Nakuomba tena Mama yangu ufikirie tena hivi vimeo unavyochomekewa, na uwe makini navyo. Mafuta ndio "trigger" ya mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali za muhimu. Na kwenye miamala ya tigopesa/mpesa ndio wengi wa kipato cha kati na chini hufanya miamala yetu, sababu hatuna hela za kuweza kukaa benki.[emoji736][emoji817][emoji1545]
Kwenye tozo za mafuta na miamala ya simu kashauriwa vibaya na impact yake ataiona soon. Kuna wako mijini wanapigika siku nzima ili jioni watume 6000 nyumbani kijijini watoe 5000 wapate kula na kupata mahitaji mengine ya lazima .. Leo haiwezekani tena