Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.

Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
 
Huwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
 
Kumbe kusoma MD lazima utumie mkopo ? Mbona ada ndogo tu vyuo vya serikali haya ndo matatizo ya kutumia sacos kwenye ada
 

Attachments

  • IMG-20210130-WA0065.jpg
    IMG-20210130-WA0065.jpg
    44.8 KB · Views: 22
Huwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Madaktari wote waliosomeshwa kwa goverment loan wanalipa hela yote ya meal na accomodation wanayopewa kama wanufaika wengine wa mkopo wa elimu ya juu. Ambacho hawalipi ni Tution fee. Na hii imefanywa hivyo ili kuvutia wanafunzi wengi kusoma udaktari. Kauli za rais zinakatisha tamaa sana

Najiuliza endapo wanafunzi wengi wa udaktari wakijigharamia masomo yao ndiyo kusema serikali itakosa control nao? Hali ikifikia hivyo itakuwaje? Tutaleta madr toka Cuba?
 
"Huwa hawalipi"

Tokea lini?
Kama sijasahau mkataba ilikuwa kufanya kazi nchini miaka mitano. Private au serikalini
Kama ni nje iwe kwenda kusoma. Ilizua hadi mgomo kwa wanafunzi.
 
Madaktari wote waliosomeshwa kwa gov loan wanalipa hela yote ya meal na accomodation wanayopewa. Ambacho hawalipi ni Tution fee. Na hii imefanywa hivyo ili kuvutia wanafunzi wengi kusoma udaktari. A
Kauli za rais zinakatisha tamaa sana

Najiuliza endapo wanafunzi wengi wa udaktari wakijigharamia masomo yao ndiyo kusema serikaki itakosa control nao? Haki ikifikia hivyo itakuwaje? Tutaleta madr toka Cuba?
Wapo wenye grant na wasio nao. Tofauti wengine wanarejesha mil 15 wengine milioni 28 hadi 30+
 
Madaktari wote waliosomeshwa kwa goverment loan wanalipa hela yote ya meal na accomodation wanayopewa kama wanufaika wengine wa mkopo wa elimu ya juu. Ambacho hawalipi ni Tution fee. Na hii imefanywa hivyo ili kuvutia wanafunzi wengi kusoma udaktari. Kauli za rais zinakatisha tamaa sana

Najiuliza endapo wanafunzi wengi wa udaktari wakijigharamia masomo yao ndiyo kusema serikali itakosa control nao? Hali ikifikia hivyo itakuwaje? Tutaleta madr toka Cuba?
Hii ya kutolipa Tution fee bado ipo.?

Yani namaanisha Daktari aliemaliza masomo mwaka jana, hadaiwi mkopo wa tution fee.?
 
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru. Kuna madaktar wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zinamadhara makubwa kwa kwa ustawi wa taifa hili haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Mkuu wewe ulikuwa unachochea hapa watu wauawe na wapigwe na kufa

Mimi ni mwana ccm sana sana, Hata siku moja sijawahi sisitiza watu wafe

Wewe ni mmoja wa watu ambao mmeua hapa JF,ID yako inamaanisha kifo au mwisho wa maisha ya watu

Umeua watu wengi hapa JF, Umefanya kila aina ya ukatili kwenye dunia hii, Unachosubiria ni wewe kufa kama hao uliowaua hapa JF

Damu zao na mateso ya familia zao yatima na zitakaa na kubaki juu yako

Umeumiza, umetesa na kufanya familia za watu yatima, Leo unamsema Mkuu wa nchi

Hakika wewe ndio wapasa kufanywa kama ulivyowafanya wenzako

Hakuna mtu katili na mafia hapa JF kama wewe

Mimi ni mwana ccm lakini nina ndugu Chadema, Cuf na ACT hata siku moja sijawahi fikikiria kuwa siasa zinaweza kututenga

Tunaongea kama ndugu na kubishana sana toka tukiwa watoto mpaka ukubwani iwe kwa imani zetu na dini zetu, Lakini mwisho tunacheka

Wewe umehubiri kuuwawa na kuua watu japa JF

You have success in your mission but hutaishi kwa furaha daima mpaka kifo chako
,
 
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru. Kuna madaktar wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zinamadhara makubwa kwa kwa ustawi wa taifa hili haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Ilisemwa kuwa kila mtu naaubebe mzigo wake mwenyewe,kwakuwa dalili za mvua mawingu,wakati wa mawingu mliliona hayawahusu iweje wakati wa mvua iwahusu.
 
Back
Top Bottom