Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

Huyu kijana watamtoa nje ili afuliwe zaidi kuwa Mlozi.......

Mhhhhh, Rama Mla Watu.......................

mchawi.jpg

Na ataingizwa kwenye misafara ya viongozi wa chama fulani.
 
Shekh yahaya mpumbavu tu, Raisi wetu haitaji ulinzi wa mashetani yake... kuhusu waganga Wamejaa kibao! utasikia leo katangaza katoa misukule 100! .. TEHETEHE!! Alafu wanaimba mapambio wasivokuwa na akili:becky:
 
Kuna mstari umeandikwa kwenye biblia ila nimesahau uko wapi ila maneno yako yanasema kitu kama hiki:

".......Kama nyumba/Mji haulindwi na Bwana, walindao wanafanya kazi bure."

Heri basi walau angelianza kuwa mcha Mungu wa kweli. Haya majini hayamfikishi popote.

Utatafuta wachawi wee kumbe wachawi unao hapohapo wamekuzunguka akina Rostam, Lowassa, And all Mafisadi.

Mkuu maneno hayo yapo Psalm 127
 
Sasa huyo mnayemwita padri na hawa washirikina wa maana ni nani?
 
Kuna mstari umeandikwa kwenye biblia ila nimesahau uko wapi ila maneno yako yanasema kitu kama hiki:

".......Kama nyumba/Mji haulindwi na Bwana, walindao wanafanya kazi bure."

Heri basi walau angelianza kuwa mcha Mungu wa kweli. Haya majini hayamfikishi popote.

Utatafuta wachawi wee kumbe wachawi unao hapohapo wamekuzunguka akina Rostam, Lowassa, And all Mafisadi.
anaabudu kwenye majumba yenye alama ya nyota na mwezi,
na shekhe yahya ni msoma nyota, hapo ni kipofu na kipofu kuongozana njia
 
Duh! Ila tumefikia mahali pabaya kama taifa: kutegemea ushirikina katika kuongoza nchi. Huyu mzee inafaa akemewe. Vinginevo kama kweli mheshimiwa anamwamini basi amejiweka bapaya sana: kwani si ajabu kila atakachoamuru kama sharti la zindiko lake litakubaliwa. Na hii hi hatari. Je, kwa mfano akisema anahitaji ngozi ya mtu au kiungo chochote ili atimize shughuli yake ya "ulinzi"/zindiko, atakataliwa?? Kujiweka chini ya waganga wa kienyeji ni kuhatarisha usalama wa raia na nchi kwa ujumla. Huyu mzee akemewe kwa ukali.
mkuu hapo umenena maana kuna watu walikuwa wameshitakiwa kukamatwa na viungo vya albino na wamepitishwa kugombea ubunge ccm at this time. Kuna pia mganga mmoja mashuhuri wa kienyeji ambaye anagombea ubunge this time as well na hii ni dalili wanataka kuwa na uwakilishi sasa
 
Sheikh Yahya aingiza ushirikina uchaguzi Mkuu

Mnajimu mashuhuri wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, amezua jambo kwa kuelekeza harakati za uchaguzi katika mambo ya kishirikina huku akitangaza kuwa utatawaliwa na mambo ya giza.
Mtabiri huyo alikwenda mbali zaidi kwa kutangaza kwamba atatoa ulinzi usioonekana kwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete.
Sheikh Yahya alisema hayo jana kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo NIPASHE ilipata nakala yake.
Sheikh Yahya alisema kupatwa kwa jua kulikotokea Juni mwaka huu, kuliashiria mambo mengi kutokea na kuhusisha viongozi wa kisiasa na kidini hapa nchini.
Pia, alisema kupatwa huko kwa jua kuliashiria kwamba watu wengi watatumia uchawi na majini kushinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kwa mujibu wa Sheikh Yahya, matukio mengine yanayotokana na kupatwa kwa jua ni kuchezeana.
Katika uzushi huo wa kishirikiana, Sheikh Yahya alioanisha “kuchezeana” na tukio lililompata Rais Kikwete wakati akihutubia mkutano wa kampeni Agosti 21, mwaka huu katika Viwanja vya Jangwani.
Sheikh Yahya alidai kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu, utatawaliwa na vitendo vya kishirikina vitakavyofanywa na wanasiasa ili kupata ushindi.
Alitabiri kuwa viongozi wa dini watatoa kauli mbaya kuhusiana na wagombea wa dini fulani au kususiana katika shughuli mbalimbali.
Alitoa mfano wa tukio kama hilo, hatua ya viongozi wa dini ya Kikristu kukataa kuhudhuria futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete.
“Hizi zote ni ishara mbaya zinazoletwa na kupatwa huko kwa jua pamoja na hayo, tunatakiwa tujihadhari sana na mambo haya kwa sababu Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania na anahudhuria shughuli zozote za kidini...” alisema.
Alisema kutokana na matukio hayo, atatoa ulinzi usionekana kwa macho, kumkinga Rais Kikwete, ili mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ilivyotokea Jangwani.
“Mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ule wa Jangwani kwa sabababu litakalomkuta atajua mwenyewe,” alionya.
Sheikh Yahya alisema katika taarifa hiyo ya ukurasa mmoja kuwa amefikia hatua hiyo kutokana na uchungu alionao kwa nchi na kwa Rais Kikwete anayempenda.

Hivi hamjui kuwa huyu jamaa ni mmoja wa wapiga domo wa ccm?Mnakumbuka wakati ule alisema kuwa atakaye shindana na Kikwete kugombea urais atakufa.Alitoa kauli hiyo soon kulipokuwa na dalili za watu wengine ndani ya chama kumpinga Kikwete.
Leo hii anaongea kuanguka kwa KIkwete pale jangwani kuwa alichezewa,ni njia ya kujisafisha baada ya kuona madongo ya afya ya mkulu yameanza.kwani Kikwete kaanguka wiki hii?kwanini asingesema siku chache tu baada ya tukio aje aseme sasa hivi baada ya bomu kulipuka?

Watanzania tuamke tusiendekeze ushirikina na imani za kichawi hata sehemu ambayo sababu iko wazi.
 
Mnajimu mashuhuri wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, amezua jambo kwa kuelekeza harakati za uchaguzi katika mambo ya kishirikina huku akitangaza kuwa utatawaliwa na mambo ya giza.
Mtabiri huyo alikwenda mbali zaidi kwa kutangaza kwamba atatoa ulinzi usioonekana kwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete.
Sheikh Yahya alisema hayo jana kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo NIPASHE ilipata nakala yake.
Sheikh Yahya alisema kupatwa kwa jua kulikotokea Juni mwaka huu, kuliashiria mambo mengi kutokea na kuhusisha viongozi wa kisiasa na kidini hapa nchini.
Pia, alisema kupatwa huko kwa jua kuliashiria kwamba watu wengi watatumia uchawi na majini kushinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kwa mujibu wa Sheikh Yahya, matukio mengine yanayotokana na kupatwa kwa jua ni kuchezeana.
Katika uzushi huo wa kishirikiana, Sheikh Yahya alioanisha “kuchezeana” na tukio lililompata Rais Kikwete wakati akihutubia mkutano wa kampeni Agosti 21, mwaka huu katika Viwanja vya Jangwani.
Sheikh Yahya alidai kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu, utatawaliwa na vitendo vya kishirikina vitakavyofanywa na wanasiasa ili kupata ushindi.
Alitabiri kuwa viongozi wa dini watatoa kauli mbaya kuhusiana na wagombea wa dini fulani au kususiana katika shughuli mbalimbali.
Alitoa mfano wa tukio kama hilo, hatua ya viongozi wa dini ya Kikristu kukataa kuhudhuria futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete.
“Hizi zote ni ishara mbaya zinazoletwa na kupatwa huko kwa jua pamoja na hayo, tunatakiwa tujihadhari sana na mambo haya kwa sababu Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania na anahudhuria shughuli zozote za kidini...” alisema.
Alisema kutokana na matukio hayo, atatoa ulinzi usionekana kwa macho, kumkinga Rais Kikwete, ili mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ilivyotokea Jangwani.
“Mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ule wa Jangwani kwa sabababu litakalomkuta atajua mwenyewe,” alionya.
Sheikh Yahya alisema katika taarifa hiyo ya ukurasa mmoja kuwa amefikia hatua hiyo kutokana na uchungu alionao kwa nchi na kwa Rais Kikwete anayempenda.

CHANZO: NIPASHE
 
kama haya ni kweli, kama ni kweli;
na hawa wakuu wa wwilaya itakuwaje?

Mkuu sijakuelewa, unamaanisha nini unaposema "NA HAWA WAKUU WA WILAYA ITAKUWAJE?" ni wakuu wa Wilaya wa jinsia gani? Hebu nifafanulie kidogo maana akili yangu bado changa.......
 
Kwa mwendo huu naona tunakaribia mwisho wa safari yetu. Ni jambo la kusikitisha sana kuona tuna viongozi wakuu wanaoishi kwa kutegemea nguvu za giza. Naamini kabisa kuwa siyo Ikulu wala CCM watatoa kauli ama kupinga huu uchafu au kuukemea.

Tumejitegemeza kwa shetani na moto naona utatukuta hapa hapa duniani.

My Take: Huyu mtabiri si ni mmoja wa watu muhimu ndani ya UWT? Naona katumwa kuweka mambo sawa au tusemeje?
 
nafikiri anaamini madaktari wake, sema hapo ameaply maagizo ya imani kidini kujiunga na nguvu za kijini na kipepo ili viweze kumsaidia, shekhe yahya analijua hilo, ilimu ahera ndiyo inafanya kazi

Mkuu, nimekupata vizuri. inabidi watu wasilichukulie hili jambo kikawaida. WAJUE YA KUWA SHEHE YAHYA NI MUISLAM MZURI SANA. ni shehe anaye swalisha mara nyingi, anatumiwa sana na allah wakibaru na muhamad katika kazi yao ndani ya uislam. na kufanya hivyo, yaani kusoma nyota, kuwa mchawi etc, anafuata kitabu vizuri, hakosei kulingana na dini yake, hivyo tusimlaumu, tuilaumu dini yake. kwake yeye hilo jambo ni kwamba hapo ndio mtakatifu kiislam yaani...ndiyo dini ya watoto wa mama wa kambo hiyo..yaani watoto wa housegirl..
 
....... Alisema kutokana na matukio hayo, atatoa ulinzi usionekana kwa macho, kumkinga Rais Kikwete, ili mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ilivyotokea Jangwani.
“Mtu yeyote asijaribu kumfanyia mchezo wowote kama ule wa Jangwani kwa sabababu litakalomkuta atajua mwenyewe,” alionya.
Sheikh Yahya alisema katika taarifa hiyo ya ukurasa mmoja kuwa amefikia hatua hiyo kutokana na uchungu alionao kwa nchi na kwa Rais Kikwete anayempenda.
CHANZO: NIPASHE

Niatia kinyaa na aibu kubwa sana kwa Taifa.
Huyu Jamaa (Kikwete Hafai kabisa), atawekaje mambo ya kishirikina kwenye kuongoza Taifa?
Sheikh Yahaya haweze kusema tu, kunaonyesha kuwa na mawasilianao na hata Kikwete kwenda kwenye RAMLI ndio mana mtu na akili zake anasema Kikwete alianguka sababu za kishirikina.
JE NDUGU WATANZANIA TUKO TAYARI KUONGOZWA NA VIONGOZI KAMA HAWA?
Kumbe Jk kwa sasa hatohitaji kuwa na Mlinzi wake wa awali(Bodyguard) wala Police wa Kumsindikiza kwa sabab Sheikh Yahaya atamlinda!.CCM mpo!!! Yahaya amejitoa kuwalindia mgombea wenu mjiandae kumpa na yeye Ubunge au uwaziri tena Awe Waziri wa Ulinzi na Usalama wa wana CCM!
Mwenye macho haambiwi Tazama nadhani hizo ni dalili tosha kuwa CCM inatumia nguvu za giza!.Jamani hii inch wana CCM hamuoni aibu kuendelea kukumbatia Wiz na Ushirikina?.Hakika arobaini yenu imefika hata Mtambikie Hamshindi Ngo'o!!
 
Haya jamani, kweli JK anaweza kuwa chaguo la Mungu namna hii? Mungu na shetani wanaweza kufanya kazi pamoja?
 
Kitendo cha Yahya kusema kwamba ataongeza ulinzi wa Jk, kinanipa mshangao kwamba hili taifa linaongozwa na waganga wa kienyeji nyuma ya pazia. Kumbe ndio maana mambo hayaendi.

Mbona hakuthubutu kumganga Mwalimu alipougua hadi kufa au Papaa Mukapa alipobimoka miguu?.....opportunist tu huyu....yaani kachukulia weakness ya imani za kishirikina za mkuu :eek2:na Ma-rope....nasikia huyu Ma-rope anasavaivu kwa sababu hii tu ya kuleta vibabuvibabu pale magogoni toka Lushoto:eyebrows:.....hata amempa maji marefu nafasi kugombea ubunge:lol:
 
Hahaaaaaaa kumbe kuna Kamati ya walozi katika misafara ya prezidaa
 
MWONGO SANA HUYU KIGAGURA!
ALIKUWA WAPI SIKU mKULU anabwagwa chiNI hadi anajifanya kustuka saa hizi?
Kwanza usikute ni yeye mwenyewe alisababisha ili atafutwe kutoa tiba, na kuongeza zindiko!...huh!

Anasema ataongeza ulinzi, ina maana tayari alikuwa amemwekea? kumbe JK ni mshirikina hivi? Je bado ataitwa chaguo la Mungu? je Mungu na shetani wanaweza wakafanya kazi pamoja? Mungu anasema "Kamwe utukufu wangu siwezi kushiriki na yeyote" Jamani watanzania tuamke, JK ni chaguo la shetani ndiyo maana ni lazima shetani amlinde. Chaguo la MUngu sasa tunalifahamu. Dr Slaa
 
Back
Top Bottom