Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

Suala la Wanafunzi wa Udaktari kusoma bure, si kweli. Nadhani Mheshimiwa ama alisahau au waliomwambia walimdanganya. Hakuna Daktari anayesoma bure.

Ikumbukwe kuwa, Wakati wa serikali ya awamu ya nane, kutokana na uhaba wa Madaktari nchini na vijana waliokuwa wanajiunga kwenye Elimu ya juu kusomea kada hiyo ya Udaktari, serikali ilikuja na mkakati wa kutoa Ruzuku( Grants) kwa Wanafunzi wanaochaguliwa kusoma kada hiyo kwenye vyuo vya serikali pekee( MUHAS na UDOM). Ruzuku hiyo ilikua inaahusisha Ada, malipo kwa ajili ya utafiti na field work.

Chakula na malazi haikuwa sehemu ya Ruzuku hiyo. Hivyo, Wanafunzi wa vyuo vikuu vya serikali, Kama ilivyo kwa wenzao wa private, walilazimika kuomba mkopo wa chakula na malazi kutoka Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu.
Na kipindi hicho watu wote waliochaguliwa kusoma chuo kikuu kozi za afya, walipata mkopo asilimia 100.

Hata hivyo, baada ya mzee kushika hatamu, akaja ni KIKOKOTOO Cha Vigezo vya watu wanaotakiwa kupata mkopo. Sasa grant/Ruzuku haipo tena, na ni Wanafunzi wachache wanaopata mkopo asilimia mia.
Sasa so ajabu kukutana mwanafunzi wa Muhimbili ambae anapata mkopo wa Ada tuu au chakula na malazi tuu.

Anyway, haya nayo yatapita
 
Inanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.

Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.

Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.

Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.

Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.

Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.

Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
Acha roho ya kimasikini wewe how many doctors are jobless?
 
Wao au wewe mbona mmesoma bure nani kawaghasi mpaka mda huu, achilia mbali kwamba tz haikua hivi Kama Sasa,walipewa ,nauli,ada, mikate, nk,why leo ndo iwe nongwa
 
Inanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.

Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.

Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.

Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.

Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.

Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.

Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
Hizo pesa zinazosomesha hao madactari ni pesa zilizotoka kwa wananchi kupitia kodi na tozo mbalimbali na wanahudumiwa ni wananchi hao hao kupitia private au public hospital.
 
Hapo February 2020, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT)

awalaumu viongozi wenye nyadhifa za kisiasa. Miongozo na kanuni zilizoainishwa ktk Clinical Audit aliyoanzisha aliyekuwa katibu Mkuu wa wizara ya Afya Dr. Dorothy Gwajima kuongoza utendaji, kuangalia, kuelekeza na kuadhibu madaktari sasa inapuuzwa na viongozi wa kisiasa wenye nyadhifa serikalini.

N.B
Fahamu zaidi kuhusu Chama cha Madaktari Tanzania ( MAT) MAT | Karibu MAT, The Medical Association of Tanzania )
Leseni za ruhusa ya kufanya kazi za kitabibu, nidhamu ya kitaaluma na mengineyo mengi
 
Madaktari mnasomeshwa kwa mapesa mengi sana kuweni wazalendo.
 
Tujikumbushe Mwaka: 14 Jul 2016

Mkakati wa Kuboresha Maslahi ya Madaktari wenye elimu, taaluma, uzito wa kazi na uzoefu unaolingana

Dr. Mpoki Ulisubisya MD, MBA , katibu Mkuu wizara ya Afya afafanua tofauti ya mishahara ya madaktari waliopo ktk taasisi (mashirika ya Umma) kama za Muhimbili, Ocean Road, Jakaya Kikwete Cardiac Institute, Bugando wanaopokea mishahara minono na wale madaktari waajiriwa wa serikali kuu ktk hospitali za mikoa na wilaya ambao mishahara ni midogo.

Inanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.

Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.

Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.

Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.

Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.

Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.

Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
duuu wewe utakuwa magufuli wewe..... swala linakuwa gumu kwasababu hata yeye aliacha ualimu wa sayansi kipindi kile kwa sababu hiyohiyo ambayo leo haipendi.... hapo ndio shida inaanzia
 
Huwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Madaktari wanalipa mikopo ya bodi ya wanafunzi. Nina ushahidi ingawa sitauweka hapa jukwaani. Kuna mmoja amepewa cheti kabisa na cha kumaliza mkopo wake!
 
Madaktari mnasomeshwa kwa mapesa mengi sana kuweni wazalendo.
Hata mnyama ataishi katika mazingira yaliyorafiki kwake,hivi mfano mnyama anayefanya hivyo naetumwite sii mzalendo.
 
Huwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Kwa masters huwa hawalipi, huwa ni ufadhili....na masharti ni hayo hapo......
IMG-20210130-WA0017.jpg
 
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.

Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Huyo ni daktari bingwa ndugu alipaswa akarudishe fadhira kwa kuwatumikia wanyonge baada ya serikali kumpa scholarship ya wizara! Huko aliko only elites ndio wataweza kuzipata huduma zake! Mtaani wamejaa 1st degree! Sio mabingwa!
Hawa wa 1st degree walipewa mikopo wanayoilipa!
Labda tuiombe serikali iwa'absorb' wote waliopo mtaani! While maintaining waliomo kwenye ajira!
 
Mbona wewe hukwenda kupata hiyo scholarship? Acheni kupangia watu maisha nyie!!!
 
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.

Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Huyo ni daktari bingwa ndugu alipaswa akarudishe fadhira kwa kuwatumikia wanyonge baada ya serikali kumpa scholarship ya wizara! Huko aliko only elites ndio wataweza kuzipata huduma zake! Mtaani wamejaa 1st degree! Sio mabingwa!
Hawa wa 1st degree walipewa mikopo wanayoilipa!
Labda tuiombe serikali iwa'absorb' wote waliopo mtaani! While maintaining waliomo kwenye ajira!
 
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.

Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Huyo ni daktari bingwa ndugu alipaswa akarudishe fadhira kwa kuwatumikia wanyonge baada ya serikali kumpa scholarship ya wizara! Huko aliko only elites ndio wataweza kuzipata huduma zake! Mtaani wamejaa 1st degree! Sio mabingwa!
Hawa wa 1st degree walipewa mikopo wanayoilipa!
Labda tuiombe serikali iwa'absorb' wote waliopo mtaani! While maintaining waliomo kwenye ajira!
 
Inanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.

Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.

Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.

Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.

Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.

Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.

Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
Nakuuliza maswali haya!

Rais alisoma fani gani? Ualimu tena kuanzia na diploma.

Alifundisha mpaka lini? Je, alienda kugombea akitokea secondary school as a teacher? Kama hapana kwann aliacha ualimu?

Kule viwanda cha pamba walienda kufanya nn? Je kwann aliondoka akaenda kugombea ubunge na hata uraisi? Jibu ni kwamba alifuata MALISHO YA KIJANI!

VIPI IWE KOSA KWA DR?
permanent solution for employees retention ni kulipa vizuri na mazingira mazuri ya kazi siyo kufika na kupayuka! Hajaongeza mishahara kwa mujibubwa sheria for 5 years afu watu wakiondoka unataka wakamatwe?

Pumbavu nawe unaleta ngonjera za ulaya? Kama ni rahisi kusoma mbona mwanawe alipata O?
 
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.

Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?

Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone

Nimechukua mkopo, nimejenga nyumba, nikagundua eneo nililojenga nyumba halina miundombinu ya umeme, barabara wala maji, kutokana na adha ninayopata nikaamua kwenda kuanza maisha upya eneo jingine huku nikiendelea kurejesha mkopo wangu, aliyenikopesha fedha ananilazimisha nibakie kwenye nyumba ambako hakuna matumaini ya kupata umeme, barabara wala maji, je sintakufa!!!?

Naomba ushauri
 
Back
Top Bottom