Mh!! Marehemu Sheikh Yahaya Hussein enzi zake

Mh!! Marehemu Sheikh Yahaya Hussein enzi zake

Wanao Toa majini ndo huwa wanayafuga ,,,,,angalia wanawake wengi ndio Wanatolewaga majini kwakuwa hawafanyi majosho maalum,,,katika biblia kama ilivyo katika Uislamu wanawake wakiwa ktk hedhi,au baada ya kuzaa au wakiingiliana na wanaume wanatakiwa waoge majosho maalum ya kujitakasa,Kwa kufanya hivyo wanajiepusha na mapepo wachafu,sasa wanawake WA kiislamu wengi wao Kwa mafundisho ya dini huwa wanaoga,,,,,sasa hao wenu huwa Hawaogi hao majosho matokeo yake wanakuwa nyumba za mapepo na ndio maana kila siku wanatolewa mapepo huko chachi
Mkuu kuna jini linaitwa Elizabeth, Jonson, Peter, Magdalena?
 
Mkuu kuna jini linaitwa Elizabeth, Jonson, Peter, Magdalena?
Mkuu usishangae nishawahi kupiga story na jini ana Jina la kizungu ingawa sikumbuki,,,,ilikuwa hivi kuna mwana alipandisha madude yake bwana si akaja huyo baharia anagonga kiingereza hatari,niliprove hivyo kwasababu mwana lugha ya malikia ilikuwa haipandi so moja Kwa moja jini ndo akawa anaongea,hlf alikuwa mhuni Sana ananiambia habar za casino na Kula Bata,,,ni vigumu kuamini kama haujakutana na hizo habar
 
FB_IMG_16633505132251110.jpg
 
Fanya Google search ya Queen Elizabeth and cannibalism. Utaona kwamba inaitwa conspiracy theory lakini siyo conspiracy theory. Queen alishtakiwa The Hague,na Queen aliomba msamaha. Walishtakiwa wote pamoja na Pope Benedict. Pope Benedict alifukuzwa kazi kama ulivyoona.
 
Mataifa yote makubwa na yaliyoendelea hayana utawala wa kiimla/kifalme anzia USA,China,India n.k

How can you justify your statement.

#MaendeleoHayanaChama
Kwahiyo kwako wewe Uingereza sio taifa kubwa lililoendelea? Unaelewa maana ya common wealth?
 
Kuna mtu humu ndani anapinga utawala wa kimalkia au kifalme, akisema umepitwa na wakati. Wenzetu wameendelea na wanajua maana yake. Huenda nguvu zote za kiuchumi ziko pale. Huo utawala huenda unashirikiana na ulimwengu tusioujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio imani zenu zilivyo. Nasisi si tushirikiane na huo utawala tuendelee?
 
Wanao Toa majini ndo huwa wanayafuga ,,,,,angalia wanawake wengi ndio Wanatolewaga majini kwakuwa hawafanyi majosho maalum,,,katika biblia kama ilivyo katika Uislamu wanawake wakiwa ktk hedhi,au baada ya kuzaa au wakiingiliana na wanaume wanatakiwa waoge majosho maalum ya kujitakasa,Kwa kufanya hivyo wanajiepusha na mapepo wachafu,sasa wanawake WA kiislamu wengi wao Kwa mafundisho ya dini huwa wanaoga,,,,,sasa hao wenu huwa Hawaogi hao majosho matokeo yake wanakuwa nyumba za mapepo na ndio maana kila siku wanatolewa mapepo huko chachi
Kwahiyo unajifanya huwajui Wafuga Majini? Au ndio kuwatetea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ndo mkubwa wa majini na ndo walioanzisha kanisa la Aglican hata mwingine atakayeingia lazima alinde kanisa hilo kwa kula kiapo, ni moja kati ya miradi yao mikubwa ya kuingiza pesa.
Hebu thibitisha hili Mbongo mwenzangu
 
Mkuu kuna jini linaitwa Elizabeth, Jonson, Peter, Magdalena?
Hata wasiitwe au waitwe hivyo, kuna hadithi ya yesu, kuwa aliwafukuza majini, wakawaingia nguruwe, na wakristu ndiyo walaji wakubwa wa nguruwe.
Hivi unaelewa nini unapoambiwa na mchungaji wewe fulani ana mapepo,

Kwanini huyo pepo asiingie kwa mchungaji, ikiwa kusali mnasali wote.
 
[bPandisha hilo dera bibie....!

]Wakristo maana yake ni Wafuasi wa Kristo...hawawezi kuwa na Majini. Hao wenye Majini sio Wakristo...au unataka kuwatupia?
Kwahiyo wale wanao enda chachi ni wafuasi wa Nani?
 
Back
Top Bottom