Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #61
Mimi bado naamini kuna ambayo WHO wanaweza kuona inafaa zaidi kwa matumizi yetu lakini mbona chanjo za porio... pepunda ,Homa ya inni tulizikubali?Usifikiri hiyo chanjo ni bure. Ukienda kichwakichwa utaweza dhuru uchumi wa nchi kwa kitu ni conspiracy ya wazungu kuzinyonya nchi za wajinga. Ugonjwa kweli upo lakini risk na tiba ukweli halisi sio mambo ya kusimamisha uchumi wa nchi. Kila mtu akili kumkichwa..wajanja wenye kudhibiti dunia wako kazini.