Mh. Rais, kujipa muda kabla ya kuagiza chanjo ni jambo jema lakini kukataa chanjo ni jambo ambalo halitowezekana na halitakuwa la busara!

Usifikiri hiyo chanjo ni bure. Ukienda kichwakichwa utaweza dhuru uchumi wa nchi kwa kitu ni conspiracy ya wazungu kuzinyonya nchi za wajinga. Ugonjwa kweli upo lakini risk na tiba ukweli halisi sio mambo ya kusimamisha uchumi wa nchi. Kila mtu akili kumkichwa..wajanja wenye kudhibiti dunia wako kazini.
Mimi bado naamini kuna ambayo WHO wanaweza kuona inafaa zaidi kwa matumizi yetu lakini mbona chanjo za porio... pepunda ,Homa ya inni tulizikubali?
 
Shida ni kuwa chanjo hazitolewi bure. Serikali itatakiwa kununua au kukopeswa. Hapo ndipo lugumwa mzee magu anakua jiwe.
 
Usifikiri hiyo chanjo ni bure. Ukienda kichwakichwa utaweza dhuru uchumi wa nchi kwa kitu ni conspiracy ya wazungu kuzinyonya nchi za wajinga. Ugonjwa kweli upo lakini risk na tiba ukweli halisi sio mambo ya kusimamisha uchumi wa nchi. Kila mtu akili kumkichwa..wajanja wenye kudhibiti dunia wako kazini.
We ni mjinga tufunge pharmacy zote kwa sababu almost dawa zote zinatoka kwa mabeberu
 
Kama tulituma ndege kwenda kuleta dawa za mitishamba Madagascar,iweje tukatae chanjo yenye scientific aproval?
Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.
 
Shida ni kuwa chanjo hazitolewi bure. Serikali itatakiwa kununua au kukopeswa. Hapo ndipo lugumwa mzee magu anakua jiwe.
Lakini kama hoja ni gharama kwani chanjo zote zinagharamiwa na serikali?
 
Covid 19 ilishindwa kuwaangamiza waafrika kama ilivyotarajiwa na baadhi ya wenye agenda za siri. Sasa bara la Africa limekumbwa na aina nyingine ya Covid 501-2v ambayo imetengenezwa na kuongezwa makali ili waafrika tupungue duniani.
Tanzania imevamiwa na strain mpya ya Covid 501-2v ambayo inauwa watu wengi nchini Zimbabwe na South Africa.
 
Chanjo lazima kama yeye hataki si basi wengine wanataka
 
Pambana na Hali yako.hakuna corona
Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.
 
Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.

Hivi mh. Rais Ni mwanasayansi sio?
 
Covid 19 ilishindwa kuwaangamiza waafrika kama ilivyotarajiwa na baadhi ya wenye agenda za siri. Sasa bara la Africa limekumbwa na aina nyingine ya Covid 501-2v ambayo imetengenezwa na kuongezwa makali ili waafrika tupungue duniani.
Tanzania imevamiwa na strain mpya ya Covid 501-2v ambayo inauwa watu wengi nchini Zimbabwe na South Africa.
kwa hiyo suluhu ni kukataa chanjo? mbona za porio na nyingine tulizikubali na zimetengenezwa na wao?
 
Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.
kama safari ya Madagascar!
 
Sasa tumekubali ipo.

Tunaanzisha ubishi mwingine.

Mtuvumilie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Chuki mbaya sana.
 
Attachments

  • IMG-20210127-WA0002.jpg
    IMG-20210127-WA0002.jpg
    79.6 KB · Views: 1
Unakataa chanjo cha corona kwa hisia za chuki huku unapokea chanjo ya za watoto ya ndui,polio,nk,unapokea condoms,ARV,maziwa ya kopo,dawa za tb ipi tunazalisha
 
BAVICHA huwa mnanichekesha sana yani mnafikiri kila anayekubaliana na ninyi kwenye kila kitu basi ndio kamanda.................
Hakika Bavicha ni wavivu wa kufikiri wanataka kila mtu afikiri kama wao.
 
Back
Top Bottom