anaujasiri gani??? au ni unafiki tu, Kimsingi hakuna ujasiri wowote kwenye hili, naona ni unafiki tu ndo umemjaa yule jamaa.nampongeza sana makonda amejitahidi sana kunusuru kizazi hiki. mtu mnafiki hata angepewa wizara gani hakuna kinachoonekana akifanya. alikuwa kiliomo sijaona na hata leo ntaendelea kuona hamna kinacho fanyika hiyo wizara. tatizo kuna baadhi ya viongozi ni wabia wa wauza nganda,ndo maana kuna unafiki, ukiaangalia kwa umakini MH. MAKONDA ANADHAMIRA YA KWELI PAMOJA NA MH. RAIS, VIONGOZI WENGINE HAWANA MDA AKIWEMO WAZIRI HUYO.