Mh. Mwigulu Nchemba kutikisa Marekani na Uingereza mwezi mzima


Duuuuu,bado tupo katika nyakati za giza,inawezekana kweli kwa CCM?Jamaa hana hata sifa moja ya kuwa rais,Ni mfumo wetu mbovu ndio unaomlinda tu,vinginevyo......ndio maana anaongoa mambo makubwa na kutuhumu watu lakini jeshi la polisi wanogopa ata kumuoji tu?Alisema anao ushahidi wa mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema Arusha,lakini mpaka leo polisi awaja......na hakuna kinachoendelea.MUNGU ibariki TANZANIA
 
Mwigulu Nchemba amekaa chumbani na masalia wawili wakaandika thread paomja alafu eti anazuga "camera yetu imemnansa" camera yetu my foot??

endeleemi kujitia vidole na kuvikatikia kwa utamu mkadhani hatuwaoni.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu Nchemba amekaa chumbani na masalia wawili wakaandika thread pamoja alafu eti anazuga "camera yetu imemnasa"
camera yetu my foot??

endeleeni kujitia vidole na kuvikatikia kwa utamu mkadhani hatuwaoni.
 

Broo wewe tulia huyu anaenda kupiga misele tu hakuna cha kueneza chama wala msaada maana hata misaada ya nchi za magharibi ili upate lazima uonyeshwe ukuta na ukiushika ndio kushiney tena chadema ni zaidi ya waifikiriavyo hatukati tamaa uhuru upo..!
 
Anaenda kusaini ushoga huyu....hakuna la maana!! Na si ajabu pia anabeba unga wa wakubwa huyu
 
yaani masikini chapa lumumba imebaki kusifia jembe jembe... Kiboko ya CHADEMA, Hivi siku hizi hii ndiyo kazi ya chama tawala? mi nilidhani ni kusimammia raslimali zetu, kuhakikisha zinatunufaisha watanzania wote na kupata unafuu wa kuishi! Sikujua kabisa ajenda ilishabadilika ikawa ni kupambana na CHADEMA!
EE MUNGU TUNUSURU
 
Taswira
Hii tena ni enzi ya kuwa na waandishi wa thread za hovyohovyo za kijinga,hiki ndicho kizazi cha wakina Hamy-D,Chama,Chris Lukosi,na wengine wenye mawazo ya maiti kuandika ujinga humu jf

Kwa akili yako unawaeleza watanzania kwamba ccm wooote mumeona hamna mwenye akili ni Mwigulu ndiye anawazidi akili hivyo anafaa kuongoza nchi hii?

Watanzania wataonekana wote tu wapumbavu na tusio na akili kama wasomi wanavyojiita akina TASWIRA wakati hawauziki hata kufanya kazi nje ya Tanzania wamebaki kuandika majungu humu jf
Tuna matatizo kama mtu unaweza kupoteza muda wako kuandika kitu cha kijinga ambacho hata wewe unayeandika unajua hakiwezekani lakini bado unaandika mwisho wa siku unajiona mjanja saaana kumbe -------- mmoja tu anayejipendekeza kwa watu ili apate kuishi kwa kuandika thread za kimbea na majungu,huo muda ungetafuta kazi ya kukuingizia kipato kuliko kuandika ujinga

Taswira take care baby bado Tanzania hatujakosa viongozi hadi kuongozwa na kiongozi boya kama huyo
 

Yaani kama anapenda maisha yake, iwe Marekani hawajaiona hii picha. Hataruhusiwa kukanyaga USA
 
Mwigulu amesikia Dr Slaa anaenda Marekani nae anamfata anafikiria Dr anamaind Uliberali?

Poor Mwigulu
 
Kinachomsumbua Mwigulu ni damu za watanzania wasiokuwa na hatia aliowaua!!!!
 
Unazijua Marekani na Uingereza? Mwigulu ni kitu gani mpaka uamini kuwa ataunguruma huko? Msiwe mnakubali kutumwa hata kwenye upuuzi
 
Wenye schedule ya hii ziara please weka hapa JF. Mh Mwigulu tunakusubiri Washington DC, Jiandae sana, maana tunajiandaa watu wenye uchungu na Tanganyika tuje na maswali mengi na magumu. Muungano wa serikali tatu, kuhusu mauaji au ushirika wako katika Ugaidi na Kauli yako uliyoitoa kuhusu Membe na Lowasa. Remember, kila kitu kitakuwa kwa Kiingereza na will be recorded ili tuweke katika Youtube. We' re going to push all your buttons and No body will help you there. If you put your hands on anybody, you'll be arrested. Take this as friendly advice
 
Reactions: BAK
viva CCM,VIVA MWIGULU NCHEMBA
Juliana Shonza naona waendelea kutetea mkate wako wa kila siku.... Hapo cha ajabu kipi?? Kwenda US na UK?? Mfyuuuuu...... Halafu kuna mtu Mzima jana anaponda Dr Slaa kwenda Marekani william j. Malecela..... Kwa Mwigulu Nchemba kwenda Marekani na UK hili nalo utaliponda?? Au kwa vile ni CCM sawa??
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Fitinamwiko hapo umemtisha wala hawezi kuja huko DMV. Huyo ni wa kumfata huko California.....
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari kimekaa kimhemko zaidi,utafikiri jamaa anakwenda Iramba kumbe nchi za watu.
 
mafisadi wa chama cha mafisadi wakigombea buku 7

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…