GE2025 Mh. Nchimbi: Tuchagueni tutaleta Katiba Mpya! Tuna tatizo kubwa- Mzaha kwa watanganyika!

GE2025 Mh. Nchimbi: Tuchagueni tutaleta Katiba Mpya! Tuna tatizo kubwa- Mzaha kwa watanganyika!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Mbona nilikuwa naona kama anaweza kuwa mwenzetu!

Hawa watu hawako serious na watanganyika, .....ona mzaha anaowafanyia majuha wa Tanganyika!

Eti tuchagueni tutaleta katiba!

1756879494371.png
 
🤣🤣Hawa watu ni waongo waliopitiliza eti katiba mpya wanamdanganya nani labda wadanganye viazi
 
Walikuwa wapi muda wote fursa yakuipata katiba mpya na hawakuona umuhimu wake hataa wakaahujumu mchakato,halafu leo wanakuja na tilalila za uongo?
eti! mzaha wameshatuone mavi
 
Huyu nae kama BAMIA
Ukubwani ndio anaharibikiwaaa
 
Back
Top Bottom