Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 1,106
- 1,678
Acha roho ya kimasikini wewe how many doctors are jobless?Inanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.
Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.
Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.
Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.
Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.
Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.
Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
Alie kwambia hili ni nani, au umepata wapi Wana bill si chini ya m35 mpaka wanamalizaHuwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Wao au wewe mbona mmesoma bure nani kawaghasi mpaka mda huu, achilia mbali kwamba tz haikua hivi Kama Sasa,walipewa ,nauli,ada, mikate, nk,why leo ndo iwe nongwaInanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.
Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.
Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.
Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.
Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.
Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.
Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
Hizo pesa zinazosomesha hao madactari ni pesa zilizotoka kwa wananchi kupitia kodi na tozo mbalimbali na wanahudumiwa ni wananchi hao hao kupitia private au public hospital.Inanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.
Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.
Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.
Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.
Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.
Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.
Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
duuu wewe utakuwa magufuli wewe..... swala linakuwa gumu kwasababu hata yeye aliacha ualimu wa sayansi kipindi kile kwa sababu hiyohiyo ambayo leo haipendi.... hapo ndio shida inaanziaInanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.
Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.
Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.
Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.
Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.
Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.
Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
Madaktari wanalipa mikopo ya bodi ya wanafunzi. Nina ushahidi ingawa sitauweka hapa jukwaani. Kuna mmoja amepewa cheti kabisa na cha kumaliza mkopo wake!Huwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
Hata mnyama ataishi katika mazingira yaliyorafiki kwake,hivi mfano mnyama anayefanya hivyo naetumwite sii mzalendo.Madaktari mnasomeshwa kwa mapesa mengi sana kuweni wazalendo.
Kwa masters huwa hawalipi, huwa ni ufadhili....na masharti ni hayo hapo......Huwa hawalipi, labda kama imebadilika. Lakini hilo halihalalishi kukatazwa kwenda sekta binafsi.
@Gussie 🤯 sorry have a lobotomy
Huyo ni daktari bingwa ndugu alipaswa akarudishe fadhira kwa kuwatumikia wanyonge baada ya serikali kumpa scholarship ya wizara! Huko aliko only elites ndio wataweza kuzipata huduma zake! Mtaani wamejaa 1st degree! Sio mabingwa!Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.
Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?
Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Mkataba upo wazi kabisa Rais alikuwa sahihi.Kwa masters huwa hawalipi, huwa ni ufadhili....na masharti ni hayo hapo......View attachment 1690464
Mbona wewe hukwenda kupata hiyo scholarship? Acheni kupangia watu maisha nyie!!!Huyo ni daktari bingwa ndugu alipaswa akarudishe fadhira kwa kuwatumikia wanyonge baada ya serikali kumpa scholarship ya wizara! Huko aliko only elites ndio wataweza kuzipata huduma zake! Mtaani wamejaa 1st degree! Sio mabingwa!
Hawa wa 1st degree walipewa mikopo wanayoilipa!
Labda tuiombe serikali iwa'absorb' wote waliopo mtaani! While maintaining waliomo kwenye ajira!
Huyo ni daktari bingwa ndugu alipaswa akarudishe fadhira kwa kuwatumikia wanyonge baada ya serikali kumpa scholarship ya wizara! Huko aliko only elites ndio wataweza kuzipata huduma zake! Mtaani wamejaa 1st degree! Sio mabingwa!Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.
Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?
Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Huyo ni daktari bingwa ndugu alipaswa akarudishe fadhira kwa kuwatumikia wanyonge baada ya serikali kumpa scholarship ya wizara! Huko aliko only elites ndio wataweza kuzipata huduma zake! Mtaani wamejaa 1st degree! Sio mabingwa!Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.
Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr mmoja na kuzusha panic isiyo na msingi. Ref uzi wangu mh Rais kauli zako zina madhara makubwa kwa ustawi wa Taifa hili. Haingii akilini kuna ma elfu ya watu hawana ajira mnaangaika na dr mmoja kweli?
Mzee Kikwete ... Zungumza taifa lipone
Nakuuliza maswali haya!Inanikumbusha story ya mzaire mmoja alimpeleka mtoto wa dada yake ya London.
Kufika huko dogo akaanza kujichanganya na watoto wengine wa kizaire waliozaliwa kule na kuanza tabia za ajabu ajabu.
Uncle akamuweka chini wewe nimekupeleka huko usome, ufanye kazi usaidie familia yako hao jamaa achana nao wazazi wako ulaya.
Dogo akajibu umekuwa unanipangia sana namna ya kuishi tangia unifikishe huko, kama vipi nikulipe hela yako.
Mjomba wake akamwambia mimi sina shida na hela yako, kama nilichofanya rahisi wewe si una wadogo zako vuta mmoja tu London, halafu akifika umchoree mchongo kama nilivyokufanyia apate papers za kuishi utakuwa umenilipa. Dogo ilibidi aombe msamaha.
Ndio watu kama nyie mnaona kazi iliyofanywa na serikali ni rahisi sana, kisa hao watu sasa hivi wanauwezo wa kulipa madeni yao.
Ebu kila daktari asomeshe mmoja tu kwa hela yake tuone wangapi wana jeuri hiyo, walipe na mishahara yao ya internship, halafu ndio waende kuongea na serikali.
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru.