Mh. Rais, kujipa muda kabla ya kuagiza chanjo ni jambo jema lakini kukataa chanjo ni jambo ambalo halitowezekana na halitakuwa la busara!

Unakataa chanjo cha corona kwa hisia za chuki huku unapokea chanjo ya za watoto ya ndui,polio,nk,unapokea condoms,ARV,maziwa ya kopo,dawa za tb ipi tunazalisha
Na nilitegemea Mh Rais alete hoja za kisayansi ku prove kuwa chanjo zilizo kuja hazifai kama alivyo fanya kwenye vifaa vya kupimia Corona nilitegemea angetumia njia hiyo hiyo kwenye chanjo.... lakini tujiulize watu wanaokwenda kupima Corona wakitaka kusafiri wale wahudumu wetu pale maabara kuu wanatumia vifaa gani kam sio hivyo hivyo vya wazungu ambao wana lalamikiwa? kama tuliweza kujiridhisha kwwenye vifaa fulani ni vizima kwanini tusijiridhishe kwenye chanjo pia kuliko kuzikataa bila sababu za msingi hasa za kisayansi? Katika ili Rais amekosea sana na amefeli kabisa..... kwenye hili la chanjo anatakiwa kuwathibitishia watu kiuwa ni mbaya na si kusema tuu
 
Wewe acha kumkejeli rais, hujui ana wataalam na washauri wa kutosha! Ebooo.....
 
Kama juhidi za ziada hazita chukuliwa, Wazee wetu, walio kwenye tiba/dozi za kisukari, presha, kansa n.k ni ngumu sana ku survive ktk kipindi hiki
 
Mbona walienda komoro harakaharaka Na hatujambiwa effectiveness ya ile dawa?
 
Hakuna aliyesema chanjo zisiingie!
Alichosema Rais ni kwamba wizara ya afya isikimbilie kuleta chanjo bila kujirizisha kama zinafaa
Kama hukuelewa, muulize aliyeelewa, siyo unakimbilia kupositi uongo
 
Anasema chanjo hazifai halafu mnamuita Dr. Tena aliyesomea sayansi [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…