Tetesi: Mh. Mwigulu aligoma kutaja majina ya Wauza Madawa, ikabidi apewe Makonda

Kilikuwa kikao cha aina gani hicho kilichoamua kumpa makonda hilo jukum baada ya mwigulu kukataa?
 
kwa sababu Ana hekima na busara akaona hawezi. Ila bashite kwa sababu ni mwendawazimu alikibali
 
Mwigulu hakielewi kama ambavyo mnamsifia ila anautaka Urais na anajua vita hii itamharibia
 
Hubavu huo hana.
 
Yaani bavicha kama bashite tu, mtu anaamka asubuhi anatuletea ndoto yake aliyoota usiku......haya kamanda tumekupata.
 
una uhakika? Au wapenda tu kumtaja mzee wa Watu? kwahiyo ile list ya Msoga ina jina la Wema Sepetu? ile list aliipata miaka ya 2006 ambapo Wema Sepetu ndo anapata Taji la Miss Tanzania. Tafakari upya.
Mbona wa miss wote kuvuta bangi ni sehemu ya mazoezi yao kule beach? Wengine wanajichomoa na wengine ndo moja kwa moja hadi leo.
 
Umetunga hadithi, ukaiita tetesi, ukampongeza Mwigulu, ukapewa likes na marafiki. Nini hii sasa! Lengo ni nini? KUmfanya Makonda aonekane wa hovyo? Au, Mwigulu aonekane ni wa maana sana? wapi bhana! Kama kuficha majina ni ushujaa basi shujaa ni Lukuvi aliyegoma kuwataja na kuahidi kwamba hakuna atakayepona.
 
Sasa hapa jasiri nani,Mwigulu aliyenywea kuwataja na Makonda aliyethubutu kuwataja,naona kama Kiswahili ulipata F na eti Clouds,Clouds kitu gani bana hadi tupotezeana muda,hayo ya Clouds ndio yashakuwa historia tumewachia Gwajima wao
 
Watu kwa kutunga uronga hawajambo eti kutoka vyanzo ,vyanzo gani hivyo na wewe ni nani hadi ujue hizo taarifa kama Mange Kimambi sawa
 
wacha unafiki wewe unafikiri watu ni wajinga. mara makonda ni jasiri kwa kutaja majina..mara ngwigulu ni jasiri kwa kukataa kutaja majina. majina yanajulikana kutokana na upelelezi uliyofanyika. wakipelekwa mahakamani kimyakimya wanahonga na kutoka kimyakimya. hizi mahakama zetu za wanasheria wauza haki nani atamfunga muuza ngada kwa jinsi dau lake lilivyokua kubwa. watoa rushwa ndio kimbelembele kudai utawala wa sheria kwa kua watahonga. wanyonge ndio wameona wachukue sheria mkononi. kutokana na rushwa ya mahakama na polisi ndio maana kuna hii concept siku hizi ya kuwataja hadharani wapate aibika watu waovu kwenye jamii kama wauza ngada.
 
Mbona wa miss wote kuvuta bangi ni sehemu ya mazoezi yao kule beach? Wengine wanajichomoa na wengine ndo moja kwa moja hadi leo.
kwahiyo unaamini katika list ya huyo mnaemuita Msoga jina la wema lilikuwepo?? MWAKA 2006 List aliiipata wema akiwa na 18yrs.
 
habari za kunyapia nyapia

Alijua bashite hawezi kukataa
 
kwahiyo unaamini katika list ya huyo mnaemuita Msoga jina la wema lilikuwepo?? MWAKA 2006 List aliiipata wema akiwa na 18yrs.
Usipoteze muda, Miaka yote tumejua wacheza mpira enzi za Dewji, akina miss nani, akina bongo flava, miaka yote wamekuwa ni punda wa madawa. Sasa ukishaona watu wazima tunasifia mtu asiye na mchango kwa Taifa eti anaonewa, wakati anaharibu kizazi kinachozubaishwa na vituko vyake mitaani, basi ujue elimu ya uelewa hatuna.
 
Hakupaswa kuopewa hiyo Wizara kwani si jasiri. Na hii operation isingekuwa ya hali ya juu kama makonda hakutaja hayo majina. Je ukiangalia ni aslimia ngapi iliyokosewa? Na wale walikuwa watuhumiwa. Kwani watuhumiwa wangapi wanapelekwa mahakamani na baadae hunbainika sio? mwgulu sio jasiri bali ni muoga! Sifa mojawapo ya hiyo wizara anayoiongoza ni Ujasiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…