Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mstari umeandikwa kwenye biblia ila nimesahau uko wapi ila maneno yako yanasema kitu kama hiki:
".......Kama nyumba/Mji haulindwi na Bwana, walindao wanafanya kazi bure."
Heri basi walau angelianza kuwa mcha Mungu wa kweli. Haya majini hayamfikishi popote.
Utatafuta wachawi wee kumbe wachawi unao hapohapo wamekuzunguka akina Rostam, Lowassa, And all Mafisadi.
anaabudu kwenye majumba yenye alama ya nyota na mwezi,Kuna mstari umeandikwa kwenye biblia ila nimesahau uko wapi ila maneno yako yanasema kitu kama hiki:
".......Kama nyumba/Mji haulindwi na Bwana, walindao wanafanya kazi bure."
Heri basi walau angelianza kuwa mcha Mungu wa kweli. Haya majini hayamfikishi popote.
Utatafuta wachawi wee kumbe wachawi unao hapohapo wamekuzunguka akina Rostam, Lowassa, And all Mafisadi.
mkuu hapo umenena maana kuna watu walikuwa wameshitakiwa kukamatwa na viungo vya albino na wamepitishwa kugombea ubunge ccm at this time. Kuna pia mganga mmoja mashuhuri wa kienyeji ambaye anagombea ubunge this time as well na hii ni dalili wanataka kuwa na uwakilishi sasaDuh! Ila tumefikia mahali pabaya kama taifa: kutegemea ushirikina katika kuongoza nchi. Huyu mzee inafaa akemewe. Vinginevo kama kweli mheshimiwa anamwamini basi amejiweka bapaya sana: kwani si ajabu kila atakachoamuru kama sharti la zindiko lake litakubaliwa. Na hii hi hatari. Je, kwa mfano akisema anahitaji ngozi ya mtu au kiungo chochote ili atimize shughuli yake ya "ulinzi"/zindiko, atakataliwa?? Kujiweka chini ya waganga wa kienyeji ni kuhatarisha usalama wa raia na nchi kwa ujumla. Huyu mzee akemewe kwa ukali.
:confused2::confused2:sijajua unaongelea juu ya nini unaweza kunisaidia?Sasa huyo mnayemwita padri na hawa washirikina wa maana ni nani?
kama haya ni kweli, kama ni kweli;
na hawa wakuu wa wwilaya itakuwaje?
nafikiri anaamini madaktari wake, sema hapo ameaply maagizo ya imani kidini kujiunga na nguvu za kijini na kipepo ili viweze kumsaidia, shekhe yahya analijua hilo, ilimu ahera ndiyo inafanya kazi
Kumbe Jk kwa sasa hatohitaji kuwa na Mlinzi wake wa awali(Bodyguard) wala Police wa Kumsindikiza kwa sabab Sheikh Yahaya atamlinda!.CCM mpo!!! Yahaya amejitoa kuwalindia mgombea wenu mjiandae kumpa na yeye Ubunge au uwaziri tena Awe Waziri wa Ulinzi na Usalama wa wana CCM!....... Alisema kutokana na matukio hayo, atatoa ulinzi usionekana kwa macho, kumkinga Rais Kikwete, ili mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ilivyotokea Jangwani.
Mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ule wa Jangwani kwa sabababu litakalomkuta atajua mwenyewe, alionya.
Sheikh Yahya alisema katika taarifa hiyo ya ukurasa mmoja kuwa amefikia hatua hiyo kutokana na uchungu alionao kwa nchi na kwa Rais Kikwete anayempenda.
CHANZO: NIPASHE
Niatia kinyaa na aibu kubwa sana kwa Taifa.
Huyu Jamaa (Kikwete Hafai kabisa), atawekaje mambo ya kishirikina kwenye kuongoza Taifa?
Sheikh Yahaya haweze kusema tu, kunaonyesha kuwa na mawasilianao na hata Kikwete kwenda kwenye RAMLI ndio mana mtu na akili zake anasema Kikwete alianguka sababu za kishirikina.
JE NDUGU WATANZANIA TUKO TAYARI KUONGOZWA NA VIONGOZI KAMA HAWA?
Kitendo cha Yahya kusema kwamba ataongeza ulinzi wa Jk, kinanipa mshangao kwamba hili taifa linaongozwa na waganga wa kienyeji nyuma ya pazia. Kumbe ndio maana mambo hayaendi.
MWONGO SANA HUYU KIGAGURA!
ALIKUWA WAPI SIKU mKULU anabwagwa chiNI hadi anajifanya kustuka saa hizi?
Kwanza usikute ni yeye mwenyewe alisababisha ili atafutwe kutoa tiba, na kuongeza zindiko!...huh!