Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

Lancashire

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
14,081
Reaction score
10,455
1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM

2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29 na 30 kwa kiwango kikubwa yalisababishwa na jeshi la polisi japo lawama zote unazibeba.

3. Kuwaomba radhi watanzania kwa yaliyotokea. Hii nimeiweka namba 3 ila si kwa umuhimu.natamani hii iwe agenda yako ya kudumu mpaka utakapomaliza kipindi chako Cha awamu hii. Itafutika taratibu kulingana na hatua za kimaendeleo tutakazokuwa tunapiga .

Nakutakia Kila la heri Mh.rais Samia mwenyezi Mungu akuongoze vyema kulitumikia taifa letu.

Alaamsikii.
 
3. Kuwaomba radhi watanzania kwa yaliyotokea. Hii nimeiweka namba 3 ila si kwa umuhimu.natamani hii iwe agenda yako ya kudumu mpaka utakapomaliza kipindi chako Cha awamu hii. Itafutikq taratibu kulingana na hatua za kimaendeleo tutakazokuwa tunapiga .

Nakutakia Kila la heri Mh.rais Samia mwenyezi Mungu akuongoze vyema kulitumikia taifa letu.

Alaamsikii.
Walichofanya polisi ni maagizo yake, ila hakutegemea wangefanya mauji ya kiwango hicho. Hata afanye nini kwenye maendeleo, uwezo wa kufanya tusahau mauaji yake hilo atasubiri sana
 
Labda kama atawaomba CHAWA wake akina Mwamposa kuwafufua wale marehemu wote alio waua kwa kutumia miujiza yao feki, ndiyo hiyo imani itarejea. Kinyume na hapo, hata afanye nini! Atachukiwa maisha yake yote.
 
Screenshot_20251230-124956~2.png
 
1. Unamwita huyu muuaji na jizi, Rais? Wewe ni kichaa? Labda rais wa hapo nyumbani kwako.

2. Miradi ya maendeleo haiwezi kumalizika kwasababu kwanza serikali feki ya Tanzania ni kapuku wa kutupwa lakini pia pesa kidogo iliyopo inapelekwa kenye ulinzi.

a) rais feki anafahamu wajuba wanamuwinda, billions zitakuwa allocated kumlinda gaidi kuu.

b) serikali feki sasa hivi inatumia billions kwenye kuchunguza na kufuatilia watu. Kila kiongozi wa serikali feki wanafuatiliana hakuna kuaminiana.

c) millions of shillings zinatumika kulipa watu wakitengo cha propaganda.

2. Tanzania inazidi kutumbukia shimoni huku tunaina. Miradi yote ya maendeleo Tz inatekelezwa kwa ushirikiano na wanaotoa pesa kutusaidia. Hii pesa haipo tena.

a) Kwa mfano 2023 US kupitia USAID iliisaidia serikali kapuku ya Tanzania $600M + Hii ni sawa na bajeti yote ya Wizara ya Afya.

c) Serikali feki ya Tz haiwezi kuziba hii gap.
 
1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM

2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29 na 30 kwa kiwango kikubwa yalisababishwa na jeshi la polisi japo lawama zote unazibeba.

3. Kuwaomba radhi watanzania kwa yaliyotokea. Hii nimeiweka namba 3 ila si kwa umuhimu.natamani hii iwe agenda yako ya kudumu mpaka utakapomaliza kipindi chako Cha awamu hii. Itafutika taratibu kulingana na hatua za kimaendeleo tutakazokuwa tunapiga .

Nakutakia Kila la heri Mh.rais Samia mwenyezi Mungu akuongoze vyema kulitumikia taifa letu.

Alaamsikii.
Mungu ampe moyo wa kusikia na kutenda.
 
Hakuna cha kutekeleza chochote. Aondoke zake atuachie nchi yetu
 
Miradi ataitekelezaje wakati miradi mingi yakimkakati ikianzishwa kwa nguvu ya wafadhili na sasa siyo tu wamegoma kuendelea kufund hiyo miradi bali kunautaratibu wa kukaa mezani wawarejeshee gharama zao walizoingiza kwenye hiyo miradi maana serikali so imevunja makubaliano .

Kuhusu kutatua changamoto ya hali ya usalama ,mkuu hilo sahau kabisa .

Damage iliyosababishwa na wale majamaa nikubwa sana ,so kuthubutu kutuliza mambo kwa namna yoyote nikuwasogeza watesi karibu na ngome, automatically wale jamaa watakuwa vichwa kitu ambacho hawatakaa wakubali kureset the model at any how.

Kuwaomba radhi watanzania nilazima kwanza qkubali kwanza siyo tu kuwatusi waliyomfanikishia ushindi kitu bali nilazima atalazimika kuwaadabisha ma master mind wake ,kitu ambacho hanauwezo wakukifanya hata akiwa ndotoni .

Kama kuna binaadamu anaeishi kwa kudra za Mungu zaidi kwa sasa ni Chura kiziwi ,maana hajui siku na saa kitanuka kuanzia wapi na nani atakaekinukisha ,wannje au wa ndani..

Tuliombee Taifa letu.
 
Kitu kimoja ninachokijua ni kwamba kabla ya 2030 nilazima afe ili miamba iishi na siyo vinginevyo
 
1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM

2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29 na 30 kwa kiwango kikubwa yalisababishwa na jeshi la polisi japo lawama zote unazibeba.

3. Kuwaomba radhi watanzania kwa yaliyotokea. Hii nimeiweka namba 3 ila si kwa umuhimu.natamani hii iwe agenda yako ya kudumu mpaka utakapomaliza kipindi chako Cha awamu hii. Itafutika taratibu kulingana na hatua za kimaendeleo tutakazokuwa tunapiga .

Nakutakia Kila la heri Mh.rais Samia mwenyezi Mungu akuongoze vyema kulitumikia taifa letu.

Alaamsikii.
Lije jua au inyeshe mvua, huyo fazafaka hayawezi haya! Anawezaje kuwaajibisha polisi walioua raia kwa amri yake, kwa mfano? Akiwaajibisha watajibu mapigo kwa kuuanika ukweli wote wa kilichojiri.
 
Back
Top Bottom