Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Walichofanya polisi ni maagizo yake, ila hakutegemea wangefanya mauji ya kiwango hicho. Hata afanye nini kwenye maendeleo, uwezo wa kufanya tusahau mauaji yake hilo atasubiri sana1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM
2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29 na 30 kwa kiwango kikubwa yalisababishwa na jeshi la polisi japo lawama zote unazibeba.
3. Kuwaomba radhi watanzania kwa yaliyotokea. Hii nimeiweka namba 3 ila si kwa umuhimu.natamani hii iwe agenda yako ya kudumu mpaka utakapomaliza kipindi chako Cha awamu hii. Itafutikq taratibu kulingana na hatua za kimaendeleo tutakazokuwa tunapiga .
Nakutakia Kila la heri Mh.rais Samia mwenyezi Mungu akuongoze vyema kulitumikia taifa letu.
Alaamsikii.
Mungu ampe moyo wa kusikia na kutenda.1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM
2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29 na 30 kwa kiwango kikubwa yalisababishwa na jeshi la polisi japo lawama zote unazibeba.
3. Kuwaomba radhi watanzania kwa yaliyotokea. Hii nimeiweka namba 3 ila si kwa umuhimu.natamani hii iwe agenda yako ya kudumu mpaka utakapomaliza kipindi chako Cha awamu hii. Itafutika taratibu kulingana na hatua za kimaendeleo tutakazokuwa tunapiga .
Nakutakia Kila la heri Mh.rais Samia mwenyezi Mungu akuongoze vyema kulitumikia taifa letu.
Alaamsikii.
Lije jua au inyeshe mvua, huyo fazafaka hayawezi haya! Anawezaje kuwaajibisha polisi walioua raia kwa amri yake, kwa mfano? Akiwaajibisha watajibu mapigo kwa kuuanika ukweli wote wa kilichojiri.1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM