Mh. Rais ulianza vizuri sana ila baadae ulibadilika sana...

Mh. Rais ulianza vizuri sana ila baadae ulibadilika sana...

Mh Rais nisikufiche Mzee wangu waite watu wasio wanafiki kama akina na nii waombe wakupe feedback ya utendaji wako. Kiukweli mwanzoni ulivyo pewa nchi watanzania tulifurahi sana utendaji wako ila baadae nahisi kunajambo lilitokea ukawa umebadilika mpaka leo.

Mimi nionavyo umesahau watanzania ni wanafiki na pia tunapenda nyenyekewa ukatupa vitu na sio utu ambao baba wataifa ndio aliacha kama tunu zetu leo hali sio kama ile. Tanzania ninchi ya ajabu sana mkuu unaenda kwa kijiji unawapa wali maharage na soda unaondoka anakuja mwingine anatoa msaada wa jengo la hosp anaondoka ila mkirudi kesho kuomba kura au ardhi yule alie toa maharage na wali ndio mtu wewe wamajengo hawakutambui.

Ktk hali kama hiyo Mkuu lazima ujuwe kula na vipofu. Umenunua madege na Ujenz wa madaraja na kujenga dams kule rufiji ila amini usiamini wajukuu watakuja soma historia tena wengi wakilaumu kuwa masikini.

Watanzania wanapenda wakilalamika au kulia wabembelezwe wewe hutaki vilio unategemea kweli utagusa mioyo yao? Wewe ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Tz ila Mh Rais sio kila wazo au matakwa ya wananchi unapangiwa Big no. Wakati mwingine cheza na upepo usije ukapunguza umaarufu. Wewe hupangiwi ndio ila hivyo hivyo nawao watakujibu hawapigi kura au wanakususia wewe siupangiwi.

Mimi naomba rudi kwenye mstari nchi hii nikubwa sana kaa na watu wako sikilizaneni.. Acha hii mambo kusema hupangiwi while unao waambia kesho unaitaji kura zao. Tafakar korosho MTWARA maamuz yalitekelezwa ila je serikali mligusa mioyo ya watu au lawama?
Pia Mh Rais wakati mwingine sio kila jambo utoe comment au usimamie je utafanya mangapi? Asante
Hadi wewe mkuu?
 
Hakuna kipindi vijana waliomaliza vyuo wamedharaulika kama hiki.
Narudia tena tangu inji hii ipate uhuru kutoka kwa bwana wake Muingereza hiki ndio kipindi graduates wanaonekana si lolote si chochote.
Dah!...noma sana hii awamu.
 
Raisi wangu kweni ukijiuzulu utakonda? ondoka na heshima yako japo kidogo kuliko uchokwe kabisa kabisa ukiwasikiliza wanaccm ni mabingwa wa kupotosha na kamwè hawatakuambia ukweli kuwa nchi imekushinda mkulu eangu
 
Hakuna kipindi vijana waliomaliza vyuo wamedharaulika kama hiki.
Narudia tena tangu inji hii ipate uhuru kutoka kwa bwana wake Muingereza hiki ndio kipindi graduates wanaonekana si lolote si chochote.
Nimejaribu kukaa vijana wengi newly graduates sio wote)... Kwakweli hawako kwenye uhalisia kabisa, wanataka kila kitu lakini hawana drive ya kufanya chochote

Kwa Hali iliyopo walitakiwa waanze kuongoza a new wave ya industrial revolution,

Wachache wameona fursa na wameanza kufanya kazi zisizo za ajira rasmi na wanasogea
 
Shetani toka lini akaanza vizuri, yeye anachojua ni kuua, kuteka na ufisadi., alidanganywa na yule jirani yake pamoja na nyie wapambe kuwa anaweza kutawala milele, sasa matokeo yake akaanza kuua, kuteka na kufisadi nchi akijua kuwa dhamila yake ya kukaa pale itatimia, hivyo hatashitakiwa, sasa anamawazo kibao anatamani tu ardhi imfukie chini au mwisho wa dunia ifike mara moja.

Ila kumbukeni tu Mungu hukumu zake ni za haki na kweli, lazima atalipa ubaya wote aliwafanyia binadamu wenzake, sasa magogoni hakukaliki, domu pia kwa moto,.huko chato ndio usiseme.
Mh Rais nisikufiche Mzee wangu waite watu wasio wanafiki kama akina na nii waombe wakupe feedback ya utendaji wako. Kiukweli mwanzoni ulivyo pewa nchi watanzania tulifurahi sana utendaji wako ila baadae nahisi kunajambo lilitokea ukawa umebadilika mpaka leo.

Mimi nionavyo umesahau watanzania ni wanafiki na pia tunapenda nyenyekewa ukatupa vitu na sio utu ambao baba wataifa ndio aliacha kama tunu zetu leo hali sio kama ile. Tanzania ninchi ya ajabu sana mkuu unaenda kwa kijiji unawapa wali maharage na soda unaondoka anakuja mwingine anatoa msaada wa jengo la hosp anaondoka ila mkirudi kesho kuomba kura au ardhi yule alie toa maharage na wali ndio mtu wewe wamajengo hawakutambui.

Ktk hali kama hiyo Mkuu lazima ujuwe kula na vipofu. Umenunua madege na Ujenz wa madaraja na kujenga dams kule rufiji ila amini usiamini wajukuu watakuja soma historia tena wengi wakilaumu kuwa masikini.

Watanzania wanapenda wakilalamika au kulia wabembelezwe wewe hutaki vilio unategemea kweli utagusa mioyo yao? Wewe ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Tz ila Mh Rais sio kila wazo au matakwa ya wananchi unapangiwa Big no. Wakati mwingine cheza na upepo usije ukapunguza umaarufu. Wewe hupangiwi ndio ila hivyo hivyo nawao watakujibu hawapigi kura au wanakususia wewe siupangiwi.

Mimi naomba rudi kwenye mstari nchi hii nikubwa sana kaa na watu wako sikilizaneni.. Acha hii mambo kusema hupangiwi while unao waambia kesho unaitaji kura zao. Tafakar korosho MTWARA maamuz yalitekelezwa ila je serikali mligusa mioyo ya watu au lawama?
Pia Mh Rais wakati mwingine sio kila jambo utoe comment au usimamie je utafanya mangapi? Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kumung'unya maneno Rais wetu ni mzuri sana katika utendaji hasa ujenzi, ila huko kwingine kwenye uchumi sio kiivyo. Kwa hiyo baada ya kuzingua huko imebidi astick to what he's good at,

Na hali ingeendelea kuwa hivyo basi mpasuko ungetokea/utatokea kuanzia ndani ya ccm. A revolution from within the party.
Nisiongee mengi sana
 
Hivi mnaipitia katiba ya Jamhuri ya Muungano muone Mkuu wa Nchi ana madaraka makubwa kiasi gani?!!!! Yote na mengi anayofanya(iwe yanafurahisha au vinginevyo) nadhani yapo ndani ya mamlaka yake aliyopewa katiba iliyopo. Kama ni kurekebisha basi ni hiyo Katiba
Pamoja na uwepo wa katiba, kiongozi anatakiwa kuwa na busara. Ndiyo maana wenzie walikuwa na katiba hii hii mbaya lakini busara yao binafsi ndiyo iliyowasaidia kiasi cha watu hatakutokuhisi kuwa katiba yetu ni mbaya kwa kiwango hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..bwana mkubwa anapenda kusimamia kila jambo nchi hii isipokuwa janga la covid19.

..haiwezekani amiri jeshi mkuu akimbie na kujificha wakati nchi inakabiliwa na hatari kubwa kiasi hiki.
Kwani kajificha au ni mbinu za medani?
 
1) Ulizoea kumwona kwenye misafara ya miradi ya maendeleo ambayo sasa hafanyi kwa kuepuka kutengeneza mikusanyiko na safari zinazoweza kuahirishwa kama njia ya kuduibiti ueneczi wa korona.

2) Yeye ni kiongozi wa nchi. Anaweza kufanya kazi kutokea popote ndani ya Nchi.

3). Nimemsikia akisema na kutoa miongozo juu ya COVID 19.

Kuna jambo limekwama kwa kuwa yuko sehemu aliko?

Kama "anaweza kufanya kazi kutokea popote pale ndani ya nchi" iweje achezee fedha zetu kwa kujenga Ikulu ya Chamwino na kuahidi kuhamia kabla ya mwaka huu wa 2020, lakini mpaka sasa ameishia tu kupiga picha kwenye yale mawe. Si bora angetugawia tu kupitia zile milioni 50 kwenye kila Kijiji!

Bado Magogoni! Mwambie arudi nyumbani bhana! maana yeye ndiye Jemedari wetu Mkuu.
 
Hivi mnaipitia katiba ya Jamhuri ya Muungano muone Mkuu wa Nchi ana madaraka makubwa kiasi gani?!!!! Yote na mengi anayofanya(iwe yanafurahisha au vinginevyo) nadhani yapo ndani ya mamlaka yake aliyopewa katiba iliyopo. Kama ni kurekebisha basi ni hiyo Katiba


Mengi tu hatekelezi, na wananchi wengi hatutaki hii katiba inayompa rais madaraka makubwa ambayo anayatumia vibaya. Ila aliigomea katiba Kiporo ili atawale atakavyo.
 
Kibaya ni kuwa anaambiwa kuwa yeye tu ndiye anafaa kuwa Rais wa Tanzania na wapambe wake naye ameshindwa kubaini ulaghai anaofanyiwa ili watu waendelee kuula.
Huyu Bwana Mkubwa anaogopa hadi kivuli chake,ndiyo maana ukitazama misafara yake na hizo barricades and heavily armoured soldiers wanaomzunguka hata Kim hana.
Tuamke usikute tumeshatekwa kitambo!!!
 
1) Ulizoea kumwona kwenye misafara ya miradi ya maendeleo ambayo sasa hafanyi kwa kuepuka kutengeneza mikusanyiko na safari zinazoweza kuahirishwa kama njia ya kuduibiti ueneczi wa korona.

2) Yeye ni kiongozi wa nchi. Anaweza kufanya kazi kutokea popote ndani ya Nchi.

3). Nimemsikia akisema na kutoa miongozo juu ya COVID 19.

Kuna jambo limekwama kwa kuwa yuko sehemu aliko?
Asipokuwepo kabisa ndio mambo hayatakwama kabisa, kwa sasa mengi tu yanakwama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ajawahi kufanya lolote lamaana.
Acha kumpa sifa ambazo hana.
 
MAGUUUUUUUUUUUUU, UMEWASHIKA pabaya watanzania. saizi watakuelewa vizuri. oyiiiiiiii mungu peke yake ndo hajaribiwi. wote saizi tunajibu moja la.... WHO IS MAGUFULI
 
Mkuu ukisema umpe kila mtu nafasi unaweza kujikuta hufanyi chochote, Magufuli yuko sahihi kusema hivyo, naamini mwisho wa siku hata kosa cha kuonesha, na pia atakua ameacha mtaji kwa vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom