MH JAJI MKUU;PITIEN KAGUENI HIZI MAHAKAMA ZA MWANZO ZINA MATESO KULIKO YA BWANA YESU..HAYAELEZEKI..WANANCHI WANATESEKA SANA

MH JAJI MKUU;PITIEN KAGUENI HIZI MAHAKAMA ZA MWANZO ZINA MATESO KULIKO YA BWANA YESU..HAYAELEZEKI..WANANCHI WANATESEKA SANA

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
MH JAJI Mkuu
Shikamoo Baba Yangu habari za uzima naamini Mungu ametuamsha salama kusaidia wananchi wako

Baba yetu mzee wetu leoo nimeona nikujuze tu kwa yanayaoendelea mahakama za mwanzo

MH JAJI MKUU
Mahakimu WA mahakama za mwanzo wanatesa sana wananchi wanaumiza sana WANANCHI WASIO na uwezo

YAAN HATA watu wanakwenda jela sio wote Wana MAKOSA

iMH JAJI MKUU YAAN kuna watu wafanyabiashara wenye pesa wakiamua kukuweka ndani MH unafungwa kifungo anachotaka yeye mhusika aliemleta mwenye kosa

HATA ujitetee vipi mahakimu wamekuwa hawana MSAADA kabisa hawaelewi

Naliaga sana na nilishaandika malalamiko hasa ya MIRATHI yanavyotesa wananchi kwenye hizi mahakama za mwanzo

Ukweliii ZIMEKUWA sio mahakama za MSAADA YAAN kuna wakati unasimamia kusaidia watu unawaza KWANINI umekwenda kule
Lakini wanapokutana UKo straight HATA kama wamepanga KUMALIXA kesi mwakani wanamaliza wiki ijayo

Mh JAJI MKUU
KUHAIRISHWA KESI

HII IMEKUWA N SEHEMU MOJA WAPO YA RUSHWA NA KUTESANA
MH JAJI MKUU NAWAOMBA KWA MSAADA WA MWENYEXI MUNGU

AWAPE NGUVU NENDENI KAPITIENI KESI ZA KANDA YA KASKAZINI ARUSHA MOSHI ROMBO MWIKA

WANANCHID WANATESEKA WANANCHI WANALIA MAHAKAMANI..zipo KESI ZA MIRATHI AMEBAKI MWANAMKE NA WATOTO WAKEE

WAMAMA WANATESEKA MPAKA ANAFIKIA NAE ANAKUFA PAMOJA NA KUPELEKA DOCS ZOTE ZINAZOTAKIWA
ZIPO KESI ZA MIRATHI MIAKA 7...8
XINA DOCS XOTE HALALI UNAWAZA NA KUSHANGAA SHIDA NN HAZIISHI

NA NJIA MOJA WAPO WANAYOTUMIA N KUHAIRISHA KESI

NENDENI KAKAGUENI MAHAKAMA ZA MWANZO NA SIO TU KASKAZINI NA MAHAKAMA ZOTE XANWANXO NCHINI SHIDA NN KESI HAZIISHI
NENDEN KAKAGUENI SHIDA YA KUHAIRISHA KESI N NINI

BIBLIA INASEMA UKIIJUA KWELI NAYO KWELI ITAKUWEKA HURUUU

ZIPO KESI MUNGU AMESAIDIA KUSAIDIA WATU KADHAA MAHAKMA ZA MWANZO NA WAKO HURU

NA WALE WALIOTAKIWA KUPATA HAKI ZAO MIRATHI WAPO WALIOPATA HAKI ZAOO

NA WENGINE UNAWAULIZA MBONA MAMA MNALIA ANAKWAMBIA NINA MWAKA WA TANO HAPA MWANANGU NIMELETA KILA KITU KILA NIKIJA NAAMBIWA NIMPE CXX SH FLAN WAMALIZE KESI

NIKITOA SIKU YA KESII NAHAIRISHWA NAWAZA KWANI SHIDA YANGU NIINI NA INFO XA MUME WANGU ZOTE ZIPO AU WANATAKA NIFE WARITHI

MH WAKISEMA HAYA MANENO HII N LAANA KUBWA
TUIPINGE KWA GHARAMA ZOTE MH JAJI MKUU

WAAMSHE WAKAGUZI WAENDE MAHAKAMA WAWAHOJI WALE WANAOWAKUTA NANI ANA MALALAMIKOO

NA MSIWAMBIE MNAENDA KUKAGUA MKIWAJUZA HUWA WANHAIRISHA ZILE KESI WANAZOJUA ZITAWACHOMA WAKIULIZWA WANANCHI TENA WANAWAPIGIA KWA SIMU KABISA


.TUNATAKA KWENDA MBINGUNI
TUTENDE HAKI
WAKAGUZI TUAMKE HAYA MAUMIVUU MUNGU HAYACHI YAKAPITA HIVIHIV

TUKIFA TUACHE HISTORIA NJEMA WAPENDWA
SIO HISTORIA YA KUFURAHIA AISEE JAMAA AMEKUFA NACHINJA MBUXI KWA MATESO ALIYOPITIA MTU

TUISHI MAISHA YA KUTIMIXA RAMANI YA MAISHA YETUUUU

MUNGU ANAPOTUPA NAFASI YA KUSAIDIA JAMII ILE N SADAKA MAALUM KTKT MAISHA YAKO PALE UNAPOFANYA MEMA NDIPO NA MUNGU ANAENDELEA KUSAIDIA NA KUBARIKI KIZAZI CHAKO

WAPO MA PILOTS NJE WANA WATOTO MA PILOTS KADHAA
WAPO MAJAJI NJE WANA WATOTO KAMA WANNENWOTE N MAJAJI

HIZI NDIZO BARAKA MUNGU AMETUPA

MUNGU ATUBARIKI
 
SEMA MWANZO MPAKA MWISHO WA MAHAKAMA.
ILE KESI YA UBAKAJI DODOMA ALIYEWATUMA KISA ANACHEO ALILINDWA IKIWA MAHAKAMA INAJUA SHERIA.
UWOZO NI MAHAKAMA ZA MWANZO MPAKA MWISHO.
 
Kazi ya muhimu ya kwanza ya mahakama ni kuhakikisha mwenye haki anakataliwa, poleni sana wana Mwanza
 
Back
Top Bottom