Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

Swala si kulipa Deni swala ni uzalendo
Na huyo JK akithubutu kusema anaenda jela
Hapa kazi tu
Uchumi wa kati
Nchi hii ni tajiri sana
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu...
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.

Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
 
1. uzalendo haupimwi kwa kupokea mshahara mdogo au mkubwa!
2. Hivi hii Hosp. binafsi ilikuwa inahudumia wakenya au wa Tz.?
 
Back
Top Bottom