Mh. Rais, kujipa muda kabla ya kuagiza chanjo ni jambo jema lakini kukataa chanjo ni jambo ambalo halitowezekana na halitakuwa la busara!

Nasikia usipokubali chanjo hatutoruhusiwa kupewa huduma baadhi ya sehemu.
 
Hizo chanjo ni kuziacha kwanza
Kuna nesi huko US kadondoka na kuzimia dakika Saba baada ya kudungwa chanjo
 
Kuna nini kinaendelea huko Lumumba??? Mbona makada nguli mliopo humu akili zinaanza kuwarudia???😂😂😂😂

Au ndo mmegundua kuwa pale juu mmeingia chaka?😂😂
 
Mitano 5 ,hapangiwi ,endelea kunywa mtori utakuta nyama chini...hapa kazi tu!!
 
Usifikiri hiyo chanjo ni bure. Ukienda kichwakichwa utaweza dhuru uchumi wa nchi kwa kitu ni conspiracy ya wazungu kuzinyonya nchi za wajinga. Ugonjwa kweli upo lakini risk na tiba ukweli halisi sio mambo ya kusimamisha uchumi wa nchi. Kila mtu akili kumkichwa..wajanja wenye kudhibiti dunia wako kazini.
 
Wewe ndugu huwajui wazungu wewe sisi tunaona mbali sana ....hiii ni vita ya kiuchumi
 
Kamanda najua una hasira za uchaguzi hebu shusha presha mimi natoa ushauri kwa serikali yangu........nyinyi chama chenu huwa hamkosei na wala huwa hamkosolewi hahahaha
Kwa chadema, kumkosoa Mbowe au Lisu ni usaliti.

Sisi ccm tuko huru kumkosoa yeyote awe rais au Polepole au Bashiru, wote wanakosolewa.

Uhuru huu huwezi kuukuta pale ufipa. Si unaona sasa hivi Halima anavyotukanwa kisa hajampendeza mungu wao Mbowe
 
Hata saa mbovu kuna wakati inapatia majira. Tutaelewana tu.
 
Kwa chadema, kumkosoa Mbowe au Lisu ni usaliti.

Sisi ccm tuko huru kumkosoa yeyote awe rais au Polepole au Bashiru, wote wanakosolewa.

Uhuru huu huwezi kuukuta pale ufipa. Si unaona sasa hivi Halima anavyotukanwa kisa hajampendeza mungu wao Mbowe
Hakuna mwenye ubavu huo mkiwa mbele yake mnajinyeanyea hadi mnashindwa kusoma viapo.
 
Covd issues imejaa hila nyingi, ukiona serikali inasema haitaagiza chanjo, jua kuna ujumbe anafikishiwa beberu fulani mwenye hila.
Wewe ni shahidi kua serikali yetu haijawahi kosea step since sakata hili la covid lianze.

Jpm is a genious! Tumwamin.

Haya ni maoni binafsi, sorry for any inconvenience that may arise.
 
chanjo itakataliwa na awamu ya tano, kitakachotokea kuanzia 2022 ni kwamba watanzania watakuwa hawaruhusiwi kuingia nchi nyingi itabidi tukatafute passports za kenya na watalii itakuwa ngumu kuja huku, thats it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…