Tetesi: Mh. Mwigulu aligoma kutaja majina ya Wauza Madawa, ikabidi apewe Makonda

Tetesi: Mh. Mwigulu aligoma kutaja majina ya Wauza Madawa, ikabidi apewe Makonda

Hi iliwalenga watu fulan kwani ilianza na watu wa chini kabisa yaani watumiaji wasio na madhara kabisa kisha wakaja wengine walikuwa walengwa wa mpango mzima ulioratibu inshu nzima kama kuwachafua watu fulani mmeona.

Baada ya watu kiguna wakaona itakuwa hii haieleweki ndio wakamua kutpia watu walizungumziwa kipinfi cha nyuma baada ya kuona lengo zima la kuwachafua hawa akina maji wema na gwajima wakamua sasa wawataje ndio wakawataja msogason na wengine wengi sasa kipindi hicho ndio kililenga mapusha wenyewe walihukumiwa kimyakimya na wengine wakalipa faini wameachiwa huru

Yoote haya yalilenga wa wachache tu .samahan msije kunisemelea kwa bashite anayetumiwa kwa sababu ya elimu yake duni kwa manufaa ya wenye maarifa ya kunemeka kwa walio na neema.
Akina nani waliowazungumzia kipindi cha nyuma
 
Back
Top Bottom