Mh Rais nisikufiche Mzee wangu waite watu wasio wanafiki kama akina na nii waombe wakupe feedback ya utendaji wako. Kiukweli mwanzoni ulivyo pewa nchi watanzania tulifurahi sana utendaji wako ila baadae nahisi kunajambo lilitokea ukawa umebadilika mpaka leo.
Mimi nionavyo umesahau watanzania ni wanafiki na pia tunapenda nyenyekewa ukatupa vitu na sio utu ambao baba wataifa ndio aliacha kama tunu zetu leo hali sio kama ile. Tanzania ninchi ya ajabu sana mkuu unaenda kwa kijiji unawapa wali maharage na soda unaondoka anakuja mwingine anatoa msaada wa jengo la hosp anaondoka ila mkirudi kesho kuomba kura au ardhi yule alie toa maharage na wali ndio mtu wewe wamajengo hawakutambui.
Ktk hali kama hiyo Mkuu lazima ujuwe kula na vipofu. Umenunua madege na Ujenz wa madaraja na kujenga dams kule rufiji ila amini usiamini wajukuu watakuja soma historia tena wengi wakilaumu kuwa masikini.
Watanzania wanapenda wakilalamika au kulia wabembelezwe wewe hutaki vilio unategemea kweli utagusa mioyo yao? Wewe ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Tz ila Mh Rais sio kila wazo au matakwa ya wananchi unapangiwa Big no. Wakati mwingine cheza na upepo usije ukapunguza umaarufu. Wewe hupangiwi ndio ila hivyo hivyo nawao watakujibu hawapigi kura au wanakususia wewe siupangiwi.
Mimi naomba rudi kwenye mstari nchi hii nikubwa sana kaa na watu wako sikilizaneni.. Acha hii mambo kusema hupangiwi while unao waambia kesho unaitaji kura zao. Tafakar korosho MTWARA maamuz yalitekelezwa ila je serikali mligusa mioyo ya watu au lawama?
Pia Mh Rais wakati mwingine sio kila jambo utoe comment au usimamie je utafanya mangapi? Asante