Kikwete ame-declare publicly kuwa ana mke mmoja tu, Salma. Watoto wote 8 ni wa Salma?
mie nikuuluzeni mungu gani anaekuwa na mzinzi?
unajua biblia imakataza sana uzinzi
na inamini familia na jamii bora ni ile watu waliooana na sio kukamatana wakazaa(kama alivyofanya Dr slaa kwa mwanamke wa kwanza), kuchochea kuvunjika ndoa za wengine kwa kuwaibia wake/waume zao
na tunapotafuta rais moja ya kazi yake ni kujenga jamii yenye maadili, ambayo hii ndio itakuwa na uelewa na uwezo wa kujenga uchumi ulio imara
itawezekanaje taifa linaloongozwa na mzinzi na aliefeli maadili kutufikisha hapo?
He bothers you for sure, but he spoke a point! A nation 'd not be governed by metaphysics and Superstition! I am sure this current president is doing a lot of Horoscope before doing anything, that is why our country is here now! Uswahiliiiiiiiiiiii!!!!!!!
hahahahaa ina maana Salma ni kama Evra ndani ya MAN-U. Beki tegemezi.by the way huyo salma mwenyewe alikuwa BEKITATU WAKE!
mimi naamini anataka umaarufu tu. lkn hana uwezo wa kumlinda mtu.
mimi naamini anataka umaarufu tu. lkn hana uwezo wa kumlinda mtu.
mimi naamini anataka umaarufu tu. lkn hana uwezo wa kumlinda mtu.
Au anatumiwa na CHADEMA kufanya kampeni za maji 'TAKA'
Hapo kwenye bluu unakosea..Shehe Yahya Hussein halindi Serikali, na amekua akimlinda JK Kikwete tangu siku nyingi tu, anasema atamuongezea nguvu.
hajasema atailinda serikali, hayo ni makubaliano ya Shehe Yahya na Kikwete, wanakutana wapi na vipi wanajuana.ila lililowazi ni kua JK amepokea huduma hiyo, ni yeye mwenyewe wakukanusha, kukubali na kumkana mtu huyo.
lakini wana urafiki wa karibu hawa, nasikia JK aliwahi hata kumpeleka mganga wake hospitali nje ya nchi kwa ukaribu wao.
huyu mzee wa majini Yahya Hussein , kajisahau, kajikuta karopoka, sasa maji yamemwagika , siri iko nje.Hapo kwenye bluu unakosea..
Kama ni mambo personal kwanini Kigagura huyo ameyaweka sasa kuwa ya jamii nzima ya Watanzania?...kwanini asibaki kwenye agreement ya kwanza ya usiri, maana nadhani walipatania sirini tusikopajua!...Kutangaza hadharani tayari kunalifanya Taifa listuke!...
Mbinu za kishetani huwa hazina muda mrefu, na hazijitoshelezi!...utafanya hiki, utakuta bado kina mapungufu!..mwishowe ishu imemwagika hadharani...
Mimi nasema ..Ni AIBU tupu!
CHADEMA inaingiaje hapa kwa mtu wa karibu (MLINZI) wa JK?
Basi itakuwa ni TLP kama CHADEMA haihusiki kumchafua JK kutumia waganga wa kienyeji
Mbona unatoa hoja zilizojaa hisia? Haya tuambie ni kwa namna gani TLP au CHADEMA inahusika! JK mwenyewe hajakanusha suala hilo wewe umekimbilia kumtetea!
Sijamtetea ila nimetumia logic ya kawaida tu, kama mume akidai haki zake kwa kuibiwa na kudhalilishwa kwa kuibiwa mkewe ni mbinu ya CCM kumchafua Slaa basi inawezekana pia Mchawi kujihusisha na JK ni mbinu ya CHADEMA kumchafua JK.
Kwa nini una wa undermine CHADEMA kiasi hicho? unadhani ni CCM peke yao ndio wana uwezo wa ku play dirty?Kama nilivyosema ni hisia! Kwa bahati mbaya mfano wako sio logical kama unavyodai! Kwa upande wa wanayedai mchumba wa Dkt Slaa alionekana naye na wanadai kwamba alimtambulisha kwamba ni mchumba wake, kisha mume wa zamani amepeleka kesi Mahakama Kuu! Kwa upande wa Sheikh Yahya amedai kwamba atatoa "ulinzi usioonekana" kwa JK! Ulinzi huo hajaenda kuutafuta kwenye Ofisi za CHADEMA au TLP, pia hajataja CHADEMA/TLP popote!
Kauli za Sheikh Yahya pia hazijaanza leo. Kuna wakati alidai kwamba atakayepambana na JK kwenye uchaguzi atakufa! Sasa kwa kauli hiyo nako utadai ametumiwa na CHADEMA/TLP?