"Huwa hawalipi"Huwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
DahHuwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Madaktari wote waliosomeshwa kwa goverment loan wanalipa hela yote ya meal na accomodation wanayopewa kama wanufaika wengine wa mkopo wa elimu ya juu. Ambacho hawalipi ni Tution fee. Na hii imefanywa hivyo ili kuvutia wanafunzi wengi kusoma udaktari. Kauli za rais zinakatisha tamaa sanaHuwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Kama sijasahau mkataba ilikuwa kufanya kazi nchini miaka mitano. Private au serikalini"Huwa hawalipi"
Tokea lini?
Wapo wenye grant na wasio nao. Tofauti wengine wanarejesha mil 15 wengine milioni 28 hadi 30+Madaktari wote waliosomeshwa kwa gov loan wanalipa hela yote ya meal na accomodation wanayopewa. Ambacho hawalipi ni Tution fee. Na hii imefanywa hivyo ili kuvutia wanafunzi wengi kusoma udaktari. A
Kauli za rais zinakatisha tamaa sana
Najiuliza endapo wanafunzi wengi wa udaktari wakijigharamia masomo yao ndiyo kusema serikaki itakosa control nao? Haki ikifikia hivyo itakuwaje? Tutaleta madr toka Cuba?
Labda unaongelea grants(ni wachache sana wanaopata).Kama sijasahau mkataba ilikuwa kufanya kazi nchini miaka mitano. Private au serikalini
Kama ni nje iwe kwenda kusoma. Ilizua hadi mgomo kwa wanafunzi.
Kama wanalipa kwann rais awa single out kama vile wao ni wahalifu? Siyo fair kabisa anavyofanya huyu rais.Wapo wenye grant na wasio nao. Tofauti wengine wanarejesha mil 15 wengine milioni 28 hadi 30+
Hii ya kutolipa Tution fee bado ipo.?Madaktari wote waliosomeshwa kwa goverment loan wanalipa hela yote ya meal na accomodation wanayopewa kama wanufaika wengine wa mkopo wa elimu ya juu. Ambacho hawalipi ni Tution fee. Na hii imefanywa hivyo ili kuvutia wanafunzi wengi kusoma udaktari. Kauli za rais zinakatisha tamaa sana
Najiuliza endapo wanafunzi wengi wa udaktari wakijigharamia masomo yao ndiyo kusema serikali itakosa control nao? Hali ikifikia hivyo itakuwaje? Tutaleta madr toka Cuba?
Mkuu wewe ulikuwa unachochea hapa watu wauawe na wapigwe na kufaMh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru. Kuna madaktar wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zinamadhara makubwa kwa kwa ustawi wa taifa hili haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?
Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Ilisemwa kuwa kila mtu naaubebe mzigo wake mwenyewe,kwakuwa dalili za mvua mawingu,wakati wa mawingu mliliona hayawahusu iweje wakati wa mvua iwahusu.Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru. Kuna madaktar wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zinamadhara makubwa kwa kwa ustawi wa taifa hili haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?
Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Kwan lazima uongee kitu usichokijuaHuwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Hata mnyama kama kuku anahitaji kuishi Maisha mazuri yasiyokuwa ya shida,uwe binadamu mwenye utambuzi,na akiliKwan lazima uongee kitu usichokijua
Ukweli unaoujua ni upi?Kwan lazima uongee kitu usichokijua