digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Habari za leo waungwana?
Kuna taarifa toka chini ya kapeti kuwa kijana mchapa kazi na mwenye juhudi katika kuhakikisha taifa letu lina songa mbele Mh. Paul Makonda atahamishiwa mkoani Geita kama mkuu wa mkoa .
Hii ni kutokana na juhudi zake katika kutafuta wawekezaji ,ambapo Mh.Rais ameamua kumhamishia mkoani Geita ili asaidie upatikanaji wa wawekezaji katika sekta ya madini, msukumo huo umekuja kutokana na mh.Paul kuwa na marafiki wengi kutoka mataifa ya ngambo ambao wameonesha nia ya kuwekeza katika sekta ya madini.
My take: namtakia kila kheri mh.Paul ,na anakaribishwa kwa moyo mkunjufu mkoani Geita, lakini pia pongezi kwa mh. Rais kwa kuamua kumleta kijana wetu mchapa kazi ili kuhakikisha kuwa sekta ya madini mkoani Geita inakuwa na kuwaletea tija wakaazi wa Geita na taifa kwa ujumla.