Mh. Rais, kujipa muda kabla ya kuagiza chanjo ni jambo jema lakini kukataa chanjo ni jambo ambalo halitowezekana na halitakuwa la busara!

Acha mawazo mgando wewe!
 
Hivi kumbe siwezi kutoa ushauri mpaka niwe nataka kusafiri? huu ni ushauri kwa serikali


Wewe kwanini hutaki kusikia???!!, mkuu wa serikali hii huwa hataki kushauriwa. Ili uelewe labda tukupigie kengele ya kanisani sikioni mwako???.

Tena alishasema kama alikuwa anataka kutekekeza mpango fulani na ikatokea watu kutoa ushauri au kuanza minong'ono juu ya huo mpango basi mpango mzima ataubadilisha au kuufuta kabisa, yeye huwa hashauriwi.
 
Nchi zote zinazotuzunguka wakichanja wananchi wao ina maana sisi hatuna haja ya kuchanjwa. Kwa sababu ugonjwa ndiyo itakuwa umefukuzwa inderect.
 
Ndio ujue mna rais kichaa.
 
Mimi lazima nichanjwe hata ikibidi nivuke niende kuchanjwa Kenya. Chanjo ni muhimu sana.
 
Dawa ni kuandaa utaratibu wa chanjo binafsi tu,anayetaka achanjwe asiyetaka aache,Jiwe anaweza akasacrifice watu wake wafe wakati yeye kajifungia anatoa matamko tu,
 
Zinaweza zikaagizwa kisirisiri, mbona pesa kutoka EU tumekuja kujua baada ya wazungu kuongelea kwenye bunge lao, pamoja tulijitamba kuwa hakuna Corona ila pesa tukabeba?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwa unakubali kila upuuzi, leo unajitoa muhanga baada ya kufiwa na mtu kwa covid, ndio unajifanya kushauri. Nani anakusikiliza ww kapuku. Ww kazi yako ni kusifia tu, achia wenye akili wakosoe.
Teh teh teh teh...hutaki ajiunge na kambi ya wakosoaji.
 
Unafahamu kuwa chanjo no biashara ambayo iliandaliwa na hawa watu? Kama hatukuugua korona kwa kiasi walichotabiri chanjo ya nini?
 
Wewe ni nani mpaka umpangie Rais Magufuli cha kufanya?

Rais ni mtumishi wa wananchi; hivyo wale wananchi wenye akili wana jukumu la kumshauri Rais kwa mambo yote yanayohusu mustakabali wa nchi na wananchi wake, likiwapo suala hili la chanjo ya corona. Jiwe anaamini kuwa kujifukiza [ NYUNGU] inatibu corona , sawa basi wanasayansi wetu wafanye utafiti zaidi na kuja na muarobaini wetu wa kutibu corona badala ya kuamini kuwa maombi ndio tiba!!!
 
Zile Juice ambazo Kabudi alifata Madagascar ziliishia wapi kwanza kabla ya kujadili hizi chanjo?
zile juice wakati anatest alikodoa macho utafikiri anapiga nyongo
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Chanjo yenu ipi? Maombi ya siku 3??

Unafikiri anajiamulia? Kataeni chanjo siku mimacho atakapozuiliwa kwenda mikutano ya kutembeza bakuli ndio utajua boss ni nani
 
Lazima tukubali kuwa kama kuna chanjo ambayo itathibitika ina ufanisi dhidi ya CORONA ni lazima itaagizwa kwa kutaka au kutotaka kwani tanzania sio kisiwa cha peke yake
Naishauri, badala ya serikali kukubali ushauri wako wenye vitisho ndani yake; ni muda muafaka sasa Tanzania kujibidisha kwa kuimarisha vitengo vyetu vya madawa ya asili kwa kutumia mbinu za kisasa. SUA wameonyesha mfano kuwa wataalamu wetu wanauwezo wa kuvumbua chanjo mbalimbali wanachohitaji ni ushirikiano kutoka kwa wadau.

Kwa wasio na taarifa , SUA kupitia wataalamu wake wa tiba za wanyama wamegundua chanjo yenye dawa za kukabili magonjwa matatu ya kuku. Chanjo hiyo haihitajiki kuwekwa kwenye friji bali inawekwa kwenye joto la kawaida kiasi hata sehemu zisizo na huduma friji hasa mashambani inaweza kuihifadhiwa na kutumika muda wowote.

Kwa hiyo siungi mkono serikali kushabikia kuagiza chanjo za kigeni wakati hatujajiridhisha kuwa wataalamu wetu wameshindwa kupata chanjo hiyo.
 
Kama tulituma ndege kwenda kuleta dawa za mitishamba Madagascar,iweje tukatae chanjo yenye scientific aproval?
 
Hakuna atakaekataa chanjo, hayo ni maneno.

Hakuna mwenye ubavu wa kukataa chanjo.

Unakataa chanjo ya corona halafu unapokea vidonge vya ARV, cancer na magonjwa mengine, hizo akili ama mavi?
Alafu serekali za Afrika zinasubiria chanjo za misaada kupitia wakina bill gates, naamin hawajaweka bajeti ya kununua chanjo ya Corona yaani tunasubiria fungulia mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…