saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda mabasi yanayotakiwa kwenda Kikatiti na King'ori maarufu km Covid hunyanyasa sana wananchi wanaoenda njia tajwa. Hqya magari vibao vinaonesha yanatakiwa yaende mpaka King"ori badala yake huishia Maji ya Chai. Latra mkoa wa Arusha ni bomu, wamelalamikiwa mara nyingi ila wameweka pamba masikioni hawajali mateso wanayopatq wananchi. Tunaomba wasaidie hawa wananchi wako.