Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hubavu huo hana.Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada.
Katika kutafakari nimekuwa nikiomba msaada kwa watu wa ndani kujua sababu hasa ilikuwa ni ipi kwa waziri mwenyewe dhamana kuwa kimya katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi pengine kuliko kipindi chote
Nimepata msaada
Ni tetesi kwamba awali kabisa Mh.Mwigulu alipewa assignment ya kutaja wauza ngada hao hadharani kama alivyofanya Makonda. Lakini kwa ujasiri wake Mwigulu alikataa kuwataja watu hao kwa hoja kwamba hakukuwa na ushahidi madhubuti na akashauri mamlaka husika zifuatilie suala hili ili ikibainika wapelekwe mahakama badala ya kuwataja.
Ushauri wa Nchemba ulipuuzwa kwa kuonekana muoga badala yake akatwisha zigo Makonda ambaye kwa ujasiri na ukakamavu akafanya aliyoyafanya
My Take
Hongera Mwigulu kwa ujasiri huo.Tunakuomba sasa ujasiri huo uende mbali kwa kuamuru aliyevamia Clouds Media akamatwe na kupelekwa sero
Mbona wa miss wote kuvuta bangi ni sehemu ya mazoezi yao kule beach? Wengine wanajichomoa na wengine ndo moja kwa moja hadi leo.una uhakika? Au wapenda tu kumtaja mzee wa Watu? kwahiyo ile list ya Msoga ina jina la Wema Sepetu? ile list aliipata miaka ya 2006 ambapo Wema Sepetu ndo anapata Taji la Miss Tanzania. Tafakari upya.
Umetunga hadithi, ukaiita tetesi, ukampongeza Mwigulu, ukapewa likes na marafiki. Nini hii sasa! Lengo ni nini? KUmfanya Makonda aonekane wa hovyo? Au, Mwigulu aonekane ni wa maana sana? wapi bhana! Kama kuficha majina ni ushujaa basi shujaa ni Lukuvi aliyegoma kuwataja na kuahidi kwamba hakuna atakayepona.Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada.
Katika kutafakari nimekuwa nikiomba msaada kwa watu wa ndani kujua sababu hasa ilikuwa ni ipi kwa waziri mwenyewe dhamana kuwa kimya katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi pengine kuliko kipindi chote
Nimepata msaada
Ni tetesi kwamba awali kabisa Mh.Mwigulu alipewa assignment ya kutaja wauza ngada hao hadharani kama alivyofanya Makonda. Lakini kwa ujasiri wake Mwigulu alikataa kuwataja watu hao kwa hoja kwamba hakukuwa na ushahidi madhubuti na akashauri mamlaka husika zifuatilie suala hili ili ikibainika wapelekwe mahakama badala ya kuwataja.
Ushauri wa Nchemba ulipuuzwa kwa kuonekana muoga badala yake akatwisha zigo Makonda ambaye kwa ujasiri na ukakamavu akafanya aliyoyafanya
My Take
Hongera Mwigulu kwa ujasiri huo.Tunakuomba sasa ujasiri huo uende mbali kwa kuamuru aliyevamia Clouds Media akamatwe na kupelekwa sero
Sasa hapa jasiri nani,Mwigulu aliyenywea kuwataja na Makonda aliyethubutu kuwataja,naona kama Kiswahili ulipata F na eti Clouds,Clouds kitu gani bana hadi tupotezeana muda,hayo ya Clouds ndio yashakuwa historia tumewachia Gwajima waoWakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada.
Katika kutafakari nimekuwa nikiomba msaada kwa watu wa ndani kujua sababu hasa ilikuwa ni ipi kwa waziri mwenyewe dhamana kuwa kimya katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi pengine kuliko kipindi chote
Nimepata msaada
Ni tetesi kwamba awali kabisa Mh.Mwigulu alipewa assignment ya kutaja wauza ngada hao hadharani kama alivyofanya Makonda. Lakini kwa ujasiri wake Mwigulu alikataa kuwataja watu hao kwa hoja kwamba hakukuwa na ushahidi madhubuti na akashauri mamlaka husika zifuatilie suala hili ili ikibainika wapelekwe mahakama badala ya kuwataja.
Ushauri wa Nchemba ulipuuzwa kwa kuonekana muoga badala yake akatwisha zigo Makonda ambaye kwa ujasiri na ukakamavu akafanya aliyoyafanya
My Take
Hongera Mwigulu kwa ujasiri huo.Tunakuomba sasa ujasiri huo uende mbali kwa kuamuru aliyevamia Clouds Media akamatwe na kupelekwa sero
wacha unafiki wewe unafikiri watu ni wajinga. mara makonda ni jasiri kwa kutaja majina..mara ngwigulu ni jasiri kwa kukataa kutaja majina. majina yanajulikana kutokana na upelelezi uliyofanyika. wakipelekwa mahakamani kimyakimya wanahonga na kutoka kimyakimya. hizi mahakama zetu za wanasheria wauza haki nani atamfunga muuza ngada kwa jinsi dau lake lilivyokua kubwa. watoa rushwa ndio kimbelembele kudai utawala wa sheria kwa kua watahonga. wanyonge ndio wameona wachukue sheria mkononi. kutokana na rushwa ya mahakama na polisi ndio maana kuna hii concept siku hizi ya kuwataja hadharani wapate aibika watu waovu kwenye jamii kama wauza ngada.Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada.
Katika kutafakari nimekuwa nikiomba msaada kwa watu wa ndani kujua sababu hasa ilikuwa ni ipi kwa waziri mwenyewe dhamana kuwa kimya katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi pengine kuliko kipindi chote
Nimepata msaada
Ni tetesi kwamba awali kabisa Mh.Mwigulu alipewa assignment ya kutaja wauza ngada hao hadharani kama alivyofanya Makonda. Lakini kwa ujasiri wake Mwigulu alikataa kuwataja watu hao kwa hoja kwamba hakukuwa na ushahidi madhubuti na akashauri mamlaka husika zifuatilie suala hili ili ikibainika wapelekwe mahakama badala ya kuwataja.
Ushauri wa Nchemba ulipuuzwa kwa kuonekana muoga badala yake akatwisha zigo Makonda ambaye kwa ujasiri na ukakamavu akafanya aliyoyafanya
My Take
Hongera Mwigulu kwa ujasiri huo.Tunakuomba sasa ujasiri huo uende mbali kwa kuamuru aliyevamia Clouds Media akamatwe na kupelekwa sero
kwahiyo unaamini katika list ya huyo mnaemuita Msoga jina la wema lilikuwepo?? MWAKA 2006 List aliiipata wema akiwa na 18yrs.Mbona wa miss wote kuvuta bangi ni sehemu ya mazoezi yao kule beach? Wengine wanajichomoa na wengine ndo moja kwa moja hadi leo.
Usipoteze muda, Miaka yote tumejua wacheza mpira enzi za Dewji, akina miss nani, akina bongo flava, miaka yote wamekuwa ni punda wa madawa. Sasa ukishaona watu wazima tunasifia mtu asiye na mchango kwa Taifa eti anaonewa, wakati anaharibu kizazi kinachozubaishwa na vituko vyake mitaani, basi ujue elimu ya uelewa hatuna.kwahiyo unaamini katika list ya huyo mnaemuita Msoga jina la wema lilikuwepo?? MWAKA 2006 List aliiipata wema akiwa na 18yrs.
Hakupaswa kuopewa hiyo Wizara kwani si jasiri. Na hii operation isingekuwa ya hali ya juu kama makonda hakutaja hayo majina. Je ukiangalia ni aslimia ngapi iliyokosewa? Na wale walikuwa watuhumiwa. Kwani watuhumiwa wangapi wanapelekwa mahakamani na baadae hunbainika sio? mwgulu sio jasiri bali ni muoga! Sifa mojawapo ya hiyo wizara anayoiongoza ni Ujasiri!Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada.