni yangu tuu, "no inside trading yoyote!".

Pasco.

Nafanya marejeo tuu kufuatia tetesi ya possibility ya defection!, we don't want tragedy!.

Pasco
 
Back
Top Bottom