Mh. Rais ulianza vizuri sana ila baadae ulibadilika sana...

Mh. Rais ulianza vizuri sana ila baadae ulibadilika sana...

Asipokuwepo kabisa ndio mambo hayatakwama kabisa, kwa sasa mengi tu yanakwama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jibu hoja kiongozi. Inaonekana ama una preconceptions ambazo huwezi kuziweka bayana au unareact kwa mob psychology kitu ambacho hakiwezi ku impart understanding kwa watu neutral ili kuwa na common understanding. Mtu mwenye akili zake, ili akubali unachokisema anahitaji kuelewa kwanza. Kwa heri.
 
Mzee wa msoga sijui atawaambia nini WaTz
hii si sawa Rais hatupewi na mtu mmoja na kama ni hivyo ni hatari sana sana......yaani kila Rais ndiye aamue nani aje badala yake huu ni uzombi
 
Hapo umemalizia vizuri sana, tungekua tunafuata hizo kanuni tungekua mbali sana

Well said mkuu, but it’s all depend on a sound and credible constitution ndiyo hayo mambo yanaweza kufanyika. Ile jiwe tulilokuwa nalo ni jiwe la ajabu sana, kila siku linapayukapayuka na kujimwambafai kama jiwe la wanyonge wakati ukweli ni kwamba matatizo hao wanyonge ingawa pia kuwaita wanyonge ni udhalilishaji tu....matatizo yao hata siku moja haitatokea yakatatuliwa na utashi wake binafsi zaidi ya Katiba nzuri!
Huwa nalikumbuka sana Jembe langu Tundu Lisu, nanukuu “ Tanzania haijawahi pata Rais wa ajabu kama huyu wa awamu ya tano”, mwisho wa kunukuu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom