Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalaam wana jamvi.
Wanajamvi wasalaam, bila shaka kila mtu anajua fika kabisa kuwa janga la Corona limeathiri dunia na uchumi wa dunia kwa ujumla kabisa.
Na ni wazi kabisa Tanzania tuna Neema ya kipekee sana kwani ugonjwa huu haujawa na atahari kubwa kama nchi nyingine za wenzetu
Na katika hili kila Mtanzania ana haki na wajibu wa kumshukuru Mungu.
Lakini hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya za kupatikana kwa chanjo ambayo pengine kwa nchi za Ulaya inatarajiwa kutolewa kama sio January basi ni December,.
Ukweli ni kwamba kama chanjo zinazo tajwa zitafanikiwa basi litakuwa jambo jema na tutamshukuru Mungu pia....
Ni lazima tujua kuwa chanjo ni kinga kwa hiyo kama zitafanikiwa kuzuia ugonjwa huo basi litakuwa jambo jema kabisa kwa Dunia nzima.
Lakini katika hili la chanjo naipongeza serikali kuto harakisha kuagiza kwa chnjo hiyo kabla hata haijaanza kutumika uko ulaya na marekani kwani kumekuwa bado na mjadala kuhusu uhakika hizo chanjo kwa hiyo kujipa muda ni jambo jema.
Lakini napingana naserikali kusema kuwa haito agiza chanjo wakati ugonjwa huu haijaweza kuupatia dawa au chanjo yake hapa nchini na litakuwa jambo la ajabu sana kukataa chanjo wakati bado Tanzania ina muingiliano wa kila aina ya watu wa mataifa mbalimbali duniani.
Lazima tukubali kuwa kama kuna chanjo ambayo itathibitika ina ufanisi dhidi ya CORONA ni lazima itaagizwa kwa kutaka au kutotaka kwani tanzania sio kisiwa cha peke yake...............
Kama tuna jipanga kukataa chanjo dhidi ya Corona ni lazima tuhuthibitishie ulimwengu kuwa tunayo chanjo yetu ambayo ina ufanisi kuliko zao na ni ni kwa jinsi gani hatuwezi kupata Corona hata tukikutana na mwenye Corona.
Watanzania wanatakiwa kujua kutokuwa na Corona hauwezi kuwa ndio utetezi wa kutokuagiza chanjo.
Watanzania tuna chanjo nyingi sana ambazo zimekuwa zikitolewa kila leo na hatujawai kuzikataa na nina hakika hata hizo zote tulijipa muda kabla ya kuagiza.
Bado naamini hata chanjo ya Corona ni muhimu kwa tanzania na watanzania na ni vyema serikali ikaendelea kutafakari lakini lazima ijue kuwa kuagiza chanjo ya Corona hakuto zuilika kama itathibitika pasi na shaka ambazo zilizo tengenezwa zimwkuwa na ufanisi mkubwa sana kwa binadamu dhidi ya Corona.
Wasalaaam
Magu si alifanikisha kuitokomeza COVID-19 nchini? Chanjo ya nini tena?Naungana na wewe na pengine ni swala la kujipa muda lakini kukataa chanjo ni jambo ambalo haliwezekani
Hahahaha huyu jamaa vp eti analilia chanjoMataga taratibu sindano zimeanza kuwaingia kweri-kweri.
Acha kumpangia rais wetuBAVICHA huwa mnanichekesha sana yani mnafikiri kila anayekubaliana na ninyi kwenye kila kitu basi ndio kamanda.................
Mitano 5 ,hapangiwi ,endelea kunywa mtori utakuta nyama chini...hapa kazi tu!!Wasalaam wana jamvi.
Wanajamvi wasalaam, bila shaka kila mtu anajua fika kabisa kuwa janga la Corona limeathiri dunia na uchumi wa dunia kwa ujumla kabisa.
Na ni wazi kabisa Tanzania tuna Neema ya kipekee sana kwani ugonjwa huu haujawa na atahari kubwa kama nchi nyingine za wenzetu
Na katika hili kila Mtanzania ana haki na wajibu wa kumshukuru Mungu.
Lakini hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya za kupatikana kwa chanjo ambayo pengine kwa nchi za Ulaya inatarajiwa kutolewa kama sio January basi ni December,.
Ukweli ni kwamba kama chanjo zinazo tajwa zitafanikiwa basi litakuwa jambo jema na tutamshukuru Mungu pia....
Ni lazima tujua kuwa chanjo ni kinga kwa hiyo kama zitafanikiwa kuzuia ugonjwa huo basi litakuwa jambo jema kabisa kwa Dunia nzima.
Lakini katika hili la chanjo naipongeza serikali kuto harakisha kuagiza kwa chnjo hiyo kabla hata haijaanza kutumika uko ulaya na marekani kwani kumekuwa bado na mjadala kuhusu uhakika hizo chanjo kwa hiyo kujipa muda ni jambo jema.
Lakini napingana naserikali kusema kuwa haito agiza chanjo wakati ugonjwa huu haijaweza kuupatia dawa au chanjo yake hapa nchini na litakuwa jambo la ajabu sana kukataa chanjo wakati bado Tanzania ina muingiliano wa kila aina ya watu wa mataifa mbalimbali duniani.
Lazima tukubali kuwa kama kuna chanjo ambayo itathibitika ina ufanisi dhidi ya CORONA ni lazima itaagizwa kwa kutaka au kutotaka kwani tanzania sio kisiwa cha peke yake...............
Kama tuna jipanga kukataa chanjo dhidi ya Corona ni lazima tuhuthibitishie ulimwengu kuwa tunayo chanjo yetu ambayo ina ufanisi kuliko zao na ni ni kwa jinsi gani hatuwezi kupata Corona hata tukikutana na mwenye Corona.
Watanzania wanatakiwa kujua kutokuwa na Corona hauwezi kuwa ndio utetezi wa kutokuagiza chanjo.
Watanzania tuna chanjo nyingi sana ambazo zimekuwa zikitolewa kila leo na hatujawai kuzikataa na nina hakika hata hizo zote tulijipa muda kabla ya kuagiza.
Bado naamini hata chanjo ya Corona ni muhimu kwa tanzania na watanzania na ni vyema serikali ikaendelea kutafakari lakini lazima ijue kuwa kuagiza chanjo ya Corona hakuto zuilika kama itathibitika pasi na shaka ambazo zilizo tengenezwa zimwkuwa na ufanisi mkubwa sana kwa binadamu dhidi ya Corona.
Wasalaaam
Usifikiri hiyo chanjo ni bure. Ukienda kichwakichwa utaweza dhuru uchumi wa nchi kwa kitu ni conspiracy ya wazungu kuzinyonya nchi za wajinga. Ugonjwa kweli upo lakini risk na tiba ukweli halisi sio mambo ya kusimamisha uchumi wa nchi. Kila mtu akili kumkichwa..wajanja wenye kudhibiti dunia wako kazini.Wasalaam wana jamvi.
Wanajamvi wasalaam, bila shaka kila mtu anajua fika kabisa kuwa janga la Corona limeathiri dunia na uchumi wa dunia kwa ujumla kabisa.
Na ni wazi kabisa Tanzania tuna Neema ya kipekee sana kwani ugonjwa huu haujawa na atahari kubwa kama nchi nyingine za wenzetu
Na katika hili kila Mtanzania ana haki na wajibu wa kumshukuru Mungu.
Lakini hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya za kupatikana kwa chanjo ambayo pengine kwa nchi za Ulaya inatarajiwa kutolewa kama sio January basi ni December,.
Ukweli ni kwamba kama chanjo zinazo tajwa zitafanikiwa basi litakuwa jambo jema na tutamshukuru Mungu pia....
Ni lazima tujua kuwa chanjo ni kinga kwa hiyo kama zitafanikiwa kuzuia ugonjwa huo basi litakuwa jambo jema kabisa kwa Dunia nzima.
Lakini katika hili la chanjo naipongeza serikali kuto harakisha kuagiza kwa chnjo hiyo kabla hata haijaanza kutumika uko ulaya na marekani kwani kumekuwa bado na mjadala kuhusu uhakika hizo chanjo kwa hiyo kujipa muda ni jambo jema.
Lakini napingana naserikali kusema kuwa haito agiza chanjo wakati ugonjwa huu haijaweza kuupatia dawa au chanjo yake hapa nchini na litakuwa jambo la ajabu sana kukataa chanjo wakati bado Tanzania ina muingiliano wa kila aina ya watu wa mataifa mbalimbali duniani.
Lazima tukubali kuwa kama kuna chanjo ambayo itathibitika ina ufanisi dhidi ya CORONA ni lazima itaagizwa kwa kutaka au kutotaka kwani tanzania sio kisiwa cha peke yake...............
Kama tuna jipanga kukataa chanjo dhidi ya Corona ni lazima tuhuthibitishie ulimwengu kuwa tunayo chanjo yetu ambayo ina ufanisi kuliko zao na ni ni kwa jinsi gani hatuwezi kupata Corona hata tukikutana na mwenye Corona.
Watanzania wanatakiwa kujua kutokuwa na Corona hauwezi kuwa ndio utetezi wa kutokuagiza chanjo.
Watanzania tuna chanjo nyingi sana ambazo zimekuwa zikitolewa kila leo na hatujawai kuzikataa na nina hakika hata hizo zote tulijipa muda kabla ya kuagiza.
Bado naamini hata chanjo ya Corona ni muhimu kwa tanzania na watanzania na ni vyema serikali ikaendelea kutafakari lakini lazima ijue kuwa kuagiza chanjo ya Corona hakuto zuilika kama itathibitika pasi na shaka ambazo zilizo tengenezwa zimwkuwa na ufanisi mkubwa sana kwa binadamu dhidi ya Corona.
Wasalaaam
Haya majitu manyumbu kwelkweli, kwani waliogundua hiyo chanjo ni Wana CCM na kwa ajili ya Wana CCM?Kweli Ufipani kuna Vilaza walio pindukia
Kwa chadema, kumkosoa Mbowe au Lisu ni usaliti.Kamanda najua una hasira za uchaguzi hebu shusha presha mimi natoa ushauri kwa serikali yangu........nyinyi chama chenu huwa hamkosei na wala huwa hamkosolewi hahahaha
Hata saa mbovu kuna wakati inapatia majira. Tutaelewana tu.Wasalaam wana jamvi.
Wanajamvi wasalaam, bila shaka kila mtu anajua fika kabisa kuwa janga la Corona limeathiri dunia na uchumi wa dunia kwa ujumla kabisa.
Na ni wazi kabisa Tanzania tuna Neema ya kipekee sana kwani ugonjwa huu haujawa na atahari kubwa kama nchi nyingine za wenzetu
Na katika hili kila Mtanzania ana haki na wajibu wa kumshukuru Mungu.
Lakini hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya za kupatikana kwa chanjo ambayo pengine kwa nchi za Ulaya inatarajiwa kutolewa kama sio January basi ni December,.
Ukweli ni kwamba kama chanjo zinazo tajwa zitafanikiwa basi litakuwa jambo jema na tutamshukuru Mungu pia....
Ni lazima tujua kuwa chanjo ni kinga kwa hiyo kama zitafanikiwa kuzuia ugonjwa huo basi litakuwa jambo jema kabisa kwa Dunia nzima.
Lakini katika hili la chanjo naipongeza serikali kuto harakisha kuagiza kwa chnjo hiyo kabla hata haijaanza kutumika uko ulaya na marekani kwani kumekuwa bado na mjadala kuhusu uhakika hizo chanjo kwa hiyo kujipa muda ni jambo jema.
Lakini napingana naserikali kusema kuwa haito agiza chanjo wakati ugonjwa huu haijaweza kuupatia dawa au chanjo yake hapa nchini na litakuwa jambo la ajabu sana kukataa chanjo wakati bado Tanzania ina muingiliano wa kila aina ya watu wa mataifa mbalimbali duniani.
Lazima tukubali kuwa kama kuna chanjo ambayo itathibitika ina ufanisi dhidi ya CORONA ni lazima itaagizwa kwa kutaka au kutotaka kwani tanzania sio kisiwa cha peke yake...............
Kama tuna jipanga kukataa chanjo dhidi ya Corona ni lazima tuhuthibitishie ulimwengu kuwa tunayo chanjo yetu ambayo ina ufanisi kuliko zao na ni ni kwa jinsi gani hatuwezi kupata Corona hata tukikutana na mwenye Corona.
Watanzania wanatakiwa kujua kutokuwa na Corona hauwezi kuwa ndio utetezi wa kutokuagiza chanjo.
Watanzania tuna chanjo nyingi sana ambazo zimekuwa zikitolewa kila leo na hatujawai kuzikataa na nina hakika hata hizo zote tulijipa muda kabla ya kuagiza.
Bado naamini hata chanjo ya Corona ni muhimu kwa tanzania na watanzania na ni vyema serikali ikaendelea kutafakari lakini lazima ijue kuwa kuagiza chanjo ya Corona hakuto zuilika kama itathibitika pasi na shaka ambazo zilizo tengenezwa zimwkuwa na ufanisi mkubwa sana kwa binadamu dhidi ya Corona.
Wasalaaam
Tuliza mshono basi!BAVICHA huwa mnanichekesha sana yani mnafikiri kila anayekubaliana na ninyi kwenye kila kitu basi ndio kamanda.................
Lumumba kuna mazwazwa waliotukukaKweli Ufipani kuna Vilaza walio pindukia
Hakuna mwenye ubavu huo mkiwa mbele yake mnajinyeanyea hadi mnashindwa kusoma viapo.Kwa chadema, kumkosoa Mbowe au Lisu ni usaliti.
Sisi ccm tuko huru kumkosoa yeyote awe rais au Polepole au Bashiru, wote wanakosolewa.
Uhuru huu huwezi kuukuta pale ufipa. Si unaona sasa hivi Halima anavyotukanwa kisa hajampendeza mungu wao Mbowe