Mh Lema, huamini kuwa Lissu aweza mshinda Mbowe katika uchaguzi Hadi umuombee aachiwe na Mbowe?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!!

Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli?

Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani!

Karibuni 🙏
 
Mwisho atamwambia Makonda awaombe ccm wamwachie jimbo
 
hiyo ni lugha tu alotumiaa , angemaanisha unavyowaza, basi angemtaka Mbowe ajiondoe.
 
Hellow!!

Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli?

Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani!

Karibuni 🙏
Anajua Mbowe ana faul nyingi sanaa na back up ya pesa chafu za Abdul
 
Hellow!!

Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli?

Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani!

Karibuni 🙏
Amesema anaona itakuwa heshima kwa Mbowe kuachia ngazi kuliko kushindwa kwenye sanduku la kura.
 
Kushindwa na kumkubali kushindwa Kisha akarudi kuwa mshauri pia ni Heshima kubwa.

Mchakato wa uchaguzi uheshimiwe chama Cha DEMOKRASIA na maendeleo.
 
Back
Top Bottom