Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Janja Robert Heriel Mtibeli nilishamwambia yeye abaki na mada za ukungwi na nyuzi zake za jinsi ya kumkojoza mwanamkeMwambie bwana ako apunguze kihedemswede
Hahahaaaa!Kizuri chajiuza ila kibaya kinajitembeza.Wana-Ccm wenzangu ndugu Robert Heriel Mtibeli , mfikirieni kumteua .
Kijana huyu anatufaa katika Serikali , Elimu yake ni Shahada .
Umri 30s
Atatufaa katika kutuandikia hotuba , n.k
Asante
Hizi chuki zitakusaidia nini au ndo kuzeeka vibaya ?Kajamaa kanajinaga na akili km Mungu yani kumbe kalofa flani tu kanakoendekeza njaa
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakutandika. Mafala wenzio huko huko huko. Sasa unaongea ondoka hapaWana-Ccm wenzangu ndugu Robert Heriel Mtibeli , mfikirieni kumteua .
Kijana huyu anatufaa katika Serikali , Elimu yake ni Shahada .
Umri 30s
Atatufaa katika kutuandikia hotuba , n.k
Asante
We ni mke wa ngapi? au mchepuko!Hizi chuki zitakusaidia nini au ndo kuzeeka vibaya ?